Search results

  1. Bob Lee Swagger

    Kutoka Mahakama Kuu: Kesi ya Mbowe dhidi ya RC Makonda, RPC Sirro na ZCO Wambura

    Unapoandika una maana ya kutaka ku'communicate! Ila mwisho ukasema hatutaelewa?! Sijui ndio mwezi umefika mahali pake?!
  2. Bob Lee Swagger

    Dr. Mwakyembe afunguka kuhusu Richmond na dhamira yake kugombea Ubunge tena - Oktoba 23, 2015

    So Mwakyembe anasema baada ya EL kujiuzulu mgao wa umeme umeisha huko au? Kwanin amekuja sasa kutuambia? Si alipewa mda bungeni? Hayakuisha? Njaa mbaya sana! Ndio maana akapewa 'ugonjwa' labda ni 'adhabu' yake kwa kusema uongo
  3. Bob Lee Swagger

    Ufafanuzi watolewa mkutano wa Wauguzi na Wakunga Bukoba.

    Ama Kasangala msimlaumu jaman! Hivyo ndivyo nafasi za kuteuliwa zilivyo!
  4. Bob Lee Swagger

    Picha ya Zitto Kabwe kwenye mabango ya wagombea Ubunge na Udiwani

    Ndiye "mwenyezi" wa ACT!! Wakiweka picha za wagombea wao bila kumweka mwenyezi watu watadhani ni matangazo ya shoo za muziki au mikutano ya kidini au matangazo ya biashara!
  5. Bob Lee Swagger

    Wanachama zaidi ya 600 na viongozi wa CHADEMA Vunjo wahamia CCM

    Hahahahaha hahahahahah hahahahaha
  6. Bob Lee Swagger

    UKAWA Jaribuni Kuwa Smart kidogo, Mnachosha!

    Kwa hiyo wale wa ccm wooote watapiga kura?? Dah kwel mmeshikwa 'pabaya' mwaka huu
  7. Bob Lee Swagger

    Upepo wageuka tena, Juma Duni Haji kuwa Mgombea Mwenza wa Lowassa

    Lizaboni Pole na kazi mkuu! Hii UKAWA hii, yaani wanabadili badili tu vitu hadi unalazimika kupost kila dakika kuendana na mabadiliko ya gia za angani!! Sasa hii sifaaa!
  8. Bob Lee Swagger

    Dr. Slaa anastahili kuheshimiwa

    Erythrocyte umesema vizuri sana! Asante kamanda! Ukombozi wa pili uko karibu!!
  9. Bob Lee Swagger

    Elections 2015 Picha: Tulichokishuhudia katika mapokezi ya Magufuli Jijini Mwanza, upinzani unafutika

    Upinzani hauwez kufutika kwa mgombea kupokewa na watu wengi! Ungeona siku wenje kachukua fomu sijui ungesemaje?! Subir oktoba uje utuambie haya uliyoandika
  10. Bob Lee Swagger

    James Nsekela na wenzake wawili kwenye listi ya Zitto ni akina nani?

    Safi sana mkuu! Jamaa wameshajua sisi tunafikiri kwa masaburi ndio maana wanabadil issues kuwa blah blah na bado nyumbu wanafuata tu! Now wanataka tuone kama kuweka fedha nje ni ufisadi!! Kuweka fedha nje sio tatizo! Tatizo ni namna mtu anavyozipata fedha hizo!
  11. Bob Lee Swagger

    Ikibainika kuwa ni kweli, Mbowe you have to resign

    Hivi mfanyabiashara kuweka fedha nje ni ufisadi pia eti?!
  12. Bob Lee Swagger

    NEC yatishia kusitisha uandikishaji wa BVR

    Huyu mzee kashiba sasa anaanza kuropoka! Hana uwezo wa kusitisha zoezi! Ni ulevi tu wa madaraka na kuropoka! Kama anaona wanasiasa wanavunja sheria taratibu zipo za kufanya na sio kuropoka eti atasitisha zoezi wakati anajua uwezo huo hana!!
  13. Bob Lee Swagger

    Things a woman should never do for a man when in love

    Stori za kuambiwa na baba zimekuwa formula!! Muulize mama akuambie honestly kama she was the happiest woman katika ndoa kwa kuwa naye ndiyo utajua kama ufuate maneno yake au la!! Sio zile ishu za kuona wanacheka sitting rum ukajua mama is the happiest!
  14. Bob Lee Swagger

    Mwigulu Nchemba atahutubia Taifa tarehe 31/05/2015

    Humu siku hizi kuna ----- mwingi sana kuliko brains!
  15. Bob Lee Swagger

    Vijana wa CHADEMA waliokamatwa na zana za Kijeshi, waachiwa kwa dhamana

    Hivi jeshi letu linatumia manati siku hizi?? Na kile kisu ambacho hata wauza miwa wanavyo ndio silaha za kijeshi?! Kwahiyo nikikamatwa na manati nyumbani na kisu kikubwa maana yake nimemiliki silaha za kijeshi?? Dah CCM nchi ishawashinda hii
  16. Bob Lee Swagger

    Je, wanaume tuwaulize vipi hili swali? "Ulikuwa wapi"

    Una akili sana we mwanamke! Huyo mangi yeye aliwaza hela tu!
  17. Bob Lee Swagger

    Kazi za Kiongozi Mkuu wa ACT-Tanzania

    Kwahiyo inamaana kuwa hayo madaraka aliyonayo supreme leader zzk sio mengi na makubwa?! au unadhan hicho kilichoandikwa kwenye katiba ni madaraka madogo?! Watanzania bana unaandika kitu na kukisahau hapo hapo!
  18. Bob Lee Swagger

    Nimeokoka lakini msichana wangu hajaokoka nifanyaje?

    Kama unamuoa ili aje kuwa mama mchungaji basi bora umlazimishe mapema kabisa kuokoka! Vinginevyo kutamka umeokoka ni rahisi sana! Matendo ndio yanayowaumbua nyie mnaojiita walokole
Back
Top Bottom