Search results

  1. M

    Kocha wa yanga na katibu wa timu waondolewa usiku huu!

    bora Manji awe kocha
  2. M

    CCM siyo mama yangu-Maige!!!!!

    Wanzake watampelekea chakula na nyama ya twiga Keko au Segerea
  3. M

    Matusi ya Lema na Matusi ya Lusinde ni Matusi Yetu na Unafiki Wetu!

    Mhhhh wote walipotoka maadili lakini Mh. Lusinde ana PHD ya mdomo mchafu
  4. M

    Kauli ya Nape Juu ya Arusha na Tafsiri Yangu

    kweli Watanzania tunaongozwa na watu wasiokuwa na uwezo wa uongozi, mtu mmoja kama Lema anaweza kuwa chanzo chz Vurugu kwa mji kama Arusha/ Makao makuu ya EAC ? hainiingi akilini
  5. M

    Wako wapi hawa watu?

    ukishindwa lazima utafute sababu, so wakipata wataonekana tu
  6. M

    Uzinduzi wa CCM jumatatu utakuwa live TBC

    mhhh kazi sana tu, kama watalipia air time sidhani kama kuna tatizo
  7. M

    Kuhusu mgomo wa madaktari: John Mnyika

    haya wacha nione nini kitokea katika kesho ya CHADEMA wakati wakikosoa leo ya CCM
  8. M

    Je, Bunge litamfukuza Zitto kwa "kutokuhudhuria" vikao; hasaini kupokea posho!?

    Sidhani kama orodha ya malipo bungeni tu ndio kigezo cha kujulikana kama upo? kwakua Zitto ni mtu makini tayari anajibu la hilo
  9. M

    Eti...eti..mwenge haukufika kileleni ml. K'njaro..kisa.

    kwani kufika kwa mwenge kileleni kunabadilisha nini katika maisha ya mtanzania?
  10. M

    Madaktarri wanaumuhi Tanzania

    Kutokana na Mgogoro wa Madaktari Bingwa na Wizara ya Afya unaoendelea. je serikali inaona umuhimu wa Wataalamu hawa?
  11. M

    Kuhusishwa kwa watanzani ktk mjadala wa katiba

    elimu bado inahitajika katika kuwaelimisha juu ya Katiba iliyopo kwanza
  12. M

    Daima Tutamuenzi

    Hakika pengo lake halita zibaka ingawa kiti chake kitakaliwa na mwingine vijana tuige mfano wake "hakuna kama R.E.M"
  13. M

    Nchi imemshinda na Chama chake kimemshinda; aombe wawekezaji?

    kuna propoganda zimesikika jijini Dar, eti Rais nchi imemshinda kiasi cha kufikia Jeshi kujiandaa kuchukua nchi ! Hebu tutafakari ni kweli nchi yetu inahitajika kuongozwa na Jeshi.
  14. M

    jk atimiza miaka sita kama rais?!

    baado ataendelea na majukumu yake ya maisha mabaya zaidi kwa kila mtanganyika
  15. M

    Safari za Rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005

    kwa muda mwingi watu wa kada mbalimbali wamekuwa wakilalamika juu ya Safari za Rais J.K kuwa hazina tija kwa nchi, nini maoni yenu wana Jamii
Back
Top Bottom