Search results

  1. K

    Wasiomjua Dr. Slaa soma mada hii, kabla ya uanasiasa na baada

    Nafurahi kuona huku nako kampeni zimeanza huku Zito huku Slaa ni afya ya Demokrasia
  2. K

    Maneno ya busara ya Zitto yalivyochukuliwa juu juu

    watu wakikuchukia hata useme nini hawaoni,kifupi kuna wapinzani wa zito ndani ya chadema ambao wanachukulia urafiki wake na wana CCM au uwazi wake wa fkra ni kukosa adabu kwa viongozi wa juu au usaliti
  3. K

    Madale kwalipuka, ofisi ya CCM yavunjwa FFU kuongezwa wananchi mishale na mapanga

    Polisi wamekuja kuwandoa wavamizi nakuvunja nyumba zao ndo chanzo cha yote
  4. K

    Tamko la Chama Cha Walimu(CWT)

    walimu wa iringa baadhi waligoma kugoma wakidai kwanza waelezwe mapato ya cwt,na pia kuwashtumu viongozi kutaka umaarufu kupitia kwao
  5. K

    Zitto awazindua Wasanii: 153 wameshasaini kuvunja mkataba

    kuna kampuni ya mhindi iko pale shopers plaza ndo inawasinisha mikataba wasanii kwa kifupi watakua wanaliwa na huyo mhindi ye ndo anadeal na mitandao ya simu nafkiri hakuna mkataba wa moja kwa moja wa kampuni ya simu na msanii
  6. K

    Ufafanuzi wa Mch. Gwajima Kuhusu Mkenya wa Dr. Ulimboka

    kova hana kosa yule bado ni mtihumiwa akijulikana ni mwehu ataachiwa,lkn huwezi mwachia mtu kiholela ikigundulika badae ulimwachia mafia wa ukweli ni kosa,bora akaachowe mahakamani
  7. K

    Hii ni Dharau kwa Fani ya Udaktari!

    hizo kozi laini mnazotaka kusoma si ndo maana mmejaa mitaani hakuna kazi,lawyers kibao mtaani,nitafutieni dr ambae hana kazi,soma miaka 5 kwa shida upate uhakika wa ajira au 3 years kilaini usote mtaani,na ingekua fani nyingine wangeshafukuzwa.bado wanathaminiwa
  8. K

    Yusufu Makamba arudishwe kuja kuokoa jahazi la CCM

    siasa uchwara ndizo zilimwondooaxer
  9. K

    Ukibaraka wa Zitto wa jana na unafiki wa Makamba wa leo!

    tujibu hoja ya mleta thread,si kujibu kirahisi(pumba) halafu basi
  10. K

    Sitaki kuamini, Dk Chami, alikuwa Tanzania one, mara mbili?!

    uongozi mtu anazliwa nao inakua kwenye damu kuna mtu anakipaji cha kuongoza hatakama hakwenda shule,mf machifu,shule ni vitabu tu,lbd ana uwezo mzuri wa kukumbuka alichofundishwa haina maana ana akili sana
  11. K

    Mhe. Pinda aahirisha Bunge hadi Juni 12, 2012

    wabunge hawatuwakilishi,basi kumbe hawana meno
  12. K

    Natangaza 'kumdharau' January Makamba rasmi!

    zitto alisema clous fm siku ya ijumaa kuna mawaziri wamejiuzulu yeye hajui majina aulizwe january kwa kua ni mjumbe wa kamati ya uongozi ya ccm,clouds fm waliimhoji january na kukiri anafahamu maamuzi yote yalofikiwa na pinda atayatangaza jtatu kama walivyokubaliana,wao wakamwita mnafiki kwa...
  13. K

    Uzalendo wa Mwl Nyerere: Alimtoa mwanae kwenda vitani Uganda. Je, Mwinyi, Mkapa na Kikwete?

    sera za nyerere kila raia awe askari ndo maana ilikuepo jkt,mabalozi walirudishwa nyumbani kufanya kozi ya uaskari haijalishi cheo au familia lzm upitie jeshini,sera imebadilika si watoto wa maraisi wengine sote kizazi kipya hata jkt hatujaenda
  14. K

    James Millya Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa Arusha ajivua GAMBA akimbilia Chadema

    kaenda kusafisha njia ya papaaa mukubwa
  15. K

    Aliye na mazuri yaliyopatwa kufanywa na Prof. Kapuya kama kiongozi ayaweke hapa"

    mtu akiwa mcha mungu basi ni mdini,du
  16. K

    Wabunge Halima Mdee na Esther Bulaya wamefurahi Kanumba kufa?

    kisheria wenye kesi za mauaji wote hupangiwa mawakili wa utetezi bure,mtuhumiwa ana haki ya kuongeza wake,kwa sasa hahitaji msaada wa kisheria kwa kua kesi haijaanza rasmi,itaanza mahakama kuu atakaposhtakiwa rasmi,tena anaweza asishtakiwe kbs.kumbuka dito alishtakiwa kwa mauaji isivyo rasmi...
  17. K

    Hivi hawa the so called EWURA kazi yao ni nini?

    kazi ya ewura ni kusababisha bei kupanda kwa kukata makato yao,na kulipana posho tu,kama bei inatokana na soko la dunia basi inajulikana tu,bora kazi yao ingekua kuregulate dola
  18. K

    Kingunge awafyatukia wanaotamka ufisadi

    inabidi umwombe mola wako msamaha,unampangia kazi,unaomba awe mbaguzi,yaani baya li mkute kisa maoni yake ambayo huyaafiki. n then u call urself great thinker
  19. K

    Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

    nimemwona tbc macho makavu ana-video mwili wa marehemu
Back
Top Bottom