Search results

  1. K

    Aibu Kuu Uhamiaji: Uchakachuaji wa matokeo ya usaili wa nafasi za koplo na konstebo

    hata iyo ya ualimu utakua mwalimu wa kawaida maisha yalo yote huupati uwalimu mkuu wala uafsa wa elimu
  2. K

    Tamaa mbaya baba mchungaji

    Na akome dadaddekiiiiiii
  3. K

    Unlock your Tigo modem here for free

    ndugu yangu mie nnazo inlock na flash code ila sijui nizifanyie nini? kuweza ku unlock hizooo
  4. K

    Jamani niende au nisiende? msaada....

    inategemea na mazingira nduguuu ya hiyosehemu yenyewe, may b pango la nyumba ni ghali, na huduma nyenginezo so mia 5 elfu ni kidogosana
  5. K

    Mwanamke na kufika kileleni

    mnh usiende kwa wenye ndoa zao ukajipa matatizo mie nipo, sijisifu ila najiamini, karibu sana nipo zenji, ntafute kwenye fb na ni follow kwenye twitter pia kwa jina hili. Ntakusaidia sana
  6. K

    Rafiki wa mume wangu ananitaka

    usiuharibu urafiki wa mumeo na swahiba wako, huwezi jua wameanzaje urafiki wao, ila chukua urafiki wa "bwana rula" utakusaidia, na huyo shemeji usintege kwa kukaa kihasara hasara, afu pia jua hili "CHUMA HULIWA NA KUTU, CHA MTU HULIWA NA MTU." ITS VODACOM. Kazi Ni Kwako!
  7. K

    Alikojoa Dagaa!!

    mnh mie naogopa khasaaa, na sasa naona tafarani mkasa huu namie wataka kuntokea, kuna mjimama flani anakaa jirani na nyumbba niliopangisha karibu na chuo , chuo kiomoja hapa kisiwani Unguja, huyo mmama anauza kiduka, wakati naenda kununua vitu vya kupika akajidai kanipenda na kuna mtoto wa...
  8. K

    Utamaduni wa wahaya na kifo cha kanumba

    yakheee msituchanganye hapooo hakuna cha mhaya, mpogoro wala mpemba hapooi, cha msingi ni kuzikwa kwa hiyo maiti tuu na kuipumzisha salama kwa amani, na zaidi nyie kama familia ya kanumba oneni ufakhari kwa huo msiba wa ndugu yenu kuhudhuriwa na umati wa watu wengi kuliko kuupeleka mwili huko...
  9. K

    Is It Possible For a man & woman To be just Friends and Not Lovers for Appr. 5 years?

    yah inawezekana kama kuna mipango thabiti na heshima ila kiuswahili haiwezekani, mie kuna mdada mwanzo nilikua nampenda nikataka kumtokea wakati tulikua na wiki tu chuoni ya kujuana , baadae nikagundua ni mke wa mtu, afta kunionesha picha ya mwanawe ambae ni wa miaka mi2 , na signs nyengine, but...
  10. K

    MAONI na MAPENDEKEZO ya CUF kwa Rais Kikwete: Soma nyaraka nzima...

    cuf munnikosha wallahi mungu awajalie :poa
Back
Top Bottom