Search results

  1. kopuko

    Ndege ipi ina huduma nzuri kati ya Kenya airways vs Rwandair

    Rwanda airways wapo poa,Kenya airways kwanza wezi sana,route ya kutoka SA to Dar es salaam kupitia Nairobi lazima uibiwe kwenye mabag,most of people wanalalamika ijcluding me,sijui wanashirkiana wenyewe au namna gani wanafungua mabag kabisa
  2. kopuko

    Sheria ya mafao inasemaje kuhusu Viongozi Waziri Mkuu anapohama chama

    Ritz Hakuwa waziri mkuu wa ccm
  3. kopuko

    Lowassa Hafai! Yes I said It - Sababu ya I

    hadithi ndefuu kuonyesha upeo wako wa kufikiri ulivyo mdogo,umekurupuka but kukurupuka kwako kutakusaidia leo... Elimu kwanza ndio msingi,,elimu inabeba dhana zote ambazo wewe unapinnga,,watu wakielimika vyema watafundishwa kujiajiri,,wakielimika vyema wataffundishwa namna bora ya...
  4. kopuko

    Mh. Lowassa na team reject

    Mpitagwa walifukuzwa kwa sababu gani?sio lazima uwekebandiko la lowasa ili mradi tu uongee jadili hata taifa stars labda upeo wako wa akili utakuwa mzuri huko zaidi
  5. kopuko

    Lowassa: Sihusiki na Richmond, ilitungwa kunichafua. Sitohama CCM!

    mbona umekurupuka kama mwe*u,,,,soma andiko la jamaa vizuri kapata wapi pesa
  6. kopuko

    Kamati Kuu CCM yatoa uamuzi kuhusu wanachama sita waliokuwa wamefungiwa

    ajabu ambao awajawahi hata kupima afya zao nao wanazungumzia afya za watu
  7. kopuko

    Ndugu Lowassa ni Kweli Fedha zako Nimekula Lakini Naomba Unisamehe

    sijawahi ona mtu mp*zi kama wewe so ur telling us all this ili iweje? wapi ushahidi wako wa kula pesa zake? peleka umbea wako kwa watoto wa kike wenzio
  8. kopuko

    Diamond: Rais anajuwa mambo mengi kuliko mimi kwenye muziki

    Kuwa rais sio lazima usijue mziki
  9. kopuko

    Diamond: Rais anajuwa mambo mengi kuliko mimi kwenye muziki

    Sijaona cha ajabu unachostaajabu..rais ana miaka 65 now..kama rais akiwa na miaka 55..so shida ni nn hapo....sio lazima upost
  10. kopuko

    Kutoka Songea: Lowassa apigwa pini, awekwa mbali na Kikwete

    ni mtu sahihi ndio maana watu hawalali kwa ajili yake
  11. kopuko

    Kikwete 'anampinga' January for President 2015'?

    ur damn right
  12. kopuko

    Kikwete 'anampinga' January for President 2015'?

    umemshindaje?
  13. kopuko

    Lowassa anaweza kuwa mgombea Urais 2015, kwa afya yake ataweza kuzunguka nchi nzima?

    mkuu tuwekee majibu ya vipimo ulivyompima..
  14. kopuko

    January Makamba alishiriki wizi wa Mitihani Galanos na kufutiwa matokeo

    all in all alifaulu,so ana akili hata kuiba ni akili pia
  15. kopuko

    How to start micro finance company

    asante sana nitakaribia kwa msaada wa kisheria na asante kwa ufafanuzi ulio nipa mwanga
  16. kopuko

    How to start micro finance company

    wakuu habarini, msaada kwa mwenye info/utaratibu/vigezo na masharti vya kufungua microfinance natanguliza shukurani!
Back
Top Bottom