Search results

  1. H

    Msaada wa Software Development!

    Wadau wa IT. Tupo katika mchakato wa kutengeneza software application (web based application), itakayowezesha customers wetu kutazama financial reports mbalimbali kama vile Stocks, n.k Baadhi ya features muhimu ni kama vile Charts, Bar graphs, Line graph, n.k zinazoonesha financial...
  2. H

    Unamaitaji ya applications ndogo ndogo za windows....?

    Good move mdau. Mimi pia natengeneza windows application kwa matumizi ya maofisini na biashara mbalimbali. Tunawezaungana tukafanya hizi kazi pamoja. Technologies nazo tumia: Microsoft: wpf, mvvm, prism, c#, Entity Framework, .NET, SqlServer n.k Java/Sun: Java, JSP , Servlets, J2EE...
  3. H

    Msaada wa Programming kwenye GSM Modem!

    Mkuu wewe si unazijua modem zetu za hapa home tz zimetoka Huawei China. Nimejaribu AT command kwani hiyo ndiyo basic na minimal command kabisa, sasa nikashangaa inakuwaje zisi support!!! Nimecheki online source, wanasema modem baadhi hazi support Advanced AT commands na si hizi basic commands...
  4. H

    Java programmer!

    Thanks sana ndugu. Darasa limeeleweka. Pamoja.
  5. H

    Java programmer!

    Thanks mkuu. Hiyo infite loop nimechukua kama mfano tuu, though ni bad design. Ku save video kweli sio nzuri, pia ina add delay isiyo ya lazima. Nilicheki hiyo lib , naona ipo ki commercial zaidi, na ina support language nyingi tuu. Me ni mwanafunzi, nafanya research katika application...
  6. H

    Java programmer!

    Mkuu nashukuru kwa mchango wako. Nimeona nitumie Java kutokana na open source library nilizozisoma + uwezo wangu wa kutumia Java si mbaya sana. Issue kubwa nilizoonayo ni:- 1. jinsi gani ya ku synchronize images zinazokuwa captured na zinazotumwa kwenda kwa receiver? 2. jinsi gani ya ku merge...
  7. H

    Java programmer!

    I thought nifanye kama ifuatavyo:- Sender a.k.a capturing computer:- 1. Loop infinite 2. Capture screen and save as image file 3. Create video from saved image 4. Stream video kwenda kwa receiver ..... Receiver: 1. Receive video sent by Sender 2. Show video 3. Receive Commands(mouse click...
  8. H

    Java programmer!

    Nahitaji kutengeneza iwe desktop application, lakini communication between pc inayo capture na ku share na nyingine iwe through Sockets. Tatizo kubwa kwangu ni jinsi njia nzuri ya ku transfer(yeah nime opt socket) captured screen kwenda kwa pc nyingine. Nachotaka ni kwamba kusiwe na delay...
  9. H

    Java programmer!

    Hahah! Mkuu nimecheki source mbalimbali. Hawa waja yao ni web based, nimeicheki from high levl point. Me nataka iwe desktop-based lakini communication itakuwa kupitia UDP au Stream sockets.
  10. H

    Msaada wa Programming kwenye GSM Modem!

    Wadau nimejaribu ku execute "AT commands" chache kama vile AT (on HyperText Terminal) kwenye GSM modem (Huawei) za hapa home tz naona zinagoma kabisa. Nikitumia modem za nchi nyingine zinapiga kazi vizuri tuu. Kuna mwenye wazo lolote juu ya hili tatizo? Au modem wanazoleta hapa kwetu zina...
  11. H

    Java programmer!

    Wadau wa Java, nahitaji ku create real-time desktop/screen sharing application in Java. Naomba mchango wenu.
  12. H

    Live! Updates: Brazil vs Spain - Confederations Cup 2013 Final - Leo Jumapili, 30/06/2013

    Tupeni link na sisi tuangalie online wadau
  13. H

    Live! Updates: Brazil vs Spain - Confederations Cup 2013 Final - Leo Jumapili, 30/06/2013

    Tupeni link na sisi tuangalie online wadau
  14. H

    Serikali tatu ndio dawa ya muungano!

    Serikali 3 ndio mpango wenyewe wa kuua muungano kisomi zaidi.
  15. H

    Serikali tatu ndio dawa ya muungano!

    Ndugu zangu, tukiwa tunajiandaa na serikali tatu, nashauri watanganyika tuanze kujianda na yafuatayo:- 1. Tuwaambie kabisa wapenzi wa muungano huu, waanze kuanda ikulu yao atakayeishi rais wa huo muungano. Ikulu ya sasa ni mali ya Tanganyika. 2. Tuanze ku edit katiba yetu, YES ni ku...
  16. H

    Python Stream Socket Programming!

    Shukrani sana. Nimeona nitumie python REST API kutoka kwenye module moja inaitwa paramiko. Ipo safi sana.
  17. H

    Python Stream Socket Programming!

    Wadau, mm ni mgeni wa python language. Ninataka ku implement client inayotransfer ma files zaidi ya moja kwenda kwa server app, in python language. Ningependa nitumie Stream Sockets (TCP) na sio Datagram Sockets(UDP). Nimecheki hii sample HAPA online lakini sijafanikiwa ku transfer files hizo...
  18. H

    Msaada wa Python Programming!

    Mdau! Naanza na structure: folder structure: com.hadoop.server >>StreamSocketServer.py com.hadoop.client >>StreamSocketClient.py com.hadoop.common >>CustomParser.py >>CustomMd5.py Natumia pydev kwahiyo com.hadoop.common ni package name tuu, haina maana nyingine ndugu. Modules: Modules zipo...
  19. H

    Msaada wa Python Programming!

    Thanks mdau. folder structure: com.hadoop.server >>StreamSocketServer.py com.hadoop.client >>StreamSocketClient.py com.hadoop.common >>CustomParser.py >>CustomMd5.py Modules imported: threading, socket, wmi, hashlib, ... Ndugu, ku distribute application si inabidi uwe ume build tayari ndio...
  20. H

    Msaada wa Python Programming!

    Hello! Mdau ku categorize kama web au desktop inakuwa ngumu. Simply ni Networking app inayo fetch client info na kutuma kwenda kwa server side. Client side: Stream Socket class inayo open connection na server side Server side: Stream Socket class inayo listen connection request from client...
Back
Top Bottom