Search results

  1. G

    Nina shilingi milioni 64, niwekeze kwenye biashara gani kati ya hizi?

    Hapo kisicho na stress ni nyumba za kupangisha tu Biashara nyingi kwanza zinataka uwepo na uzoefu ....maana sio uje upatie uzoefu kwenye hela ya mtaji utalia Maana ndio kinacholizaga wastaafu hicho
  2. G

    Sijawahi kukutana na mke wa mtu mpumbavi kama huyu

    Wanawake huwa wapo Emotional sana Mwanamke yeyote ambaye anatoka nje labda ni M1 kwa 10 tu ambaye hamsemi mume wake vibaya kwa hawala yake Lkn Wanaume huwa wako Rational akishakuwa na mchepuko lazima huwa dhamira inamsuta kuhusu nyumbani kwake au mke wake na huwa kuna mapenzi home ni M1 kwa 10...
  3. G

    TANZIA Kaoge afariki dunia

    Sina neno hapa kila mtu na Mungu wake au usiwe na Mungu utajua wewe unapo paamini au unayemwamini Lkn mwisho wa siku Lazima kuna Mmiliki wa ulimwengu huu Ndio yeye atakayejua nani ni nani Na amefanya nini nani kafanya kosa na hajakosa!!.
  4. G

    Tumia M-Pesa at your own Risk!

    Nafikiri vodacom wapo humu
  5. G

    Mengi yazidi kuibuka kuhusu Nyalandu

    Swali moja tu Mtoa mada unataka kusema kuna kulindana ndani systm kama sio hii hoja ilikuwa wapi siku zote? Najaribu kuwaza kwa maandishi!!!
  6. G

    Hawawaamini Madaktari wetu, wanataka ushirikiano na Balozi zetu!

    Jambo lolote baya ulisikie kwa jirani tu!! Imefikia watz utu unatutoka kisa siasa!! Yaani mtu yuko radhi kabisa kuona balaa likimtokea jirani yake kwasababu hakumpenda tu!! Sent using Jamii Forums mobile app
  7. G

    Mbowe anakera anavyolazimisha urafiki na CCM. Chama kinahitaji majasiri kama Heche, Lijualikali, Kiwanga..

    Well u said!! Kula na like [emoji106] Sent using Jamii Forums mobile app
  8. G

    CHADEMA na Lowassa kwa Ushindi huu wa Raila Odinga mtaweka wapi sura zenu?

    Mleta mada mbona ngoma droo hapo Na kwa hii democrasia ya kenya na wao wataanzaje kumsifia Laila au mtaweka wapi nyuso zenu? Sent using Jamii Forums mobile app
  9. G

    Tuwapongeze Kenya lakini tuwalaani hawa pia

    Katiba ipi anayoizubfumzia mleta mada? Sent using Jamii Forums mobile app
  10. G

    Usimfanyie ubaya mtu usiyemjua, hujui kesho yako

    Mm huwa naamini katika upendo na utu ukiwa na hivi sheria haina umuhimu Dada ni kweli alikuwa kwenye sheria lkn utu ni muhimu wakati mwingine Ningekuwa mm pigo ambalo ningempa Alivyodai apunguziwe hadi 20000/= ningempa bure na ukweli wake juu Yeye ndo angejitafakari!!
  11. G

    Naomba kufahamu kuhusu hichi kipumo Hysterosalpingography

    Nashukuru kwa kiasi Fulani nimeelewa
  12. G

    Naomba kufahamu kuhusu hichi kipumo Hysterosalpingography

    Heshima kwenu wakuu, natumaini kila mmoja wenu ni mzima! Kama Title inavyojieleza naomba kufahamu kuhusu hichi kipimo Maana kuna Dr alinishauri kuwa nimpeleke wife baada kufanya vipimo kadhaa bila mafanikio (kupata mtoto). Sasa kuna mengi nayasikia hasa Ke kupata maumivu makali Lakini Mimi...
  13. G

    Pambano kuu lisiloonekana linaendelea katika nafsi ya kila mtu

    Ingekuwa imeenda kanisani pekee wewe usingeipata kabisa!!
  14. G

    Hii ndio hotel nzuri iliyopo chini ya Maji Zanzibar, Yawa gumzo kimataifa

    Panafaa sana kwa honeymoon huko! Unajificha na mkeo mpya unajilia vyako bila wapiga chabo wa uswahili na bugudha za kutoboa nyavu za madilisha huko mnazomeana na samaki tu!!!
  15. G

    Yaliyojiri Bungeni: Ijumaa, 28 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

    Hapa ndo namkumbuka @YerikoNyerere nazile nyepe nyepe za vikao vilivyokuwa vikiendelea kwa siri usiku kuwa Ndugai amezira kuendesha mjadara na atafutwe mama Makinda popote alipo aje kuokoa jahazi Sasa na vikanuni eti wakiwawajibisha majiz ataingilia mhimiri mwingine pia hapo hapo kajikanyaga...
  16. G

    Yaliyojiri Bungeni: Ijumaa, 28 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

    Sendeka: Nimesoma kwenye mkataba ambao pia uko ofisini kwako na wewe umeshiriki, profesa aliita nyaraka nilizozileta ni za kufungia maandazi, hakuna shaka kuwa Muhonga alikua dalali katika dili hili, nina uhakika miongoni walionufaika ni waliowezesha dili hili. Ingekuwa haunizidi umri ningesema...
  17. G

    Yaliyojiri Bungeni: Ijumaa, 28 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

    Vijana tusilale bado mapambano! Nasi hatulali lali laliii bado mapambano!!
Back
Top Bottom