Ripoti ya PAC ni dhaifu na ukiangalia ilitengenezwa ili kuilinda serikali isianguke, wakakosa sehemu ya kusimamia na sitegemei kama Rais atamwondoa Muhungo na Maswi. Moja ya hoja za kipuuzi ni kulazimisha waliopewa pesa na ruge walipie kodi utadhani kila mtu anayepokea pesa analipia kodi.
PAC...
Nipo, Mambo kama haya hayapiti hivi hivi bila kuchangia. Ukiangalia utaona ofisi nzima ya Kakukuru imeondolewa kuanzia Naibu Mkurugenzi Mkuu, Mchunguzi mkuu na hii inaonyesha kuna mabadiliko makubwa yanataka kutokea PCCB.
Nilitegemea Lilian angechukua nafasi ya Hosea ambaye atastaafu hivi...
Huu ni moja ya chaguzi ambao chadema watashindwa vibaya sana. Sitarajii wa kupata hata ten percent.CDM wanatakiwa kujipanga upya Kama Chama, kuanzia uongozi Mbinu za ushindi pamoja na sera.
Watanzania wamebadilika sana kuhusu mtazamo wa siasa na maendeleo, wanataka Vyama vitakavyoonesha ni...
Hawa wazungu wasanii, huyu Elsie kalifanyia nini Taifa? Zaidi ya kuwaconnect wazungu Kwa Dili za kulimaliza Taifa..
ujinga mtupu.. That lady ndo aliwaleta wef...she is not popular in tz, how comes she become the best from tz? Advocacy ipi keshafanya?
wewe dogo unaanza kulewa umaarufu, Mkurugenzi wa UWT si saizi yako na uwe na nidhamu.
Usipende kuweka siasa kwenye masuala yanakozidi umri na nakushauri utafute shughuli ya kufanya kuliko kuwa kibaraka.
Namsikitikia sana Mamvi, anarudia makosa yale yale yalimfanya aondolewe kwenye uwaziri Mkuu.
Washauri wake ni wasahaulifu sana na matukio ya kisiasa. For the benefit ya vijana ambao ni wageni hapa Jamvini, tabia moja ya EL ambayo inaweza kumkera yeyote ni yeye kutaka kuonekana anaweza...
Mkuu MM, Serikali inatakiowa kuchukua hatua na nitafanya jitihada za kuwasiliana na Rais kikwete. Wamekisahau na wanaogopa ila ni bora kuondoa shari mapema
Wakuu
Leo sina maneno mengi zaidi ya kuitaka serikali ichukue hatua za haraka na za dhati kuhakikisha wale wote ambao wamehusika na matukio yafuatayo wanakamatwa, wanafunguliwa kesi na kuhukumiwa adhabu(hata iwe ya kifo)
1.Waliohusika na mauaji ya Mchungaji kule Geita
2.Waliohusika na Mauaji...
M. M
Hili ndilo tatizo la mtoto anayedekezwa, hataki kuambiwa chochote na hili litawaathiri sana CDM katika kujipanga ili waweze kupewa dhamana ya Uongozi.
Kwenye siasa hasa kwa chama ambacho haijawahi kutawala inahitaji Busara ya khalli ya juu sana hasa kusikiliza yale ambayo hautaki...
Heshima Mbele
Ni muda sijaanzisha Mada hapa ila kuna jambao ambalo limekuwa likinitatiza kwa muda sasa ila naamini nyie mnaweza kuwa mnajua?
Hivi kwanini Lowassa anautaka Urais? akichaguliwa atalisaidiaje Taifa? Je, Pesa hizi anazotumia kuweka watu wake kwenye Chama tawala atazirudishaje...
Mkuu M.M Mwanakijiji et all..
Jana nilisikia kuhusu hili na nimeonelea ni vyema nikachangia machache baada ya kusoma Barua za SIRI. This is wehre I like JF
1.Hivi ni sheria gani ambao inamtaka mkurugenzi yeyote kuiharifu serikali kama kuna mgao wa dhararula? Dharula siku zote unaipredict...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.