Search results

  1. E

    Tamko la Mkurugenzi wa TCAA Hamza Johari kuhusu waunda ndege wazawa ni la hovyo

    Hata mimi wakuu nimesikitika sna kusikia tamko.Ingekuwa ni mweupe anayengeneza angekaa kimya.Watu kama hawa wangepelekwa sido na kupewa vifaa na siku moja wangeweka historia.
  2. E

    Serikali Dodoma, imepiga marufuku unywaji na uuzwaji wa pombe saa za kazi

    sasa kuwafanya wasinywe muda mwingi si watakuwa nyumbani na si itakuwa balaa zaidi?Kwani wakinywa jion hawalewi?Mm nilifikiri amepiga vita baa kufunguliwa mchana ili watu wafanye kazi kumbe ni ili wasipige wake zao!!!
  3. E

    Serikali Dodoma, imepiga marufuku unywaji na uuzwaji wa pombe saa za kazi

    Amepiga kwa walala hoi tu au hata hotel za kitalii?Manake kusiwe na double standard!
  4. E

    Mwanza - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Mwanza walishindwa kukamata magari yaliyoleta kura bandia na kuziingiza majimbo ya kanda ya ziwa.
  5. E

    Ingekuwa ni Hon. Edward Ngoyai Lowassa, tungefurahia ushindi tangu hatua ya kwanza ya matokeo!

    Nafikiri hata CCM wanakubali kuwa mwisho umekaribia.Haiwezekani karibu halmashauri zote ziongozwe na wapinzani halafu bado wajidanganye wameshinda.Sasa utaona mnyukano ndani ya CCM kwa wale ambao walijitenga na JPM wakati wa kampeni.
  6. E

    Iringa - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Madiwani je?Manake hapo nako ndio pa maana.Manake mbunge bila madiwani wa kutosha kuisimamia halmashauri inakuwa ngumu.
  7. E

    Upinzani wa Tanzania Unapokosea (Where the Tanzanian Opposition Get It Wrong)

    Nilichogundua ni kuwa sehemu zote amnazo hazikuwa na matokeo ya magari kukamatwa na kura za bandia CCM wameshinda.Hata huko mwanza vijana hawakufanya kazi yao ipasavyo.
  8. E

    Dar es Salaam - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Funguka vizuri sisi tuko njian hatuna mawasiliano yoyote.Nani ameshinda temeke?
  9. E

    Kwa nini walioshinda wapinzani matokeo hayatoki kwa wakati?

    Swali langu,mbona majimbo yote waliyoshinda wapinzani kura zinazotangazwa na NEC kuwa ziliharibika ni nyingi sana ukilinganisha na yale ya CCM?Hivi Kilindi wapiga kura zaidi ya elfu arobaini haijaharibika hata moja?
  10. E

    Prof. Mkumbo: Udhaifu wa Dr.Slaa ni kukurupuka kufanya maamuzi

    limi Magufuli atajibu kuhusu kuwagawia nyumba za serikali mahawara zake?
  11. E

    Wassira "Tyson" ampiga M/kiti wa CCM mkoa Mara

    Mh mbowe alihukumiwa kwa kosa la kushambulia.Sasa nataka nione kama na huyu atafikishwa kwenye vyombo vya sheria.
  12. E

    Kama chama hakimiliki jengo lake, kinawezaje kuwatumikia wananchi kwa ukamilifu?

    Mbona Spika hana Mume mmemkubali awe spika wenu.Anawezaje kuongoza bunge wakati ameshindwa kuwa na familia?
  13. E

    Hivi kwanini ITV wanapenda kuripoti habari za migogoro zaidi ya za maendeleo?

    Kuna maendeleo unayoyaona wewe?Hivi utathubutu kupita mtaani unawaambia rafiki zako kuwa mtoto wako ana akili sana yuko darasa la saba na anaweza kuandika jina lake bila kufuta?
  14. E

    Gari 9 Zatumika Msafara Wa Dr Slaa: Haya ni Matumizi Sahihi ya Ruzuku?

    Haya magari yote ni mali ya chama?Manake ydawezekana ni wafuasi wa chadema wameamua kwenda kumpokea kipenzi chao sasa hapo kosa ni lipi?Siku hizi karibu kila mtu ana gari hivyo marafiki zake kumi wakiamua kwenda kumpokea itakuwaje?Acheni siasa za majitaka.Wanaofilisi nchi wanajulikana wazi.
  15. E

    Urais 2015: UKAWA waanza safari

    ndivyo mlivojitapa serikali za mitaa mkaishia kufukuza wakurugenzi.
  16. E

    Urais 2015: UKAWA waanza safari

    Haha haaaa.Kama si rafu na wizi wa CCM 2010 mzee wa magogoni angepigwa chini!
  17. E

    Urais 2015: UKAWA waanza safari

    Kumbuka Ukawa wakipitisha jina wanalotaka wengine wanaweza kugombea ubunge kwenye majimbo.Hata Lowasa aliposhindwa kipindi kile aligombea ubunge monduli.
  18. E

    Urais 2015: UKAWA waanza safari

    Hiyo ni njia ya kuelekea huko.Kila chama kitapeleka jina,halafu atachaguliwa mmoja.What next?
Back
Top Bottom