Mpenzi wako ndo anaweza kukupa ukimwi sasa kama hujui. Vile vile wapenzi wa siku hizi mmezidi sana mizinga. simu mbovu, kuuguliwa, vocha, kodi ya nyumba, hela ya kutolea khaaaa. lakini hapa nikikutana nae cha kwanza lazima nitavaa kondomu. Cha pili nikishamlipa hakuna mizinga kila mtu anashika...
Mimi nadhani Hitwe wenyewe hawana hizo option za mikoa mingine. Maana hata mimi nikifikaga mikoa fulani nataka nibadilishe location niwanase wakaribu unakuta hakuna hiyo location
Wewe sasa umejisifia mmno khaaa. Unataka tuseme wewe wife material sio?
Maada hapa urafiki wa mwanaume na mwanamke haupo zaidi ya kupigana mashine. Hatujasema wewe na marafiki wa kike wala kutoka out.
Brand new Samsung Galaxy A50 kutoka South Korea,
Simu Original kabisa line moja.
Internal Memory 64GB
RAM 4GB
Bei TSH 590,000.
Simu ipo Kimara Mwisho - Dar es Salaam
Nicheki WhatsApp +821072853341
Au njoo PM tuzungumze biashara
Mabeberu ndo waliowafikisha hapo mlipo ... Wakiwafungia mtajinyea nyie. Au umesahau majuzi tu Bank ya dunia ilisamehe riba kwenye deni mkashangilia mpk mnataka kugalagala? Bank ya mabeberu ile
Yaani usnich wa mwami kwenda kwa marope ndo ukasababisha bashite aaminiwe!!!! daaah kumbe mwami anamchango mkubwa sana kwenye huu usajiri wa ndoa za dar
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.