Azam Sinema zetu mmeleta ubunifu mzuri wa kuwapromoti wasanii wa filamu na wengi wanacheza filamu nzuri, tatizo linakuja kwa Wahariri kukata baadhi ya tamthilia na kuweka matangazo ambayo mengine wala siyo ya biashara ambayo hayakupaswa kuingizwa katikati ya tamthilia.
Tamthilia ambazo...
Hizo ndege zinafanya biashara,Rais anapoichukua kwenda nayo Chato haichukui bure bali inakodiwa kwa ATCL na Hivyo ATCL inapata mapato.Hata wewe ukihitaji kukodi kwenda nayo kwenu unapewa ili mradi ulipie tu,na ndiyo biashara.Safari za ndege zina utaratibu wake huwezi ukaamka leo ukasema narusha...
hao kilimanjaro express tena hawaruhusu hata abiria kuyingia ndani ya basi na chakula chake ,wanakupeleka kwenye hotel yao na bei zake ndio hizo zilizotajwa hapo juu na vyakula vyebyewe wala si vya quality ya hoteli za kitalii ni vya kawaida sana
pilot alifahamu kama hilo limetokea ndo maana akawasiliana na control tower kueleza hitilafu ya ndege dk 2 baada ya kuruka akapewa kibali cha kugeuza na kutua lakini hakuweza kugeuza ndege kwa sababu haikuwa na control ya kugeuka au kupunguza speed kutokana na hitilafu
pilot aliinyanyua kwa nguvu nyuma ikagonga chini bawa za nyuma zikadondoka ikapoteza control ikaanza kutoa moshi,bawa za nyuma ndizo zinazosaidia kupunguiza mwendo na kukata kona.
Kitendo cha korosho za Tanzania kukutwa na mawe nchini Vietnam kimetia doa kazi nzuri iliyofanywa na Mheshiwa Rais Dr.Magufuli ya kutafuta soko la uhakika la korosho kwa kuzungumza na Vietnam na bei ikapanda hadi Tshs 4,000 kwa kilo.Sekta ya korosho imepata mafanikio makubwa kwa kipindi kifupi...
kabla ya kuwa DC aliwahi kuwa mchumi wa Benki kuu na pia Mkurugenzi wa uwekezaji wizara ya ushirikiano wa Afrika Mashariki,hivyo si mwanasiasa tu bali mtaalamu wa uchumi,kwa hiyo nafasi ya TIC anaweza kabisa,Rais hakukosea mwacheni akafanye kazi
Katika ranking ya world universities kwa Tanzania inaongoza UDSM ikafuatia Open University ambayo imeviacha vyuo vingine vya SUA,Mzumbe n,k hivyo kipo vizuri na wahitimu wengi tu wana nafasi nzuri nikiwemo mimi
Waziri mkuu ni mtu wa nne katika itifaki za nchi.
1.Rais wa Jamhuri
2.Makamu wa Rais
3.Rais wa ZNZ
4.Waziri mkuu
Waziri mkuu anaweza kukaimu Urais wakati katibu mkuu kiongozi hawezi yeye ni mkuuu wa utumishi wa umma tu.
Waziri mkuu ana vigora
Rais kuteua Wabunge na kuwateua kuwa mawaziri haikuvunja sheria wala katiba ya nchi.Kwanza katiba inamtaka Rais kuteua mawaziri kutoka miongoni mwa wabunge ambao either ni wa majimbo,viti maalum vya wanawake au wabunge wa kuteuliwa na Rais.Bunge na Serikali ni mihimili miwili tofauti ambapo...
Rais kuteua Wabunge na kuwateua kuwa mawaziri haikuvunja sheria wala katiba ya nchi.Kwanza katiba inamtaka Rais kuteua mawaziri kutoka miongoni mwa wabunge ambao either ni wa majimbo,viti maalum vya wanawake au wabunge wa kuteuliwa na Rais.Bunge na Serikali ni mihimili miwili tofauti ambapo Mkuu...
"Wanawake ni viumbe dhaifi ishini nao kwa akili" alisema Mwenyezi Mungu
Jaribu kumshirikisha tu mambo madogo madogo tu lakini siyo yale ya siri.
Naawasa mzazi ndie mwenye uchungu na wewe ama ndugu zako.
Chondechonde fuateni ushauri wangu! Karibu Shy land kama una la nyongeza.
UPDATE...
prof muhongo ni jembe aendelee na nafasi yake kwani amefanya mengi ktk nishati na madini ya kupongezwa ila fitna za watu wenye kutaka vitalu vya gas ndo wanataka ang'oke.hang'oki mtu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.