Search results

  1. VPN USED2020OCTOBER28

    Napendekeza Magufuli awe Rais wa maisha, tufute vyama vingi

    nakuona ulivyo na hasira kijana.... kwanza pole sana kwa haya ya maajabu tunayoyaona hapa tanzania pili kila jambo lina mwisho wake.. lakini mwisho wa mtu anayejifanya ni mbabe sana huwa ni aibu.... unakumbuka mfano wa kwenye biblia david Vs goliath? kikubwa tujipe moyo kuwa hii ni changamoto...
  2. VPN USED2020OCTOBER28

    Uchaguzi 2020 Mgombea wa Urais wa Tanzania, Tundu Lissu afungiwa na NEC kufanya Kampeni siku 7

    HATA KAMA WANGESEMA WAMEMFUNGUA MPAKA SIKU YA UCHAGUZI SISI WAFANYABIASHA, WATUMISHI WA UMMA, WANAVYUO TUNAOSOTA MITAANI PASIPO AJIRA RASMI, TULIOTUMBULIWA KWA KUONEWA, WASTAAFU WOTE AMBAO HATUJALIPWA MAFAO YETU, WANANCHI TULIOBOMOLEWA NYUMBA PASIPO KULIPWA HELA, N.K. RAIS WETU NI TUNDU LISU!
  3. VPN USED2020OCTOBER28

    Uchaguzi 2020 Hii inakatisha tamaa kwa Dkt. Magufuli

    tutakiwa wa ajabu huyu jamaa jiwe kumuacha ationgoze kwa kioindi kingine cha miaka mi tano itakuwa ajabu sana..... kafanya nchi kama ya kwake.... anakauli za kututisha wananchi.... hatupi faraja kipindi cha matattizo kama tetemeko la kagera..... upiuzi kabida
  4. VPN USED2020OCTOBER28

    Tanzania kuwa nchi ya ajabu kwa kuichagua CCM tena

    akili kwa makalio ndiko ziliko zakonakili
  5. VPN USED2020OCTOBER28

    Tanzania kuwa nchi ya ajabu kwa kuichagua CCM tena

    Eti chuma? Nchi hatuwezi sema eti imepiga hatua kwa kusema eti tuna flyover la Ubungo na Buguruni, eti imeendelea kwa kuwa na ndege, eti na stand, wakati wananchi wake kwa asilimia 80 hawawezi mudu mlo wa siku moja. Eti ndege wakati wananchi wake hawewezi mudu kupanda hizo ndege. Flyover ipo...
  6. VPN USED2020OCTOBER28

    Uwanja wa Ndege Dar: Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu - Julai 27, 2020

    mtoa post ni kibamia na mke wake ni bwawa la mtera *****
  7. VPN USED2020OCTOBER28

    Je, vifaa vya utawala wa Trump ni “Ubaguzi” na “Kuwajibisha pande nyingine”?

    huna hoja naona unarukaruka tu! huu ni ugonjwa ambao umekuja ghafla sana na kuanza kupotea, sasa point yako ni nn?? hooo wanasayansi wametoa takwimu za ukweli gani? unajua ni wangapi wanaumwa ukimwi, mbona hizi takwimu umezifatilia?? je hapa duniani hakuna mahonjwa hatarishi kuliko corona? be...
  8. VPN USED2020OCTOBER28

    Je, vifaa vya utawala wa Trump ni “Ubaguzi” na “Kuwajibisha pande nyingine”?

    Chamsingi unachokimaanisha sikioni...... ubaguzi gani upo hapo? ni nani asiyejua kuwa COVID19 imeanzia WUHAN CHINA? hata kama vingeitwa vurus vya china naona inhekuwa sawa tu maana vimeanzia china na hilo halina ubishi hata kidogo, watu lazima wawe huru na maisha yao na huwezi walazimisha kuvaa...
  9. VPN USED2020OCTOBER28

    Obama: Gaddafi death is warning to iron-fist rulers

    Obama: Aftermath of Gaddafi overthrow, 'worst mistake as president' US President Barack Obama has said the worst mistake of his presidency was a lack of planning for the aftermath of the 2011 toppling of Libyan strongman Muammar Gaddafi. Probably failing to plan for the day after what I think...
  10. VPN USED2020OCTOBER28

    Obama: Gaddafi death is warning to iron-fist rulers

    PLEASE! obama alisema katika utawala wake , kosa kubwa alilolifanya ni kuruhusu majeshi ya usa kuivamia libya, kwa tafsiri hyo ni kwamba anaomba msamaha
  11. VPN USED2020OCTOBER28

    Uchaguzi 2020 VoA, BBC na Al Jazeera watangaza habari za Membe juu ya Uanachama wake na nia yake ya kugombea Urais kwa kupitia tiketi ya CCM

    swala la kujiuliza ni kwanini JASUSI MBOBEZI anajeuli sana? kwa nini ndani ya ccm yote wanamgwaya sana meko? Inaonekana Mbobezi jasusi anasiri nzito sana inayomhusu mekeo !! tuye tuye choma choma 2020🤔
  12. VPN USED2020OCTOBER28

    Obama: Gaddafi death is warning to iron-fist rulers

    elimu elimu elimu elimu... hujui kiingereza kaa pembeni
Back
Top Bottom