Search results

  1. Boonabaana

    Tanzania nzima inaweza msahau Hayati Magufuli ila sio Tabora

    Nani kakudanganya kuwa mkoa wa Tabora ni miongoni mwa mikoa inayotoa mapato makubwa sana! Kwa kuuza nini? Maembe na tumbaku? Tumbaku yenyewe Wanyamwezi wamesusia kulima kutokana na mizengwe ktk vyama vya Ushirika. Then unadai wewe Msabato; Usabato haukufikishi mbinguni yakhe!
  2. Boonabaana

    Kibanda cha Bati kwenye kaburi la Hayati Magufuli kinatia aibu

    Tatizo mnaishi kwa kukariri!
  3. Boonabaana

    Kwanini Rais Magufuli huwa hana urafiki na mtu yeyote?

    Ungetoa na mifano kabisa ya wale walio stand alone na kuwa strong.
  4. Boonabaana

    Spika Ndugai ampongeza Rais Magufuli kwa kuwasamehe wabunge wake Nape, January na Ngeleja ampongeza pia Sugu kwa kufunga ndoa Kanisani

    Ha, ha, ha; the same way the proverbial carrot is used to control the proverbial house!
  5. Boonabaana

    Wanawake wengi huomba kufanyiwa upasuaji badala ya kujifungua kawaida

    Umetumia mbinu gani kufanya huo utafiti wako? Neno 'wengi' ni relative term. Una maana gani unaposema 'wanawake wengi'?
  6. Boonabaana

    Nimepata kamtaji kadogo kwa kudunduliza dunduliza nkawaza kufungua duka la nafaka

    Kamtaji kadogo kisha unataka kununua bei ya jumla! Haya bwana.
  7. Boonabaana

    Huyu Faizafoxy atakuwa ni mmama, mdada au mbibi? Navutiwa naye sana!

    Ndiyo huyu Faiza aliyeleta Uzi wa Sophia (humanoid robot) aliyepewa uraia wa Saudi Arabia au Faiza mwingine?
  8. Boonabaana

    Unasikiliza wimbo gani sasa hivi?

    Oliver N'Goma - Muetse
  9. Boonabaana

    Hivi kwanini watumiaji wa JF mnajidanganya kwa hili?

    Umenikumbusha mbali mkuu. Kumbe mapepo yanatutambua vizuri tu. "Yesu tunamfahamu, na Paulo tunamfahamu, je wewe ni nani"?
  10. Boonabaana

    Hakika Gaddafi amenitoa machozi, upendo wake uliokithiri uzalendo ndio huo uliofupisha maishA yake

    Namkumbuka Gaddafi kwa kumsaidia Iddi Amin katika vita ya Tanzania na Uganda. Pia namkumbuka kuratibu mauaji ya abiria zaidi ya 250 wasio na hatia ktk anga la Lockerbie, ajali iliyohusisha ndege ya Pan Am Flight 103. Mleta Uzi, wewe endelea tu kulia machozi ya mamba!
  11. Boonabaana

    Waziri Kigwangalla: Nikikukuta unaua Twiga nakuua

    Binadamu anaweza kuua binadamu mwenzake kadri atakavyoona inafaa bila kujali sheria za nchi!
Back
Top Bottom