Search results

  1. Mkaguzi

    Obama makes first trip to Kenya as President (July 2015)

    Anyway ya ngoswe tumwachie ngoswe ngoja tupambane na BVR zetu kuzuia goli la mkono
  2. Mkaguzi

    Obama makes first trip to Kenya as President (July 2015)

    Kaangalie mashujaa wa kiafrika wanavyopokewa wakirudi nyumbani
  3. Mkaguzi

    Obama makes first trip to Kenya as President (July 2015)

    In both countries alikaribishwa karibu, feel at home. Cjui ni wapi alijisikia nyumbani na kufurahia. Wanajamvi watapata majibu
  4. Mkaguzi

    Obama makes first trip to Kenya as President (July 2015)

    Angalua hapo tofauti ya Obama alipokuja TZ na Leo Kenya. Mengine mtasema wenyewe naona watu wanataka kukataa ukweli na kupotosha https://www.youtube.com/watch?v=LQrep2xF4bg bongo alipokelewa akashiriki sherehe za uwanjani then akapigiwa mizinga 21 nk
  5. Mkaguzi

    Kimenuka: Baraza la Wakulima Tanzania lawajia juu ACT-Tanzania

    Anglican Church of Tanzania - ACT nao watawashtaki wote cause wao ndo wa kwanza.
  6. Mkaguzi

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatatu 29 Septemba 2014 - Maboresho ya Rasimu na Upigaji Kura

    hivi wakuu online naweza fuatilia wapi?? naona vyanzo vyote nlokua navijua vipo offline
  7. Mkaguzi

    Magari ya M4C Yafanywa ya starehe, moja lakutwa bar!

    Sasa hapo Bar ikuwapi mbona haionekani? Tunaona gari tu. Kama ilikua ni hotelini walipofikia tutajuaje? tuonyeshe bar lasivyo huu ni umbulula tu na kuwashwa sehemu zisizokunika
  8. Mkaguzi

    MOI:Kilichosababisha jeraha la sheikh Ponda bado hakijajulikana

    Tunaomba linki ya hiyo taarifa tuisome. Nadhani ckubahatika kuiona jana
  9. Mkaguzi

    Watoto wa Bata bukini wanapatikana

    Kitomari Vifaranga wa bukini wauza bei gani mkuu?
  10. Mkaguzi

    Watoto wa Bata bukini wanapatikana

    Ni PM ka vipi
  11. Mkaguzi

    Watoto wa Bata bukini wanapatikana

    Mkuu bei yake iko vp? Hao bukini
  12. Mkaguzi

    Kwa hili; kweli mbowe ana upeo mdogo sana!

    "Ni lazima jamii ikatambua kuwa maamuzi haya yanahusu CCM ambayo ipo madarakani ambapo matokeo yake ni kuvunja Serikali na kwa CHADEMA ni kuwaondoa wabunge wake hivyo uchaguzi kufanyika tena. Kauli hiyo imetolewa na Msajili wa vyama vya siasa ikiwa ni siku chache baada ya kutokea kwa mlipuko...
  13. Mkaguzi

    Kwa hili; kweli mbowe ana upeo mdogo sana!

    Unakumbuka nani alitoa kauli hiyo ulosema kwanza. Unakumbuka habari hii baada ya bomu la Soweto "Msajili wa vyama vya siasa nchini, John Tendwa, amesema uamuzi wa kuvifuta vyama hivyo unaweza kuwa na athari kubwa kwani utahitaji gharama kubwa za kufanyika uchaguzi jambo ambalo sio la...
  14. Mkaguzi

    Mh. Lema: Wakati Kikwete akiomba kondomu kwa Obama, magazeti nayo yaliishia kuandika viuno

    Kina "Ritz" ebu tujuzeni Obama alikuja fanya nini Tz? labda tutaweza jua nani mkweli na nani mzushi coz naona huku wengi wa aina yako mnamshambulia lema as a person badala ya kuzungumzia hoja yake. Hebu tupe ukweli mkuu ili kina "Lema" waujue ukweli
  15. Mkaguzi

    Mpiga debe wa Kampeni za Ubunge wa Mbowe Ajitoa Rasmi CHADEMA na Kurudi CCM

    le Mutuz unatuambia nini baada ya kugundulika habari yako ulileta kishabiki zaidi na haikiua na ukweli kwani aliyejiunga ni "mpiga debe" na si meneja wa kampeni wala Katibu wa wilaya? Kwanini usichukuliwe hatua za kinidhamu za JF kwa kuleta habari ambayo huna uhakika nayo?
  16. Mkaguzi

    Ushuhuda: Namna CCM inavyofanya ugaidi nchini

    kueekea 2015 tutaona na kusikia Mengi. Kama asemayo huyu jamaa ni kweli kuna kila sababu ya "kuasi". Sasa naanza amini yale niliyosikia kutoka kwa jamaa mwingine kuhusu Bomu la Arusha. Daaa
  17. Mkaguzi

    Utofauti wa Makambi ya vijana wa CCM na kinachoanzishwa na CHADEMA

    Natamani nikutukane Mwigulu ila sababu siasa sio uadui kama unavyoamini ww nakuhifadhi
Back
Top Bottom