Tunatengeneza website kwa ajili ya wateja, web applications and mobile applications. Atapata exposure, Gain experience from experts and many more so if you are interested karibu utume maombi yako
AKROS LIMITED Calls for applications to any individual with medium level knowledge and experience in Website Designing and development. Kindly send your Application letter and Resume to info@akros.co.tz before 15th August 2017.
Let them try wamejitahidi kwa kiasi chao, Hizi kazi zinatakiwa zifanywe na a team of developers. You cant see each and everything. Ndo maana Facebook wanalipa bounty hunters wawasaidie kutafuta security flaws. Kuunda system yoyote ambayo inatumika online katika scale kubwa siyo mchezo mchezo...
JOB OPPORTUNITY 1 POST
ADROIT SOLUTIONS LIMITED
Adroit was established in 2012, specifically to deal with Information Communication Technology (ICT) services both software and hardware.
Adroit is looking an experienced and innovative Web developer aged 20-30.
Main roles
Ø Candidate must have...
Habari wakuu, Ningependa kufahamu kwa wenye experience na hii kitu sio tu kuisoma bali kufanyia kazi. Ni kiasi gani(range) ya pesa au malipo unaweza ukapata kupitia Google adsense, na malipo yake yanakuwaje. Nakaribisha maoni yenu. Asante.
Habari wakuu, nahitaji kununua printer mpya inayotumia inkjet technology, Ni aina gani nzuri ambayo inaweza kufanya kazi kubwa na itoe output yenye high quality. asante
Nipo serious, wakuu, kuna mtu alinipatia hiyo link nimsaidie kukopy content za hiyo tempelate, imeanza na maneno website redesign proposal template nimejaribu kila kitu, haikubali, labda m niambie kua pc yangu ina matatizo,
Link Hiyo hapo wadau,https://www.pandadoc.com/website-redesign-proposal-template, copy hiyo tempelate kama ilivyo dont subscribe,just copy without taking a hastle, Ngoja tuone mautundu
Copying can be prevented completely, nimeshakutana na site moja ya nje, hata ukidisable Javascript, fanya mautundu yako yote cant copy a thing, labda upige snapshots uandike manually, which is time taking.
Ukiingia darasani itakua vizuri zaidi, kwani utakua unajua vitu kwa undani zaidi. hii inatofautisha kati ya developer na great developer, technician na best technician nk.. kuna baadhi ya concept hutaweza kuzipata kwa kusoma mwenyewe, it requires the ability of connecting dots, kutokana na...
kuhusu bank gani wanasupport, Barclay's ni rahisi zaidi, kwa crdb pia inawezekana ila kuna vi procedure vingi vingi vya kufuata so huwa wanachelewa, kwa maelezo zaidi unaweza ukawaona, watakuelekeza.
ok nice, vistors si tatizo, wala language si tatizo, keep trying, halafu chek vizuri kama site yako inacomply vizuri na adsense policies and guidelines.
ili ulipwe ni hadi ufikie viwango flani vilivyowekwa na google, ingekua hakuna vigezo kila mtu angekua na blog mkuu, hii inaendana na pia google wawe wanapitisha matangazo yao, kama unataka kuweka tangazo lako kupitia adsense, inabidi kulipia kulingana na maelekezo yao, mfano airlet na voda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.