Search results

  1. H

    nokia n97 kwa 170,000 Tsh.

    Una muda gani nayo na naionaje
  2. H

    TAMISEMI watanipa ajira?

    Kila kitu kina utaratibu wake, kuchelewa kuripoti kazini kwa zaidi ya mwezi ni kosa except uwe na genuine reason kama vile ugonjwa ukionyesha na vyeti ambavyo kule unakoenda kuna madaktari watavipitia kwa verification. Nijuavyo mimi ni kuwa TAMISEMI hawana shule, watakuombea kwenye Halmashauri...
  3. H

    Muswada Katiba Mpya, Hoja ya Muungano moto Zanzibar!

    Jamani nilitaka kuangalia ile thread ya Mwenyekiti wa CHADEMA Mkowa wa Mbeya kuhamia CCM, ili tujue tatizo nini mpaka wa Kahama.
  4. H

    MwanaHALISI LIMECHAKACHULIWA HABARI YA DR.SLAA!?

    Sio kuchakachua hawako makini, mpaka gazeti linatoka hawajaona hilo kweli hayo ni mapungufu makubwa.
  5. H

    Dr.Slaa alikurupuka pia!

    Sasa tumetoka kwenye kujadili mada badala yake tunamjadili mleta mada, hii ni ishara ya kujaribu kuwafanya watu wa aina fulani wasitoe mawazo yao. Tunachojadili hapa ni mada badala ya kumjadili mleta mada hii itasaidia kuona je kilichowasilishwa mashiko yake yakoje? Nadhani ndio msingi wa...
  6. H

    Dr.Slaa alikurupuka pia!

    Kwangu mimi hapa kuna mitazamo ya aina mbili, Dr Slaa kukosoa si shida kulingana na mtazamo wake lakini kwa upande wa waislamu kunena neno kama hilo kwa kiongozi wao wa kidini si jambo jema kwani linapunguzia heshima ni sawa na mtu aanze kumpinga Pengo na viongozi wengine wa kiroho. Upande...
  7. H

    Baraza la mawaziri! Hata serikali ya mafisadi inapaswa kuwa na kanuni!

    Jamani lazima kwenye ukweli tuseme ukweli, hivi ikibainika zile dawa zinazotolewa na mzee kule Longido zina madhara baada ya miaka mitatu kwa binadamu tutasemaje mbele ya umati, ni vema ikachunguzwa kama haina madhara yoyote ya kiafya siku za baadaye. Na hapa ndio tunasema kila wizara inamsemaji...
  8. H

    Malipo ya watumishi wa umma kuhuishwa kielektroniki

    Ni mzuri lamsingi uboreshaji (up date) ya takwimu za watumishi ufanyike mara kwa mara ili kuwawezesha watumishi wa umma kupata haki zao
  9. H

    Mmiliki wa dowans - kwa nini mamlaka husika zina kigugumizi?

    Mmiliki wa Dowans mbona alishatajwa na ni wanchi gani, suala ni utaratibu gani utumike ndio sula la msingi. Tatizo letu tunajazba sana bila ya kuangalia utaratibu, sheria na kanuni.
  10. H

    Speech ya Mohamed Shamte UN hii hapa

    That is good we need to get more old speeches. On actual fact we should not take them for granted but some of them were very and still valid up to the moment. Thanks
  11. H

    Elections 2010 Kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Kaka si kweli kuwa uchaguzi wa serikali za mitaa umefanyika. Kinachoendelea ni kura za maoni ndani ya Chama. Hivi uwenyeji tu ndio sifa bora ya kupata madaraka.Sisemi kuwa fedha ndio sifa bora la hasha, uchaguzi unacomprise vitu vingi likiwemo suala la uadilifu, kushirikiana na watu...
  12. H

    CCM yamwangukia Bashe!

    Ni sahihi, tusimuhukumu mtu kwavile ameonekana katika majengo ya IPP Media, either tulitegemea issue fulani au tusubiri kama kuna habari itakuja mbeleni.
  13. H

    Mengi Vs Masha tuhuma, vitisho na matokeo!

