Search results

  1. Mchaga 25

    Nimeoneshwa demu wa JF

    huna jipya
  2. Mchaga 25

    ...Jumatatu Natoa talaka kwa Mke wangu....Yamenishinda

    wewe unamatatizo, kubali yaishe ujana umeshakupa mkono kuwa kama baba wa familia mambo ya utoto na ujana yameisha kubali majukumu.............mtu mzima hovyo kabisa unapenda kuchezea vibinti vya watu .....ndoa si kunanihii tu lazima ukubali yote, mkeo amekuona wewe ndio umebdilika hasa kwa hao...
  3. Mchaga 25

    Hivi mitandao ile ya kuchat ipo tena?? Msaada jamani

    Leo nina hamu yakuchat nimekumbuka dar chat, darhotwire, kenyaniyetu.com arghhhh hivi mitandao hii ipo au ya aina hii jamani??
  4. Mchaga 25

    Mama Lwakatare acha ulaghai

    loh mwacheni mama wa watu ajinywee bia zake baridi jioni argh nyie vipi bwana, Tanzania kila kitu kinawezekana
  5. Mchaga 25

    Wahesh; Wabunge WANAWAKE tatizo ni Ninyi, WAUME zenu ama UKWASI wenu

    haya ya chumbani mwa watu haya kuhusu, je hawa wabunge wanajadili au wanatekeleza kile walichotumwa na wananchi hilo ndio la kujadili...................
  6. Mchaga 25

    Wakazi kuvamia leo yard ya Mwamkinga baada ya kuchoshwa na unyanyasaji

    Baada ya adha na bugudhi za muda jioni ya leo kutafanyika uvamizi kwenye hiyo yard kuwatia nidhamu wahusika, kama una gari lako mule kachukue mapema.........
  7. Mchaga 25

    Ajali mbaya ya ndege kutokea Tanzania soon

    Mimi nimeoteshwa aina ya ndege ni gulf sijui nini vile kwani jina lake nileona gulf na kama mkondo wa maji vile ilikuwa inachangnya kidogo ile ulikuwa msiba wa aina yake kwani hata bendera zilipeperuka nusu mlingoti kwa muda, watu wakawa hawaelweki?? jeshi likawa kama lina asi vile in short was...
  8. Mchaga 25

    Rostam ajipanga kuikimbia Tanzania; kutimkia Malaysia

    Na bado mwaka huu tutasikie mengi..................
  9. Mchaga 25

    Jua Majina na Maana zake, Unyerere Ujamaaa, Umwinyi (hehheheh ruksa) Umkapa (ukapa).....

    haya baada yakutafakari muelekeo wa siasa za nchi yetu ninahisi kuwa kuna uwezekano wa uhusiano wa Jina la kiongozi na hali ya nchi, kwa mfano Nyerere na swala zima la ujamaa jina likiwa na asili ya nyenyere wale wadudu wadogo. Vile vile Mwinyi alivyokuwa kuwa mzee wa ruksa kama umwinyi unavyo...
  10. Mchaga 25

    CHADEMA itashinda kwa kishindo Arumeru - Dr Slaa

    hee we msukule upo.................sasa una ni pm unanipenda me nikupeleke wapi koma
  11. Mchaga 25

    Rostam ajipanga kuikimbia Tanzania; kutimkia Malaysia

    Rostam anakesi nzito ya kujibu ni raia wa kigeni aliyekuwa anawekeza kiujanja sasa tunaanza kumkata kodi zote ngojea nikafukue ile post yangu niliyosema kuwa alikuwa anatakiwa alipe kodi ya mabaillion afisa wa TRA aliye tathimini biashara zake alifukuzwa kazi akaendelea kulipa kiduchu
  12. Mchaga 25

    Wanaharakati waliokamatwa waachiwa

    Jamani wakaka naombeni tujadili hoja sio kun inbox mia anaume yenyewe mijoga hata maandamano haishiriki hehehehehe. I am serious don't inbox me bad stuff
  13. Mchaga 25

    Wanaharakati waliokamatwa waachiwa

    usihofu mkuu, kwakuwa watu bado hawaoni tunakoelekea ngojea iran achapwe na israel utaona
  14. Mchaga 25

    Wanaharakati waliokamatwa waachiwa

    yai siku zote huwa yai tu...................
  15. Mchaga 25

    Wanaharakati waliokamatwa waachiwa

    hureeeeeeeee tumethubutu, tumeweza tunaleta mabadiliko!
  16. Mchaga 25

    Duh

    unatembelea gari zuurrrri la million 30 kiwanja cha million huna wala banda la rumu mbili huna .....hheheheheeh hehehe
  17. Mchaga 25

    Huyu Beatrice Shellukindo

    sasa unacheka nini hujui naniliu atakuwa mzee 2015 ndio maana anataka apige faul mapema he he he hujui nini hapo.....kwani umesahau kikao cha sullivan arusha hehehehehehe kijan kuwa uyaone anatumika hapo sijui anautaka uwaziri gani blal fuu
  18. Mchaga 25

    Madaktari wote kurudi kazini 10/Feb/2012 asubuhi

    ila mwishoni aliwaambia wasisite kumuita kama wanataka kupiga porojo nae................................hehehehehe
  19. Mchaga 25

    Loan defaulters mlioajiriwa mmekwisha!!

    eti eeh walipe anzeni kulipa za kagoda blali fuu
  20. Mchaga 25

    Huyu Beatrice Shellukindo

    huyo ana bifu la kukosa viti maalum kipindi fulani sasa kilimuumiza sana, na kingine ana uchu wa madaraka na mnafiki, pia ni pro naniliu yule naliuu yule mamvi, halafu ni kiburudisho cha kabwela alishawahi kuita mkiburudisho wake hadharani. nini tena unataka kujua???
Back
Top Bottom