Search results

  1. M

    Atamjuaje baba wa Mtoto????

    Pole yake bt hyo mimba itakuwa ya huyo mume wa m2, bt kwan iliingia? Anatakiwa kuwa na maamuz ya maisha yake c kuamuliwa, huyo kumganda n kumzibia rizki tu, amtel jamaa mpya kuna m2 anamsumbua thn wakutane dada achague huyo mpya, bt kama dada anakipato (kazi) bac amteme jamaa, labda km...
  2. M

    No ndoa kisa hajui ku do

    Wala hatuchek coz n maumbile yapo kwa wote
  3. M

    No ndoa kisa hajui ku do

    Wala hatuchek coz n maumbile yapo kwa wote
  4. M

    No ndoa kisa hajui ku do

    Jaman hii msiishangae sana, bora kajua mapema kabla hajaapa, cku hz kuna kasumba, hakuna kufanya had ndoa, juz ilitokea jamaa hatak had ndoa, haya chereko zikaisha, kumbe hata jogoo hawik hata kushtuka, jaman haya c majaribu? Kuuziwa mbuz kwenye gunia? Huyo mdada achague moto au barid ili...
  5. M

    Makosa saba wafanyayo wasichana ambayo huwafanya wachelewe kuolewa !!!!

    @kipipi nakubaliana nawewe, mbona na wao hawaonyesh yanayowafanya wachelewe kuoa? Kila m2 anamipango yake c lazima mwenzako akiolewa na wewe uolew kwa kuiga, hapana jaman.
Back
Top Bottom