Search results

  1. N

    Madaktari bingwa Muhimbili Watangaza mgomo rasmi

    Mbona wahadhiri hamgomi? au kwakuwa wanachuo wenu wamefunga?
  2. N

    Madaktari bingwa Muhimbili Watangaza mgomo rasmi

    Walimu nao wanaelekea kugoma, wahadhri wao wanajikongoja japo nao hali mbaya isipokuwa hawana chama chakuwasemea nao hali ngumu kodi kibao, wanakuwa promoted hwalipwi kama walivyokuwa promoted
  3. N

    HOTUBA za Bajeti Mbadala na Hali ya Uchumi nchini kutoka Kambi ya Upinzani Bungeni

    Hajasema mshahara hauwatoshi, issue hapa ni kuwa wanadai kwa muda mrefu na hawajalipwa na kumbuka wanaelekea mwaka mwingine wa fedha maana yake upo uwezekano wakutopew ama kulipwa
  4. N

    HOTUBA za Bajeti Mbadala na Hali ya Uchumi nchini kutoka Kambi ya Upinzani Bungeni

    Higher learning si wapiga wala wasimamizi wa wapiga kura. Mara ngapi umemsikia waziri ama Mh magreth Sitta mwenyekiti wa kamati ya bunge ya ustawi wa jamii katembelea university yoyote japo yapo malalamiko kama hayo kuyajua kwa undani? Hata mbunge tu yeyote ulishasikia akiomba nyie mlipwe haki...
  5. N

    Dr.Joyce Ndalichako atakiwa kujiuzulu.

    Peace ipi mnayopromote nyie hamnazo? Popote mlipo ni kujitahidi kupunguza wakristo tu. Idara ngapi zinazoongozwa na waislamu wenzenu zinaangalia kuhubiri na kupanua uislamu hata kama wanatakiwa wafanye kazi za umma? Ndalichako hapo mnamwonea tamkeni hadharani mnamtaka wa dini gani akae hapo...
  6. N

    Mengi yanayosemwa kuhusu UDOM kwenye soko la ajira si kweli.

    kale ka tabia kenu kakulipa hela kwa yule mwalimu wa kike kule chuo cha walimu awabadilishie marokeo mmeacha? au badokanaendelea kwa watroro wnye pase na wale wasiokuwa nacho kuendelea kungja sap?
  7. N

    Kumlazimisha Nassari kuomba radhi ni bora zaidi kuliko kumtetea!

    Kwani hujui kuwa hii ni serikali ya masheikh na ustaadha?
  8. N

    Shukuru Kawamba unajisikiaje hali hii

    waziri kashindwa hata kusimamia salary arreas za walimu na wahadhiri mbalimbali ataweza hilo la madawati? Haya hiyo chenji ya rada nayo imeingia labda hao wanaosomea hapo chini ya mbuyu watanufaika. Ukweli mheshimiwa waziri walimu na wahadhiri wananyanyasika sana na mishahara kuchelewa na...
  9. N

    JK kuifumua CCM - AITISHA GHAFLA VIKAO VYA CC NA NEC DODOMA

    Umesoma gazeti mkuu lenye habari ya UDOM?
  10. N

    Serikali ya CCM haya ndo maisha bora kwa mshahara wa 180, 000/= nyie mnalipana ngapi Bungeni?

    Nyongeza ya nini mheshimiwa rais wakati ule mshahara wa mpya wa mwaka jana bado tunadai na hatujalipwa ule wa mwezi wa julai na agosti? Au ndo mmeamua kuwastua wafanyabiashara wapandishe bei ya vitu vyao kuwakomoa wanaodai nyongeza ya mshahara kila mwaka? Mheshimiwa rais utambue kuna watu hata...
  11. N

    Serikali ya CCM haya ndo maisha bora kwa mshahara wa 180, 000/= nyie mnalipana ngapi Bungeni?

    Nyongeza ya nini mheshimiwa rais wakati ule mshahara wa mpya wa mwaka jana bado tunadai na hatujalipwa ule wa mwezi wa julai na agosti? Au ndo mmeamua kuwastua wafanyabiashara wapandishe bei ya vitu vyao kuwakomoa wanaodai nyongeza ya mshahara kila mwaka? Mheshimiwa rais utambue kuna watu hata...
  12. N

    Breaking news: Chuo kikuu cha mkwawa kimenuka tena mgomo waendelea

    Kwani Prof Mushi si kuku anaeatamia kama wa chuo fulani mpaka aondolewe?
  13. N

    Ni makosa makubwa kushinikiza Serikali - Dk Benson Bana

    Dr unadhalilisha taaluma hata kama wewe ni mtaaluma wa siasa na mdau mkubwa wa ccm
  14. N

    Waraka wa wazi kwa mh. Raisi dr. Jakaya mrisho kikwete - kutoka udom

    hayo yanatokea kwa wakubwa huko juu. Je mwayafahamu ya college of education? non academic staff wana review courses? mwafahamu pia kuwa wako wachache tu ambao malipo yao lazima yalipwe siku hiyo hiyo ya kikao chao lakini invigilation na vikao vya course review walizofanya wasioitwa colleagues...
  15. N

    Waraka wa wazi kwa mh. Raisi dr. Jakaya mrisho kikwete - kutoka udom

    Haya ndo matunda yakuongozwa na VC, principals and deans ambao ni wa staafu ama si muda mrefu wanastaafu. Sasa hivi education walimu wanapokuwa wanafundisha walinzi yaani suma jkt wanapitapita madarasani wakati lecture zinaendelea unajiuliza SUMA JKT wana wana-assess walimu? lakini pia walimu...
  16. N

    TBC ni wanafiki sana bora ife milele

    Toka moyoni nilisikitika sana kwa nini wakati startimes inaungua kwa nini haikutekea yote paoja na majengo yake kusudi wafanyakazi wake wabaki wanazulura tu kwakutotumia akili zao sawa kuwa tbc si ya ccm na kwa nini tanesco isikorofishe tena liungue lote tujue tuna tv za watu binafsi na hatuna...
  17. N

    Ufisadi mkubwa wa fedha za Mikopo UDOM

    Je bodi ya mikopo ni kweli mmeanza kuwakata wanufaika wa mikopo kwa kutumia sheria ya 8% of their basic salaries? Kama ndivyo mnatumia sheria ipi hali nakumbuka kuwa tulisaini mkataba wa about 3% na deni hilo tulitakiwa kulipa deni lote ndani ya miaka 10. Chakusikitisha mwezi huu chuo tajwa...
  18. N

    Kanisa Katoliki: Wassira atoe ushahidi wa Dk Willibrod Slaa kufukuzwa upadre

    Rais wa TEC mie naona kanisa katoliki liende mbele zaidi yakumwomba Wassira atoe ushahidi. Kwa namna ya maneno ya wassira mkiishia kuomba ushahidi na msimpeleke mahakamani kwa kushindwa kuthibitisha ataendelea kudanganya watz. kwa kumpeleka mahakamani mtafundisha kwa vitendo kuwa uongo kwa...
  19. N

    Kigoma kunatisha; Majambazi yapora kila kukicha - Mwema upo?

    hali kama hiyo ya majambazi kutamba imekithiri pia dodoma mjini na vitongoji vyake. Kamanda zelotte upo?
Back
Top Bottom