aulizwe Jaji Warioba yeye bado yumo ndani ya bodi ya TTCL,kwani yeye ndiye anasimamia share za Salim A Salim. na huyu Omar issa wa BRN kwa kushilikiana na Mo Ibrahim ndio waliazisha celtel na kununua TTCL kwa bei poa
Hongera sas!!!! lakini mo na salim ni marafiki kuna wakati mo alipokuwa mmiliki celtel salim alikuwa mwenyekiti wa bodi ya celtel kwahiyo hawa watu wanajuana siku nyingi
Tatizo sio ttcl, tatizo mkataba ambao serikali ili ingia na celtel (msi) ambao unaifanya celtel kuwa na share ya 40% ndani ya ttcl, wakati wote wanafanya biashara zinazofanana yaani internet na simu. Prof Msola alikuwa anataka kuvunja mkataba huo wenye share waliopo serikalini wamehakikisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.