Search results

  1. M

    Ajira zenye mishahara mikubwa kama milioni 7 n.k huwa hazitangazwi

    Kwa taarifa tu....Dr Kapiteni Onesmo Lusangulira ni Specialist wa Internal Medicine tena wa muda mrefu sana.....Hayo mengine sijui
  2. M

    Familia inateseka sana. Nisaidieni natafuta Kazi, Kibarua

    Hakuna lolote unalozungumza zaidi ya tuhuma tu. Kama nia yako ilikuwa kumchunguza usingeanza kwa kumuita tapeli hadharani. Amekuchallenge zaidi ya mara moja kuthibitisha tuhuma zako unaongea ngonjera tu. Amekupa hadi taarifa zake zote na wapi unaweza kumpata na ukasema una mtu Dodoma wa...
  3. M

    Familia inateseka sana. Nisaidieni natafuta Kazi, Kibarua

    Usipoteze muda na wajinga ambao hawatakuja kukusaidia. Hii nchi ina wapumbavu na wenye roho mbaya wengi sana. Achana na huyo mjinga
  4. M

    UTT AMIS kuna kitu wanafeli

    Mimi ni mteja wa siku nyingi wa UTT na kusema kweli mifuko yao ni mizuri sana kuwekeza ila customer care ya wale wadada pale mapokezi ni changamoto sana. Mimi huwa sikanyagi kabisa pale kuepuka maudhi labda kama naenda kutoa hela ila issue nyingine zote namaliza na simu au email. UTT...
  5. M

    Vijana someni Uuguzi, una fursa nyingi

    Nimesoma maandiko yako ya nyuma.....nimeamua kukupuuza
  6. M

    Vijana someni Uuguzi, una fursa nyingi

    Duh.....kumbe uongo ndio jadi yake.....kama ningejua hata nisingepoteza muda wangu kujibizana nae.....
  7. M

    Vijana someni Uuguzi, una fursa nyingi

    Usipende kudandia usiyoyaweza.....non us citizens wanaoenroll kwenye Us med schools hawafiki hata asilimia 2.....US citizens hasa whites ndio wana dominate
  8. M

    Vijana someni Uuguzi, una fursa nyingi

    Wewe ndio fuata upepo wenyewe..tena usidandie treni kwa mbele hii sio level yako.....mimi naishi na kufanya nao kazi na nimekuwekea data nyie mnaongea maneno makavu.....lete ushaidi hapa
  9. M

    Vijana someni Uuguzi, una fursa nyingi

    Hahaha.....hata siku moja mihangaiko ya daktari haitokuja kufanana na nesi nakwambia...utakufa na roho yako mbaya na hotokuja kuona hilo.....na nani kakuambia lazima kufanya kazi Tanzania......nenda tu hapo Botswana na Namibia uone vijana wa kitanzania wanavyopeta mawodini
  10. M

    Vijana someni Uuguzi, una fursa nyingi

    Hahahaha....mimi nimefanya residency marekani ndio maana najua unaandika upumbavu uwadanganye wengine......fuatilia nyuzi za miaka ya hiyo wakati JF haina wajinga kama wewe sisi tulianzisha movement ya kufanya mitihani ya usmle na kina njiwa sasa tunakula maisha. Kila nikija na data...
  11. M

    Vijana someni Uuguzi, una fursa nyingi

    Nikija na data za 2021 utakubali au utaendelea kubisha......nikikuletea data kuwa ni wamarekani wazawa tena weupe ndio wanaongoza kwenye hizo enrollment utaendelea kubisha......mimi naongea na data wewe unaongea pumba kutoka kichwani kwako....lete data hapa tuone.....Na hizo data nilizokupa ni...
  12. M

    Vijana someni Uuguzi, una fursa nyingi

    Wewe jamaa kiazi kweli....hahahaa Unasema vijana wa kimarekani wamepunguza kusoma medicine. Marekani ya wapi.....ya kichwani mwako.....unapata wapi ujasiri wa kuongea pumba katika mambo usiyoyajua hata kidogo.. Haya angalia graphs hapo chini ya med school enrolment uniambie lini...
  13. M

    Vijana someni Uuguzi, una fursa nyingi

    Najua ukiwa mjinga hujijui ila wanaoumia ni waliokuzunguka. Ebu nipe ushahidi wa kupungua kwa demand ya madaktari kwa asilimia 75 huko marekani na ulaya kama ulivosema. Ninavyojua demand ya madaktari imezidi kuongezeka USA na nchi za Ulaya kama graph zinavyoonyesha hapo chini Nasubiri ushahidi...
  14. M

    Vijana someni Uuguzi, una fursa nyingi

    Oops what a waste.....kwa hiyo main purpose ya kusoma Anatomy ni kufanya cannulation....acha huo ujinga....Kujua Median cubical vein imepita wapi na kuifanyia cannulation ni vitu viwili tofauti.....hata wafagizi tu wa hospitali huko vijijini wanajua kuweka cannula bila hata elimu ya anatomy...
  15. M

    Vijana someni Uuguzi, una fursa nyingi

    Ndio maana nasema bado medicine ni best option kwa Tanzania hata huko nchi za nje.....huwezi hata kidogo kufananisha fursa za daktari na nesi......tungejiuliza kuhusu medicine vs pharmacy ila sio nursing abadani. Nursing ni option ya mwisho kabisa kwenye kada za afya kwa sababu nyingi sana...
  16. M

    Vijana someni Uuguzi, una fursa nyingi

    Usijitoe ufahamu.....lini wanafunzi wamezidi wagonjwa.... Kwa kijana mwenye kichwa kizuri bado best option ni medicine au labda pharmacy......nursing hii ya kupangusa madirisha na kusafisha kinyesi...hell no !
  17. M

    Vijana someni Uuguzi, una fursa nyingi

    Tatizo una inferiority complex wewe nesi wa kiume.....niambie medical school gani duniani(mind you sijasoma Tanzania) wanafundisha daktari kufanya cannulation.....hizo kazi ndogo ndogo za mikono madaktari hujifunza wodini duniani kote hata mfagizi anaweza kujifunza... Hahaha......kwa hiyo...
  18. M

    Vijana someni Uuguzi, una fursa nyingi

    Mimi ni daktari....na nimefanya kazi nje ya Tanzania.....najua naongea nini
  19. M

    Vijana someni Uuguzi, una fursa nyingi

    Unaumwa wivu wewe ..... manesi karibu wote Tanzania ni doctors wannabe.....ndio change cha wivu kama huu
  20. M

    Leo rasmi nimeanza kutumia dawa kwa ajili ya pressure. Naanza staili mpya kuishi

    Hii ndio roho ya kichawi sasa....unataka ifike ngapi ndio aanza dawa ?
Back
Top Bottom