    Naona kwako kaka kila kitu ni kujiudhulu,sijui watajiudhulu wangapi?Ata kama wanataka mheshimiwa atoe uthibitisho wa Waziri anayemtuhumu!Lakini kuna kitu lazima tujiulize mimi nadhani huyu Mengi naye ana matatizo kila wakati amekuwa akigombana na watu kwa visingizio tofauti.Mara nyingi amekuwa...
  14. H

    Yupo wapi Ramadhani Mkangala?

    Huyu jamaa yuko FINCA hapohapo Dar.Ule mgomo ulikuwa mwaka 2000 na Rais aliyeingia mtini alikuwa ni Kusaga tukaongozwa na mwanadada Emily Kivugo, chini ya Uangalizi wa Gervas Mkili, Magabe Kibiki, Mukangala na Rugemalila ka Kabwe kalikuWEPO NA NDIPO KALIJENGA JINA HAPO.Chakushangaza aliporudi...
  15. H

    Kutaifisha mabenki Marekani

    Hivi kinachafanyika Marekani ni kutaifisha au kununua mabenki.Ukitaifisha haulipi haulipi chochote lakini ukinunua unatakikana kulipa.Ukweli ni kuwa si Tanzania tu waliingilia kati kama Kampuni inakuwa hijiendeshi vizuri na hii tumeiona ina work ata ktk dunia ya kwanza.
  16. H

    Vifo Tabora: Uongozi wa NSSF Makao Makuu Uwajibike

    Mimi nadhani ni mapema mno kuweka conclusion kama ya mwanakijiji.Busara na subirah ni vitu vya pekee sana kabla ya kutoa maamuzi.Hamna ambaye mpaka sasa ameweza kutoa dataz za uhakika kuhusu mkataba, je ukumbi ulikuwa kwa watu wangapi.Uzoefu unaonyesha kumbi kama hizo huwa zinatumika kwa...
  17. H

    Sakata la Nape Nnauye na UVCCM

    Mimi siungani na baadhi ya Wachangiaji wanaosema kuwa Nape ahame Chama,anatakiwa abaki kulekule ili awaonyeshe msimamo wake ulio wa dhati.Kitu kimoja ambacho siridhiki na wapinzani ni kuwa ktk baadhi ya mambo na wenyewe wameweka maslahi yao mbele kuliko umoja wao, hivyo kukosa vision.Kwa mfano...
  18. H

    Kumbe hata CCM huwa inachacha?

    Ndugu zangu,msifikiri hivi vitu vinakuja kimakosa ila vimepangwa.Vikao hivi vinashindwa kumuondoa Nape kwakuwa bado hajavuka umri unaotakiwa,lakini baada ya september nadhani atakuwa amepita umri unao takiwa kuwa mgombea uenyekiti Vijana. Sasa basi inawezekana vinamlenga Nape na Bashe au ni...
  19. H

    Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

    Mimi naona tukiwa kila kitu tunaangalia kwa njia za udini,basi tunaweza tukaanza kuchinjana hapo baadaye.Na kibaya zaidi Mtoa mada ameangalia ktk chama hajaangalia idadi ya mawaziri, ajangalia hali ikoje ktk wizara na sehemu mbalimbali za kazi. Mada aliyoitoa Mgaya ni mzuri lakini kwa muda...
  20. H

    Zakia Meghji na uuzaji wa Mbuga zetu je atapeta pia ?

    Kiuyajibu toa ufafanuzi alisaini mkataba wa ubinafsishaji wa Uwanja wa ndege wa KIA akiwa waziri mwenye Dhamana ktk Wizara ipi,kwani viwanja vya ndege vyote viko chini ya wizara ya ujenzi na wizara ya mawasiliano na je Zakia Meghji alishawahi kuwa waziri katika wizara hizo? Jamani tuje na...
Back
Top Bottom