X-Factor kwa maelezo yako haya "cjawahi kuformat disk c,,, bt huwa nafuta windows old baada ya kubadilisha OS, ntajaribu kucheck restore disk image kwenye website yao,,
Inamaanisha ya kuwa unafanya installation ya Windows kisha uweki drivers za accelerated graphics drivers.Fanya hivyo uone jibu.
Poa mkuu!
Mie nadhani nishasemaga mara nyingi humu kwa JF jamani msiingilie kazi za watu wengine haya sasa ushajua FORMAT-> NEXT-> NEXT -> NEXT ->INSTALL -> NEXT -> NEXT -> FINISH basi mtu anajiona kashakuwa mwana IT.Sasa mbona kwenye kuformat hukuomba msaada? Pole sana mkuu.Tafuta Pegasus Data...
R.I.P Bro n Sisters - To Ma Homies That We Lost PC Deogratius Mahinyila(Brai Mnyausi) Ayoub & Amina tupo pa1 only the good die young. Long Live IFM Daima for DEO.
I
Well kiaina flani nawatetea wanawake wa cku hizi ya kuwa wachakalikaji wanasaka mshiko na kuokoa jahazi inapobidi ila basi wasipitilize wala kusahau majukumu ya nyumani maana imekuwa taabu sana nowdays kwa kuwa NDOA UREMBO MAJUKUMU YA NYUMBANI HOUSE GIRL.
Pia ipo hii HP Compaq 6200 pro microtower mpya kwa laki 4 Na Nusu
https://www.jamiiforums.com/matangazo-madogo/577947-very-powerfull-hp-compaq-6200-pro-microtower-mpya-for-sale-450-000-a.html
Mkuu kabla haujafanya waliyokuambia wapendwa sana humu dimbani mie na mtizamo kidogo tofauti ila mbeleni utaingiliana na huu wa nyuma tafadhali.
1. Tafuta enclosure nyingine fungua hiyo ya samsung(Bomoa Case) kisha toa hiyo hard Drive yako.
2.Chukua hard drive yako ya samsung iiingize kwenye...
Well, kwa haraka haraka ningekuwa mimi ningejenga hivi hiyo room,
1. Ukuta wote usukwe kwa nondo(mesh) 16mm bila kuacha nafasi ina maana nodo na nondo zinaungwa na welding
na ningetumia lead blocks au plates.
2.Jenga undergroung hiyo room na ikimalizika zungushia winding ambazo baadae...
Nadhani Lala unahitaji kukua vzr ili uayone haya katika jicho la 3D,Unadhani baba kuchelewa kurudi hme mama anachukia? Unajua ya kuwa wake sometime wanaku-support utoke hme uende kula bata na wadau maana shughuli nzito muamala unasoma kila mara c unajua hadi kuoa umependa haswa?? Sasa mara moja...
Unajua humu ndani nimegundua wengi wetu humu washamba wa magari na wataendelea kuwa washamba wa magari maana wamepata vijigari majuzi majuzi tuu na wanajifanya wanajua magari,kuna wadau wawili watatu humu ndio wanajua magari esp Nissan, Nissan sio gari ya kuchezea kama Vitoyota vyenu vya...
1. Toa battery na kuiwasha bila battery.
2. If hakuna kitu chomoa hard drive na iwashe na check na msg inayotokea kama hakuna kitu hapo.
Tafuta wataalam wakusaidie kwa ajili ya ku-restore na kupakua data zako ziwe sawa.
Sasa mkuu hapo inakuwa ngumu kukutoa kwa tatizo lako unless uandae mfuko watu tuingie kazini tukutatulie hilo kama lah basi subiri wadau wengine wanawezakuwa na suluhisho la hilo ila kwa issue yangu cha kwanza nilitaka error msg inayotokea baada ya kutoa hard disk na kuiwasha maana machine hizo...
Nadhani hakuna kitu ambacho kinashindikanika katika Toshibas ila hamjampata fundi mzuri kwa hilo tafuteni mafundi wazuri.Nani aliwaambia Universal driver ndio kila kitu????
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.