Search results

  1. Nyamburi

    Shamba la mtoni linauzwa Kilosa Morogoro

    Mkuu mashamba ya kawaida yasiyokua karibu na mto ya kilimo cha kawaida hayawezi patikana kwa maeneo ya huko hasa Msowero?
  2. Nyamburi

    Kiwanja kinauzwa Morogoro

    Hiyo mitiki idadi yake ni mingapi mkuu?
  3. Nyamburi

    Msaada: Ushauri machine ya uzalishaji

    Asante sana kwa wazo lako na kunipatia link hii ndugu yangu,nimeitembelea kweli nimeona wana mambo mengi sana,ila naomba nikuulize kitu mkuu,je hizo tray za mayai shemeji yetu zinamlipa vizuri?nimeipenda hii,lakini sina uhakika na mkoa ninaoishi kama itakua ni biashara nzuri!asante
  4. Nyamburi

    Msaada: Ushauri machine ya uzalishaji

    Wadau asanteni sana kwa ushauri wenu,ukweli nimepata mwanga kidogo wapi naweza kuanzia,nimependa ushauri wa machine za kusaga mikoani na huyu mdau alienipa wazo la kutembelea tovuti ya Zhauns - Business Opportunity Machinery nawashukuruni sana wandugu
  5. Nyamburi

    Msaada: Ushauri machine ya uzalishaji

    Wadau habari!nakuja jamvini hapa kuomba ushauri wenu. Nina wazo la kununua machine ndogo kwa ajili ya production,budget yangu ni kati ya 5m/= mpaka 8m/= kwa ajili ya ununuzi wa machine hiyo,ila katika wazo langu nimekosa kujua ni machine ya kitu gani hasa ambayo nikinunua bidhaa zake hazitakua...
  6. Nyamburi

    Peugeot 504 pick up( 1992) for sale at low price

    Hapana mkuu,hii ipo Mbezi
  7. Nyamburi

    Msaada: Vyeti vya nje na equivalent

    Nadhani kwa elimu ya juu unatakiwa uende either TCU au NACTE wao ndio wana deal na higher learning!
  8. Nyamburi

    Mayai ya Kwale Yanauzwa

    Poa mkuu,mimi nitahitaji tray tatu tu,ila ni by mid of october,maana kwa sasa niko nje kidogo,na ukweli nimeonja nyama ya hawa ndege,dah ni balaha,ila mayai yao ndio sijafanikiwa kuyapata kwa huku nilipo sasa (U.K)nataka nije nitotoleshe nianze kuwafuga mkuu,nchi yetu Tanzania ni nzuri sana na...
  9. Nyamburi

    Mayai ya Kwale Yanauzwa

    Mkuu vipi mayai bado yapo?nilikua nasoma faida za quails eggs kimataifa,dah ukweli haya mayai ni muhimu sana kwa afya zetu,je kama bado yapo tray moja unauzaje mkuu?na unapatikana wapi?
  10. Nyamburi

    SUGU mahakamani leo tar.11/9/2013 DODOMA

    Sugu alikua maarufu ndani na nje ya nchi kabla hata hajawa mbunge,sasa ni umaarufu gani zaidi unaohisi wewe?
  11. Nyamburi

    SUGU mahakamani leo tar.11/9/2013 DODOMA

    Kupotezeana muda tu!mwisho wa siku hakuna la maana
  12. Nyamburi

    Kilimo cha Nyanya: Aina za mbegu, mbinu za kulima na masoko yake

    Mkuu hizi nyanya za kiangazi nasikia zina changamoto zake hasa katika madawa,ila ukifanikiwa kuvuna ni kua umepiga bao!ngoja waje kina Malila na Kubota watatoa shule ya uhakika hapa!
  13. Nyamburi

    Mashamba yanauzwa Msowelo Kilosa

    Mkuu vipi hizo za karibu na mto bado zipo?je naweza kupata tano zaidi ili ziwe 15?naomba ni PM number yako
  14. Nyamburi

    Toyota Mark X 2006 inauzwa

    Mkuu hiyo gari ipo mkoa gani?
  15. Nyamburi

    Waandishi wa Kitanzania kichekesho

    Mods sidhani kama hii thread mmeitendea haki kwa kuiweka huku!nadhani ilitakiwa kuwa kwenye jukwaa la siasa!ni mtazamo lakini
  16. Nyamburi

    Mbunge Lema akamatwa na Polisi!

    “Siku inakuja ambapo watu watachagua kifo kuliko fedheha na ole wao wale watakoiona siku hiyo! Na ole wao wale watakaoifanya siku hiyo isiepukike. Natumaini na kusali kuwa siku hiyo kamwe haitofika” –Mwalimu Julius Nyerere (Januari, 1966)
  17. Nyamburi

    Msaada Tafadhali,mtoto anateseka

    Wadau habari,jamani ndugu zangu nimekuja hapa jukwaani kuomba ushauri wenu,nina mwanangu ana miaka miwili,alikua hospital wiki iliyopita na alilazwa kwa siku tano kwa ajili ya malaria na asthma!wakamtoa siku ya jumamosi na kurudi nyumbani!cha ajabu toka jana usiku,mpaka hivi sasa mtoto analia...
  18. Nyamburi

    Soko la pili pili mbuzi na nyanya chungu

    Mkuu Kubota,kwanza namshukuru sana mkuu Kapuku83 kwa kuweza kugusia juu ya uwezo na uelewa wako katika fani hii nawe kuweza kujitokeza na kuleta mawazo yako hapa,kwa kweli mkuu Kubota nimepata somo la kutosha na lenye mapana makubwa toka kwako,nashukuru sana tena sana,maana sasa nimepata mwanga...
  19. Nyamburi

    Flat Screen 32 inches inauzwa

    Ha ha ha ha!nadhani singsung ni mbadala wa samsung,maana samsung wanajifanya bora sana
  20. Nyamburi

    Soko la pili pili mbuzi na nyanya chungu

    Asante kwa kunifumbua macho mkuu,itabidi nijifunze zaidi juu ya zao ili pia,maana nalo sokoni linahitajika sana!nikiwa na nguvu nitajaribu piga yote mawili at once
Back
Top Bottom