Search results

  1. Nzunga

    Paul Makonda amtaka mwandishi kumuuliza mama yake baada ya kumhoji tuhuma za kumshambulia Lissu

    Elewa maana ya maswali chokozi.. yaani unauliza sio upate jibu, la!.. unauliza ili kupima reactions za mtoa jibu.... Pongezi sana kwa Mwandishi
  2. Nzunga

    Mwenye swala lolote kuhusu Technology ya AI

    Unaweza kunisaidia free AI chat apk hapo..
  3. Nzunga

    Mafanikio ya Rais Samia yanawatesa waliokuwa wanaomba ashindwe kuongoza nchi

    Chawa kama chawa😂 Katika ubora wa kichawa
  4. Nzunga

    Urusi imeishika pabaya Israel kuhusiana na Unazi

    Sasa watz wengine tunahusikaje hapo🤔
  5. Nzunga

    Putin awafuta kazi majenerali nane na pia agombana sana na taasisi ya ujasusi ya FSB

    Navuta subira kuchangia chochote kwa sababu vikwazo vya kiuchumi sio mara ya kwanza Russia kuwekewa.. Na bado akashinda.. Taarifa nyingi tunazopata ni propaganda za magharibi, ila reality wanaijua warussia wenyewe...
  6. Nzunga

    Aina nyingine ya wizi mpakani Tunduma

    Poleni sana.. ila ni vyema ungeliwasilisha mamlaka husika ukiwa pamoja na vielelezo vyote..
  7. Nzunga

    Mbeya: Wanawake watatu mbaroni kwa kughushi nyaraka za kuomba mkopo benki

    Ugumu wa maisha unafanya watu wabuni mbinu mpya zisizokuwa halali katika kujipatia kipato
  8. Nzunga

    Taasisi kumi za usalama wa taifa zenye nguvu zaidi duniani

    Tuendeleze sifa hata za kinafiki tu.. TISS ya Tanzania nayo ilipaswa iingie kwenye top 10, maana sio kwa kupambana hivi na wapinzani wa serikali ya jiwe..
  9. Nzunga

    Aliyevujisha barua ya walimu kutakiwa kuvunja makundi yao ya whatsapp asakwa

    Kwani hiyo barua ni ya siri au ya wazi kwa watendaji wote?? Pia kwani kuna ubaya gani barua ikisambaa mitandaoni kama njia ya kifikishiana ujumbe? Au DED wa Nchemba bado anaishi dunia ya enzi za mwalimu??? Ujinga ni adui mkuu wa binadamu
  10. Nzunga

    CCM wamtumia salamu Sugu 'kaa mkao wa kula'

    Kwahiyo mzee Bashiru ameanza kampeni mapema hivi????... Ila sijui kama wataweza kumtoa Sugu jimbo la Mbeya mjini.. Tulia Ackson ajiandae kupambana na vijana
  11. Nzunga

    Edo Kumwembe: Wakati mwingine tunalazimika kudanganya kwa ajili ya kuokoa aibu ya Taifa

    Mimi ndio sijakuelewa wewe mtoa post unamaanisha nini!!..
  12. Nzunga

    Clouds 360: Kama Nyerere angekubaliana na wazo la Kwame Nkurumah kuifanya Afrika nchi moja basi Dr Magufuli angekuwa Rais wa Afrika

    Kampeni angepigaje wakati kiswahili hajui na hata lugha za maziwa makuu pia hajui??.. Au labda kama Kisukuma kiwe Lugha ya bara zima la Africa
  13. Nzunga

    Tuhuma za DC Sabaya, Je ni mkakati wa Mbowe kuelekea kulinda Ubunge wake 2020 au kuna ukweli?

    Mbowe hahitaji mbinuu chafu kama hizo kutetea jimbo.. DC kama ananuka rushwa ananuka tu wala haina haja ya kumuingiza Mbowe kwenye uchafu wa makada machafu ya ccm
  14. Nzunga

    Nimeamini Rais Magufuli anakubalika sana huku mtaani, mitandaoni ni kelele za wachache

    Mtoa post umezitoa wapi hizo takwimu za kukubalika kwa Jiwe???... Umesahau hata kwenye kampeni watu walivyokuwa wanajaa lakini muitikio wa kura uliuona???. Usidanganywe na ukubwa pua kuwa kipimo cha wingi wa kamasi
  15. Nzunga

    Simiyu: Waganga wa jadi kutoka Gamboshi na Bariadi wadai kumloga Mwana CCM atakayechukua fomu kumpinga Magufuli

    Mikwara ya kizamani sana hii.. Ndio maana nawadharau sana wasukuma.. Hadi leo bado wanaamini mambo ya kishamba kama haya... Nashangaa ambavyo viongozi wa ccm wamekaa kimya kuhusu hizi kauli za uchafuzi wa chama chao.. Nathubutu kuamini kuwa ccm wanawatumia hawa wachawi ktk mambo yao... Shame...
  16. Nzunga

    Rais Magufuli anatupeleka kwenye Uchumi imara na Nchi ya kujitegemea

    Mnatumia nguvu nyiingi kumsafisha huyu Jiwe wenu na ccm.. Yeye mwenyewe hana uhakika kama anaupeleka uchumi huko mnakotaka nyie.. Uchumi haujengwi na Rais wala viongozi wanafiki.. Uchumi haujengwi kwa kupeleka maendeleo ukanda mmoja wa nchi... Uchumi haujengwi kwa kukamata wapinzani wako...
  17. Nzunga

    Baada ya Mbunge wa Kenya Jaguar kuidhihaki Tanzania hatimaye Katibu Mkuu wa CECAFA Musonye amezidisha machungu

    Ukiona mtu anakubeza sana tena bila sababu basi ujue kuna kitu unamshinda na yeye hana ubavu wa kukufanya chochote.. Wakenya siwashangai, wana wivu utadhani wanawake wa kinyakyusa bwana
  18. Nzunga

    Tetesi Bulletin: Musiba agoma kuitikia wito wa Polisi kuhojiwa; Polisi wajiuma meno...

    Wacha wapotezane... Adui yako muombee njaa tu
  19. Nzunga

    Tetesi Bulletin: Musiba agoma kuitikia wito wa Polisi kuhojiwa; Polisi wajiuma meno...

    Natamani nije niamke nikute kila nachokiona na kinachotokea Tanzania kiwe ni ndoto tu....
Back
Top Bottom