Search results

  1. K

    DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

    Nimelipa kuunganishiwa maji tokea tarehe 29/05/17 Kwa ajili ya kuunganishiwa maji. Lakini mpaka leo sijaunganishiwa, nimeenda DAWASCO Boko nimeambiwa hawana mipira ikiwa tayari watanipigia. Kama mnajua kuwa mipira haitoshi kwanini mnawaambia wateja walipe??
  2. K

    A Gift for Marriage annivessary

    A holiday?:smile-big:
  3. K

    Shule za awali za watoto wadogo

    Naomba msaada wanajamvi, hasa wazazi wenzangu. Ninatafuta Nursery School/Preschool nzuri kwa ajili ya mtoto wangu wa miaka miwili na nusu (English medium) Ninaishi Mbezi Beach - DSM. Ninatanguliza shukurani zangu za dhati.
  4. K

    JB na Ray: Tumalize ubishi hapa

    JB hana mpinzani!
  5. K

    Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

    On point. It's true. RIP SCK.
  6. K

    Hospitality ya meno - PRIVATE

    Jamani ninaumwa meno si mchezo. Ni hospitali gani ina huduma uhakika ya meno hapa Dar? Siwezi kuvumilia lazima kesho niende. Tafadhalini nisaidieni !!!!
  7. K

    Regia alimkwepesha pacha wake na ajali

    RIP dada Regia. Mwenyezi Mungu akupe nguvu dada Remija. Kazi yake haina makosa, yatupasa kumshukuru kwa yote. Bwana alitoa, bwana alitwaa Jina lake lihimidiwe. Amina.
Back
Top Bottom