Search results

  1. M

    Nani anasema nyumba za shirika la nyumba ni za watu wa kima cha chini?

    Lakini Anti-Fisadi...hiyo nyumba ya milioni 30-40 ya vyumba vitatu utaijenga wapi katika eneo lile la Ubungo ambapo kiwanja pekee si chini ya milioni 100? Mi hawa jamaa nawaelewa kwa upande huo zaidi..wanajenga maeneo ambayo yanafikika na yapo mjini kabisa,waingereza wanaita prime areas. kama ni...
  2. M

    Serikali imelala, miezi 3 ijayo tunaangamia

    Duh! Leo tupo kwenye 1USD= 1840 TZS..kweli miezi mitatu ijayo tutakuwa hapo!! kazi ipo!
  3. M

    Wakazi wa Ilala kota watimuliwa kama mbwa; damu yaweza kumwagika

    Aaaaggghhh! Yaani mi inanikeraga sana jinsi Watanzania tunavyopenda kubebwa!! Hivi mnajua watu wangapi tunaohangaika na kodi kubwa zinazopanda kila kukicha, halafu nyie mmepata nafasi ya kukaa kwenye nyumba za NHC kwa miaka 40!! bado mnalalamika kuondolewa (kwa kulipwa!) ili kupisha ujenzi...
  4. M

    Tanzania kufilisika Novemba 2015?

    Tunapoelekea...!duh! Waliopo mashirika ya umma bado hawajalipwa mishahara, bei za vyakula ndo kwanza zinapanda maradufu huku bei ya madafu ikizidi kuporomoka! Tukifika hiyo 2015, basi tupige magoti na kumshukuru Mungu!
  5. M

    Hodi Hodi Wenye Nyumba!!

    Shukran sana Ulimakafu!
  6. M

    Maoni yangu kuhusu Meru Residential Appartments

    Babu, kama kuna kiwanja cha namna hiyo hapa Arusha mjini ambapo naweza kufanya vyote hivyo..please nielekeze sasa hivi!1 Arusha kiwanja pekee pale maeneo wanayojenga NHC, si chini ya milioni mia tatu (300)! na hapo ni unanunua gofu halafu ubomoe na kuanza kujenga upya...sasa nyumba gani utajenga...
  7. M

    Zitto ahamishiwa Muhimbili hospital kwa matibabu zaidi

    Shukran sana kwa kunisaidia kuuliza hili swali!! Nilitegemea kusikia amehamishwa kutoka Aga Khan kwenda India kwa matibabu zaidi...!
  8. M

    Hodi Hodi Wenye Nyumba!!

    Dah..At last nimepata nafasi ya kuingia kwenye hii familia baada ya kuelekezwa mara kibao na marafiki zangu!! Mada motomoto zilizomo humu ndani zinaamsha mwili na kunipa moyo zaidi kuwa bado kuna Watanzania wengi ambao tuna uchungu na hii nchi!! Tupo pamoja Mdau MiNasema.
Back
Top Bottom