Search results

  1. Mwanakilimo

    Kikwete na CCM kuwahadaa wafugaji: Ni Aibu, ni Fedheha, na si Haki....

    Mkuu Tuko umenena kweli... Nakumbuka sana hotuba ya Kikwete ya kufunga kampeni pale jangwani mwaka 2005 (dakika kadhaa kabla hajaanguka), alisema kuwa amesikitishwa sana na hali ya wafugaji aliyoiona katika mizunguko yake nchi nzima, na kuahidi kuwa akiingia madarakani ataboresha sekta hiyo...
  2. Mwanakilimo

    Network marketing

    Yani hata we ndo hujaeleweka kabisaaaaa...
  3. Mwanakilimo

    What can be done to prevent our economy from collapsing?

    Kuna kitu nakifikiria, I don't know kama kinaweza kuwa fact... Katka mazingira ambayo serikali inatumia fedha kiasi kikubwa kugharamia gharama zilizoongezeka ghafla kama umeme, je kushuka kwa thamani ya shilingi sio faida kwake? Yaani kama unahitaji billioni moja Tsh kulipa mishahara, kutoa...
  4. Mwanakilimo

    kulalamika.....

    sasa kwa nini na wewe unalalamika watu wakilalamika?
  5. Mwanakilimo

    Dr Slaa na sekratariet yako. wajibikeni katika hali...

    Jimbo la Musoma vijijini na mfano wa maeneo yaliyokuwa na wagombea dhaifu. Unakumbuka yule dogo aliyeteuliwa, kisha yeye na wenzake watano wa vyma vingine wakajitoa siku moja baada ya kutangazwa wagombea na NEC. Hizo ndo hali tunazopaswa kujiepusha nazo 2015. Hongera mkuu kwa kumkumbusha Slaa...
  6. Mwanakilimo

    Holstein-Friesian

    Mkuu ukweli ni kwamba hakuna shamba la serikali Tz hii kwa sasa lina uhakika wa kuwepo kwa HF pure breed. Kuna ranchi moja ipo Kagera, zamani ilikuwa na pure breeds lakini hata yenyewe sasa inaaminika imeshachakachua. Kitulo pia waliopo sio pure breed, japokuwa kwa kiasi fulani wanakaribia...
  7. Mwanakilimo

    Sababu za kufeli sera ya ruzuku ya pembejeo za kilimo. Serikali ikune kichwa upya...

    Mimi naishi mjini, wala si mkulima kwa practice, bali kwa taaluma. Mwaka jana kuna mbolea ya ruzuku 'ilikuja' mtaani kwetu nami nikajipati mfuko mmoja UREA na miwili ya DPP. Nilichukua nikaweke kwenye maua yangu. Ukweli ni kwamba mpango wa serikali wa ruzuku ya pembejeo ni total failure. Sina...
  8. Mwanakilimo

    Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

    Mzuriweye kama kweli unataka kufanya ufugaji siriaz wa kuku, jipange sawasawa, ili ikiingia uingie kweli. Kwa mfano, kwa hali ya afya ya kuku Tz, simshauri mtu afuge kuku wa mayai kwenye banda ambalo sio la battery cage. Kuhusu kumpata meneja, ambaye atakupa na bz plan, inaweza kuwa ngumu...
  9. Mwanakilimo

    NBC Visa + MasterCard zaanza kugawiwa

    Owkee... nilikuwa sifahamu mzee... Kwa post yako leo nimeongeza ufahamu wangu... thanks
  10. Mwanakilimo

    Holstein-Friesian

    Kwa nini unaamini H. fresian ni lulu mkuu? Je, utawfahamuje ukiwaona kuwa huyu ni pure breed n sio chotara?
  11. Mwanakilimo

    NBC Visa + MasterCard zaanza kugawiwa

    Kivipi mkuu... BTW, NBC wana kazi kubwa sana ya kufanya kabla hawajanishawishi nirudi huko...
Back
Top Bottom