Search results

  1. Mmasi

    Magufuli na Wanakigamboni

    uchonganishi sipendi wewe unahoja kupiga mbizi sio hoja.Hoja ni mbinu chakavu za ccm katika kutatua matatizo ya watanzania! Acha kujenga chuki.
  2. Mmasi

    Gazeti la Al-Huda lafanya uchochezi

    kweli! Ukiona mtu mwenye afya njema anaendeshwa na gazeti la udaku kisa lina jina la kiarabu anafikiri ni hadithi. Hapa naziona akili ndogo wala hakuna ccm hapa!
  3. Mmasi

    Gazeti la Al-Huda lafanya uchochezi

    waache wafu wawazike wafu wenzao! Al-huda endelea wewe unawajua wafu wenzako uliowaandikia! Kweli waislamu wanaingiliwa hata huyu mwenye akilu kama hizi ni kiongozi wa kiislamu hata siamini! Waislamu wenye ufahamu mzomeeni huyo....
  4. Mmasi

    Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

    personality of a Leader is so much important... Mheshimiwa.Makongoro alikwama Kujijenga Kijamii kwa kuboresha Tabia yake kwa jamii.
  5. Mmasi

    Faida na hasara za kuoa mwanamke msomi na mwenye kazi na kipato kizuri

    Nilitegeme Mada hii Ingetufundisha sote, sioni kabisa sababu ya nyinyi kurushiana maneno yasio na staha.Ikumbukwe heshima na adabu ni moja ya mafanikio ya mwanadamu awapo duniani! Upendo daima! Forgive each other.
  6. Mmasi

    Yafahamu makundi yanayo ongoza kwa ushirikina Tanzania....

    siasa bila uchawi inawezekana lakini uwe kwa Mungu haswaaa
  7. Mmasi

    What I learned at age 22

    everyone invest for future!
  8. Mmasi

    Hongereni wote mliotangaza nia ya urais 2015 mapema

    wote kutoka ukawa ccm nakadhalika
  9. Mmasi

    Hongereni wote mliotangaza nia ya urais 2015 mapema

    Moja ya mambo manne Hayati Mwl.Nyerere aliyo yazungumza ni 'Siasa safi' Siasa za unafiki zimeshamiri sana siku za hivi karibuni hususa ni kuelekea kuwapata viongozi wa nchi yetu, Wapo wachache kwa kweli nawapongeza sana kwa kusema bila kigugumizi kwamba wamekusudia kuwatumikia watanzania...
  10. Mmasi

    Tangazo La Tigo liwe fundisho kwa Wanaume Wanavyoishi na wake zao.

    duh siku hizi sio chagga pekee ao ni katabia kawengi kwasasa.
  11. Mmasi

    Tangazo La Tigo liwe fundisho kwa Wanaume Wanavyoishi na wake zao.

    Jamani Tangazo La tigo linalorushwa ITV Mwanaume anatoka tuu kazi Mwanamke anauliza.."Umekumbuka kuja na zile Pesa" Huyu mwanamke Hajampokea, Hajampa pole, Hajala swali ni PESA. Chaajabu Mwanaume nae anaangaika kuliko maelezo kisa Bibie ndani.Take care Needs your comments please.
  12. Mmasi

    Live Updates: Yaliyojiri Mkutano Mkuu wa CHADEMA ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam...

    Makamanda wameulizwa mpo tayari..... Maandamano yasiyo na Kikomooo.Wewe unasemaje?
  13. Mmasi

    Tambo za waziri Muhongo

    -Kitendo hiki hakipaswi kufumbiwa Macho na wazalendo wa Nchi yetu. -Siku chache zimepita mapema wakati wa kupitisha makadirio ya bajeti Wizara ya Nishati na Madini, Mh.Olesendeka alihoji Juu ya sakata la IPTL na wasiwasi wake katika Utekelezaji wa Ahadi za Rais Mh.Dk.Jakaya kikwete katika Jimbo...
  14. Mmasi

    Kwanini tunaendeshwa na Poropaganda na Vituko vya Wanasiasa?

    The Boss utaona hata wa changiaji wa thead hizi ni wachache watu ni "UMBEA WA KUZUNGUMZIA NGONO KILA MUDA" change is you.
  15. Mmasi

    Kwanini tunaendeshwa na Poropaganda na Vituko vya Wanasiasa?

    yah ni kweli mipasho na vijembe vya nini
  16. Mmasi

    Kwanini tunaendeshwa na Poropaganda na Vituko vya Wanasiasa?

    Naikumbukwe inatupasa kurithisha kwa vizazi vijavyo "UTASHI" sahihi wa kufikiri' na kuchanganua' mambo.Wewe utarithisha hizo Kejeli.
  17. Mmasi

    Kwanini tunaendeshwa na Poropaganda na Vituko vya Wanasiasa?

    Kweli jamaani Taifa linaweza kupoteza Dira hususa tunapoona Mijadala inayoendelea ni ya kueneza matusi na kejeli kwa kuwa Mwanasiasa wa mlengo fulani amepotoka katika jambo fulani,Nasema hii haikubaliki kwa masilahi mapana ya Taifa letu hata JF.Naomba kukuhoji hivi unaweza kusema wewe ni Great...
  18. Mmasi

    Mahusiano ya kidiplomasia kati ya Tanzania na Israel

    :majani7:Serikari acha Uoga mimi mtanzania naomba Ubalozi uweanzishwe mapema .... hata wabunge wana hitaji...
  19. Mmasi

    Msaada wa Haraka Jf doctors!!!

    achana na matumizi ya vinywaji vikali sambamba na vinywaji baridi;soda ,pombe....... Pendelea kunywa Maji ya uvuguvugu na sio ya Baridi..
Back
Top Bottom