Search results

  1. M

    NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    nmb bank sitaki kutumia nilishapigwa pesa yangu nikafatilia lakini mpaka leo.
  2. M

    Kiama chaja: Uhakiki wa vigogo wenye mali nyingi za kufuru

    kwa kweli wanataka kuchimbua makaburi
  3. M

    Sababu za ACT kukubalika

    Hata sijaelewa ulichoandika, umemaanisha nini?
  4. M

    Picha za Mtuhumiwa wa mauaji ya Padre Zanzibar

    Hana title yeyote ni raia wa kawaida sana znz, hii ni mbinu ni ya mataifa ya nje (marekeani na Uingereza) kutaka kuwagombanisha kati ya waislam na wakristo ili wapate kuchukua rasilimali zetu za nchi kwani ni mbinu wanayotumia kwenye nchi mbalimbali ili kuwagombanisha wenyewe kwa wenyewe na wao...
  5. M

    Kila mtu ana kwao, Kila mtu afe na kwao, Bongo au zenji chagua moja

    wanzanzibari wanatufundisha uvaaji mzuri kwa wanawake kwani wa huku kwetu wanavaa vibaya yaani hawajieshimu na kusitiri miili yao
  6. M

    Kwa nini Zito anakuwa hayuko kwenye Target ya CCM na Magamba?

    ccm haina udini kama chadema ndio mana chadema wanapomtenga basi mnamuhusisha na ccm, na kuutaka uraisi sio ishu kwani ni yeye peke yake anayetaka uraisi ndani ya chadema mbona Mbowe aligombea kabla ya Slaa? Slaa ameshindwa 2010 ampishe Zito, Wewe unahisi harakati za ukweli hadi ufungwe kama...
  7. M

    Mashangingi ya CHADEMA!!

    Hata hao CCM hizo v8 wananunua kwa pesa zao sio kodi za wananchi na kama mkisema ni za kifisadi basi hata CHADEMA mafisadi wamepataje hayo magari v8
  8. M

    Afande Sele kugombea ubunge 2015

    Yaani hata mimi nilivyosoma nimejikuta nacheka bila kutegemea, inamaanisha watu wanatafuta umaarufu kwenye sanaa zao then wanaibukia kugombea ubunge, basi kama ni hivyo tutegemee bunge la :yell:.
  9. M

    NCCR na CHADEMA LIVE mahojiano Radio Wapo Redio...

    Hata kama ni sheria bado kuna nafasi ya kuifanyia marekebisho hiyo sheria kama walivyokubaliana baada ya raisi kukutana na CDM
  10. M

    Mukama asema mafisadi hawaponi ng'o! CCM yaunda kamati maalum

    Kwa kweli amenishangaza huyu katibu wa ccm kwani anaposema ccm haijamsafisha mtu, kilichotokea kwenye nec ni EL kujisafisha mwenyewe kwani alipotoa hoja yake ya kuchafuliwa na wanaccm wenzake si ndio amejisafisha. Tuwe makini na watu kama lowasa:spy:
  11. M

    CHADEMA kuchukua nchi ni baadae sana

    Kujihami na yuko tayari kwa chochote na wakati wowote, so doctor kwa nini alikimbia na kujificha kwenye gari ya matangazo, ss ile ilikua na kazi gani au aliibea tu ya mapambo? awaulize kina rage matumizi ya kupanda nayo jukwaani
  12. M

    Ndoto ya masaburi ya siku nyingi yatimia

    sio kosa, but don't use his body figure kuexpress eg masaburi= ******
  13. M

    CHADEMA kuchukua nchi ni baadae sana

    Jingine kukutwa na risasi kwa doctor slaa ambayo bado hatujajua matumizi yake alipokuwa hapo NMC, kupanga maandamano ya mikoa mbalimbali bila kujipanga
  14. M

    Ndoto ya masaburi ya siku nyingi yatimia

    Ndoto gani hiyo ya bwana masaburi naomba mnijuze.
  15. M

    Heche atangaza maandamano Dar kesho, Polisi yapiga marufuku!

    Kuandamano mara nyingi kutawaongezea kesi hasa kwa viongozi wa cdm katika nchi hii ambayo haipendi democrasia hasa kwa chama kinacholeta chalenge kwenye uongozi cha msingi ni kufafuta suluhisho ambalo halitaathiri wananchi na pia viongozi. Nchi nyingi ambazo huleta mabadiliko huwa...
  16. M

    Wabunge wa CCM kila mara wanaambiwa lakini hawatekelezi Kuna nini?

    Tatizo sio kuwajibu au kulumbana na wapinzani hapo kinachotakiwa ni kujibu utekelezaji wa majukumu yako, umemsaidia nini mwananchi hasa yule wa jimbo lako, umesaidiaje kuleta na uboresha huduma za jamii na mwananchi atafaidikaje na uongozi wako.
  17. M

    Mh Sitta, ondoka CCM watanzania tukuone shujaa wa kweli

    Ushujaa unaweza kuwa popote hata ndani ya ccm kuna mashujaa na mafisadi ila yeye yuko upande wa wanaopinga ufisadi ndio mana huwa anachukiwa. Na ndani ya ccm nusu mafisadi na nusu watetea haki so ni bora abaki apambane nao kuliko kuwakimbia na kuwaanja wakijinafasi na tamaa yao ya kupata uraisi...
Back
Top Bottom