Search results

  1. wangonyo

    Neno 'naumia' wakati wa tendo la ndoa

    jamani sijamuona cantalisia hapa, kwanza habari zenu, huyu bint ni mjukuu wangu haswa, na alishawahi kuja na katatizo hako hako eti kwa nini chungu tamu na tamu chung, nikamwambia mjukuu wangu hapo sasa umekua, usijeahirisha penati refa akisha weka mbwembwe zake ndani ya 6 badala ya mpira...
  2. wangonyo

    Natafuta Mchumba/Mume.

    ha ha ha ha!!! oooooops! unanikumbusha zamani sana mjukuu wangu na kale ka nahau "ya msema kweli?!!" teh teh teh teh !!! hawa wajukuu wamegeuza siasa kuwa hali halisi ya maisha, wanajua ni ngeli zako tu!, mjukuu nwangu, alielala mwamshe mara moja asipoamka tangulia mbele, tah tah tah !!!
  3. wangonyo

    Kweli nimsamehe huyu binti?

    mi naona wanangu, hoja mnazo tetea ni kutaka kwanza asikilize upande wa pili, sawa kabisa wajukuu zangu, hili alishalitambua mwenyewe na alilifanyia uchunguzi mfano mabadiliko kwani alishasema he was being cheating by huyo wake kwa kuanzia kipindi cha mabadiliko yake ya kupm wanaume wawili kama...
  4. wangonyo

    Kweli nimsamehe huyu binti?

    mh! pishi limeshaiva mjukuu wangu! wasubiri lipoe wakati wajua ulichopika ni supu ya mbwa utainywa baridi wewe?!! teh teh teh!! mjukuu unataka suruhisho la kushea mapenzi au? teh teh! wajukuu wangu bwana, eti umuulize mwizi ameiba kweli?!! teh teh te!!!!!
  5. wangonyo

    Polisi ni wahuni!

    mh! mjukuu wangu! usizime moto kabla hujamaliza mapishi, mimi na bibi yako tumekuangalia na kugudua pishi lako halijaiva, vigezo na masharti kijana, tupe notice za kutosha, walisimamia vipi?, ili tuchangie la kwetu kulingana na mchango wao huo! teh teh teh!!! hawa wajukuu bwana! ila...
  6. wangonyo

    Hair on men chest...

    wajukuu zango hamjambo?!! mmmmh!! hapa "mchelea mwana kulia" maumbo ya mtu kwa jinsi yalivyo kwa wakati huashiria taarifa fulani kuhusu mtu huyo, lakini hili la nyele kifuani au ndevu wajukuu zangu halihusishi personality ya mtu, ni vile tu alivyo na accesss kubwa ya viotea nya mwili au udogo...
  7. wangonyo

    Umewahi kufanya ukauzu gani kwa mpenzi wako?!

    we nasdaz na wengine wajukuu zangu wote kumbukeni ya kale kwamba mapenzi ni popote kwa hali yoyote, ila ni pale tu kila mtu anapojitoa moyo wake kwa mwenzie, hakuna lishindikanalo katika wapendanao, teh teh teh!!! mmenisoma wajukuu zangu?!!!
  8. wangonyo

    natamani mume wangu anywe pombe

    nyinyi wajukuu zangu hasa wewe smile si juzi tu mmekuja kwa bibi yenu na ka ugomvi kenu eti mmeo huwa anakuaga anakwenda kwa bishanga atachelewa kurudi sababu usafiri wa huko kwao ni tabu ukajaa sumu eti anachelewaga sana, mjukuu si umeolewa wewe? hebu njoo mama yako mkubwa anakuita akuonye na...
  9. wangonyo

    natamani mume wangu anywe pombe

    nyinyi wajukuu zangu hasa wewe smile si juzi tu mmekuja kwa bibi yenu na ka ugomvi kenu eti mmeo huwa anakuaga anakwenda kwa bishanga atachelewa kurudi sababu usafiri wa huko kwao ni tabu ukajaa sumu eti anachelewaga sana, mjukuu si umeolewa wewe? hebu njoo mama yako mkubwa anakuita akuonye na...
  10. wangonyo

    Kazi ya ualimu

    mi chuo changu kuna gepu la kufundisha ki spanyora! karibu.
  11. wangonyo

    Hospitali ya rufaa Bugando inaelekea kubaya!

    Ni kwamba kinachotakiwa hapo ni huduma inayotakiwa kuwepo iwepo ukisema kwamba hatua zichukuliwe wakati watu wanakufa haisaidii sawa bibi kisusi
  12. wangonyo

    Ajali Ubungo Riverside

    kaka hebu peruzi kaswari kangu afu unijibu, nasubiri tafadhali.
  13. wangonyo

    Ajali Ubungo Riverside

    lori hilo lilikuwa na abiria hivyo lilipoacha njia likapinduka au lilipoacha njia likajimuvuzisha kwa wabongo waliokuwa katika mishe zao? hebu nijue hapo wadau, coz nataka kufanya comment na iziraeli apunguze kidogo coz mwaka mpya umekaribia.
  14. wangonyo

    Kizungumkuti cha ndoa!

    mhuuuuuuuuuuuuu!!!! haya bwana, kwa hapa jf wapole sana, tena fantastic answers ndo zimetawala, sijui kuhusu actions!
  15. wangonyo

    Maandamano nchi nzima yatangazwa baada ya bunge kukubali muswada wa sheria wa marekebisho ya katiba

    mi si niliwaambia hata kipindi kile kaja kuomba chumvi dirishani nilimnyima akagoma kuondoka nikaandamana na wanangu ndo akasepa, shauli lenu, mabomu kidogo tu eti mnatimua mbio loh! hayo maandamano mtayaweza kweli?
  16. wangonyo

    UDSM kimenuka sasa hivi, Kikwete na Kawambwa Wataficha wapi nyuso zao?

    kupeng'e una roho ngumu sana, wenzio wanasotea haki zao na pengine zako hapo baadae coz sijui upo wapi ivi sasa afu we unawaambia wamebip wamepigiwa! that's not good, kosa lao lipo wapi? kosa ni la ' mfalme jh' kwani ana mipango lukuki kila kukicha, utamsikia leo kwa jilani kesho kijiji cha...
  17. wangonyo

    UDSM kimenuka sasa hivi, Kikwete na Kawambwa Wataficha wapi nyuso zao?

    aisee!!!!!!! fantastic avatra, lakini hebu turdi na nyuma, ivi ni mtu tu akijiskia kuongea kwa manufaa yake anaongea tuuuuu au ni mipango ya serikari, na kama ni ya serikari basi .com, hadi wanafunzi?!!! afu eti uwape wa mwaka wa kwanza unataka kupunguza wasomi ili nchi ui.com vzr! hiyo sera...
  18. wangonyo

    Huyu ndo msanii ninayemkubali Bongo, we unamkubali nani?

    afadhali wewe coz mada ya excellent afu ukimtaja roma mwake kabisa, napenda ungenitumia baadhi ya mistari yake ambayo unafikiri ni kwa nini umempost hapa ingekuwa pouwa.
  19. wangonyo

    Huyu ndo msanii ninayemkubali Bongo, we unamkubali nani?

    nafkiri utakua umeona jitihada zangu hapa! mambo niaje!
  20. wangonyo

    Huyu ndo msanii ninayemkubali Bongo, we unamkubali nani?

    aaah!!!!!! habari yako daughter!!!!! naona upo kwenye milazo ya ma song! lakini poa ebu angalia signature yake mi kama naona kitu fulani hapo kulingana na mada aliyoitoa au we unaonaje?
Back
Top Bottom