Search results

  1. L

    Baada ya mume wangu kuninyima unyumba kwa miez 8,Nimegundua anamwanamke kazaa naye

    Baada ya kugundua kw kazaa nje ya ndoa na wakajua nitajua wakamshauri abadilishe hati za nyumba na magari kwa kuhofia nitamfilisi aandike jina la mwanangu mdogo wa kiume.
  2. L

    Baada ya mume wangu kuninyima unyumba kwa miez 8,Nimegundua anamwanamke kazaa naye

    nimejiweka pembeni kabisa,Sitaki anisogelee kwani sina uhakika na afya yake,Na ninaendelea kutafuta jins ya kumsaidia kwani all in all ni mzazi mwenzangu,Na pia lazma nihakikishe mali zote nilizochuma naye zinabaki mikononi mwa wanangu.
  3. L

    Baada ya mume wangu kuninyima unyumba kwa miez 8,Nimegundua anamwanamke kazaa naye

    Kama nilivyowah kuwaeleza manyanyaso toka kwa mama mkwe na mawifi baada ya kukataa wasinitawale,Na hatimaye mume wangu akajiunga nao na kuninyanyasa nilipokua mjamzito na kunisababishia matatizo makubwa na kunipelekea kujifungua mtoto (boy)wa miez 7...na baada ya kujifungua mume wangu akahama...
  4. L

    Mume wangu kakata mawasiliano ya 'Chakula cha Usiku' kwa miezi 8, Nifanyeje?

    why should i do that? Naona km nitakua naidhulumu nafsi yangu na atanidharau kwelikweli,naanini tendo la ndoa ni hiari so km ananipenda akae chini na mimi anieleze tatizo na kama hanipendi bora anipe uhuru. Yote mawili hataki
  5. L

    Mume wangu kakata mawasiliano ya 'Chakula cha Usiku' kwa miezi 8, Nifanyeje?

    usemavyo ni kweli,Sikupenda kutoa siri za ndani kwangu lakini kutokana na hali halisi nimeamua kumweleza baba mkwe,japo sijamweleza kwa undani sana kutokana na jinsia yake ila nimemweleza kuwa mwenzangu kahama chumba miez 8 sasa,Namwomba aongee naye ili anirudishe kwetu,Nadhani baba alinielewa...
  6. L

    Mume wangu kakata mawasiliano ya 'Chakula cha Usiku' kwa miezi 8, Nifanyeje?

    Nimekaa naye kwa ujasiri nimemweleza yaliyo moyoni mwangu nimemwomba abaki na mali zote mi nichukue watoto anipe talaka nikaanze maisha mapya Kakataa
  7. L

    Nyeti kung’ang’ania kwa mke wa mtu, inakuwaje?

    Nielekezeni kwa huyo anayefanya hivyo
  8. L

    Mume wangu kakata mawasiliano ya 'Chakula cha Usiku' kwa miezi 8, Nifanyeje?

    hata mimi ninaamini hivyo,na hakika nimekata tamaa na mapenzi naye yamepungua kabisa mana sipendi mtu mzinzi ila nashindwa nichukue uamuzi gani kujisaidia hisia zangu
  9. L

    Mume wangu kakata mawasiliano ya 'Chakula cha Usiku' kwa miezi 8, Nifanyeje?

    Anadai sababu kuu ni mimi kutowatii dada zake hivyo ameamua kuhama chumba ili na kukata huduma ya chakula cha usiku kwa miez 8 sasa kunikomoa... Ni kweli kabisa kuwa mimi na dada zake tumeshindwa kuelewana kabisa kutokana na wao kutaka kunipangia masharti nyumbani kwangu jambo nililolipinga...
  10. L

    Mume wangu amenitenga baada ya kupinga manyanyaso ya ndugu zake

    Nashukuru sana kwa kunifariji na kunipa ushauri,Naahidi kuufanyia kazi na anzia leo narudi chumbani kwangu na nitakua ngangari kinoma akitaka asepe yeye,NIMECHOKA na nitarudi kuwapa matokeo.MBARIKIWE SANA
  11. L

    Mume wangu amenitenga baada ya kupinga manyanyaso ya ndugu zake

    hapana mimi sio golikipa,ninafanya biashara na zinaniingizia kipato cha wastani ndo mana nimeweza kulea ujauzito mwanzo mwisho,Na hadi sasa namlea mwanangu.
  12. L

    Mume wangu amenitenga baada ya kupinga manyanyaso ya ndugu zake

    ndugu ninao 2.Tulifunga ndoa ya kiislam
  13. L

    Mume wangu amenitenga baada ya kupinga manyanyaso ya ndugu zake

    LONELY HEART ni jina la jf tu,nina jina langu halisi zuri
  14. L

    Mume wangu amenitenga baada ya kupinga manyanyaso ya ndugu zake

    anasema kwanini nilikataa kuhamia kijijini nikaishi nimlee mama yake....ni kweli niligoma kumwacha mume wangu mjini na kwenda kuish kijijini na mama mkwe,jambo ambalo lilileta chuki na hasira kwa wifi zangu na mama mkwe mpaka kufikia hatua ya kumshawish kaka yao aniache aoe mke mwingine, na...
  15. L

    Mume wangu amenitenga baada ya kupinga manyanyaso ya ndugu zake

    kweli MUNGU ndo msaada wangu pasipo yeye ungekuta nimebaki historia
  16. L

    Mume wangu amenitenga baada ya kupinga manyanyaso ya ndugu zake

    walinipasua na kunitoa mtoto wa kiume lakini alikua hawez kuhema vizuri,Wakamwekea oksjen ikamsaidia na anaendelea kukua vzuri...,Baada ya kujifungua visa ndo vimezidi,Mume wangu amenitenga kbs hataki kuskia habari zangu wala za mtoto, na alishanifukuza chumbani kwetu siku nyingi toka nikiwa na...
Back
Top Bottom