Search results

  1. K

    Natafuta fundi magari -ford

    CMC haWATENGENEZI GARI ZA ZAMANI GARI YANGU NI FORD FOCUS
  2. K

    Natafuta fundi magari -ford

    Natafuta fundi wa magari mwenye uzoefu wa ford (ford focus ) gari ipo Dar es salaam haiwaki my contact 0754479518 au mwenye contact za mafundi wazuri wa ford please provide details
  3. K

    Fundi magari-ford

    Natafuta fundi wa magari mwenye uzoefu wa ford (ford focus ) gari ipo Dar es salaam haiwaki my contact 0754479518 au mwenye contact za mafundi wazuri wa ford please provide details
  4. K

    Nauza viwanja Kigamboni (Vijibweni) SQM 2400

    Nauza viwanja viwili Kigamboni maeneo ya vijimbweni -viwanja teyari vina ofa na vimeungana kila kimoja kina zaidi ya sqm 1100 bei ni shi 38,000,000/= kwa kila kiwanja kama utachukua vyote vyiwili bei inaweza kushuka kidogo NOTE vijibweni ni eneo La mradi wa kuendeleza mji kigamboni...
  5. K

    Jinsi ya Ku-Apply Kazi za PPF

    wamepost kwenye Facebook page yao PPF Pensions Fund shared a link.5 minutes ago Wadau na wanachama wote wa PPF ambao mlikua mnajaza nafasi za kazi kwa kupitia mtandao wetu wa www.ppftz.org sasa mnaweza kuendelea kujaza baada ya tatizo lililokuwepo kushugulikiwa. Poleni na samahani kwa sumbufu!!!
  6. K

    nimeibiwa ipad 2

    TCRA si walisema no ziwe recorded ina mana Voda wanadetail zote za no gani inatumika kwenye device ipi yenye ime gani na kwa sasa hio ime inatumika na no gani mtandao gani na hio line ni ya nani ?
  7. K

    nimeibiwa ipad 2

    likuwa na ios ya zamani 6 ilikuwa bado cja upgrade mawazo yangu ni kwamba kwa vyile nilikuwa natumia line ya voda IME kunauwezekano voda wakanipa ime yake kwa sababu najua unapofanya mawasiliano yoyote lazima IME iwe recorded ishi ni wapi pa kuanzia
  8. K

    nimeibiwa ipad 2

    wana forum salam za mwaka mpya kwangu nimuuanza kwa kuibiwa nimeibiwa ipad ilikuwa na information muhimu sana kwa yoyote atakaye fanikisha kuipata zawadi nono itatolewa . wizi umetokea jtano 15/1/2014 dar es salaam wakati inaibiwa ilikuwa na line ya voda na ilikuwa nasalio la kutosha...
  9. K

    ERB regestred professional computer engineer needed

    hi all i am preparing ERB report to full fill requirement of ERB to be registered as professional computer engineer there fore request supervisor on this field . im working in Dar es Salaam my contact 0754479518
  10. K

    Used 27kv uk generator for sale or exchange with small 10-15kv generator

    USED LISTERPETTER 27KVA UK GENERATOR Price: $US 8,000 HI ALL IM SELLING USED UK LISTER PETTER 27KVA GENERATOR WITH THE FOLLOWING SPECIFICATION 21KW AMPS 37 V 415 3 CYLINDER DIESEL THIS GENERATOR CAN BE USED TO RUN OFFICE, PETRO STATION, SCHOOL, HOSPITAL ETC NOTE ...
  11. K

    Used listerpetter 27kva uk generator (bei rahisi sana usd 8,000)

    Is is not silence but you can create local canopy
  12. K

    Used listerpetter 27kva uk generator (bei rahisi sana usd 8,000)

    USED LISTERPETTER 27KVA UK GENERATOR Price: $US 8,000 HI ALL IM SELLING USED UK LISTER PETTER 27KVA GENERATOR WITH THE FOLLOWING SPECIFICATION 21KW AMPS 37 V 415 3 CYLINDER DIESEL THIS GENERATOR CAN BE USED TO RUN OFFICE, PETRO STATION, SCHOOL, HOSPITAL ETC...
  13. K

    Natafuta gereator 7kva - 17kva

    Ok nashukuru kwa ushauri
  14. K

    Natafuta gereator 7kva - 17kva

    ThX King Kong III hiyo uliyo ni offer ni kubwa sana kwa matumizi yangu maximum size should be 17kW but nashukuru kwa kuonyesha nia ya kunisaidia
  15. K

    Natafuta gereator 7kva - 17kva

    Members je wapi wanauza used generarot za size hio kwa maeneo ya dar na na morogoro
  16. K

    Natafuta gereator 7kva - 17kva

    nashukuru sana kwa ushauri ndio mana nataka used wapi naweza kuipata nzuri na kwa bai gani ukinipa diraction nitashukuru
  17. K

    Natafuta gereator 7kva - 17kva

    sina uhakika sana ila mtaalamu ameniambia ni 7kw-17kw kwa matumizi yangu
  18. K

    Natafuta gereator 7kva - 17kva

    7kva - 17 kva in generator ya kawaida for domestic use or small business
Back
Top Bottom