Tanzania full vituko. Hii bodi kwani ilikuwa na majina tayari wakawa wanasubiri Mchechu asimamishwe ili wamteue? Na kwa nini wamteue kukaimu na sio kuwa Mkurugenzi mkuu? Wanataka awe puppet?
It always start with petty issues, ignoring them will not make them go away. And by the way they are politicians so doing politics is and has always been part of their DNA. Don't blame them...
Rudi usome historia vizuri! Hivi unajua ni kwa nini wachina hawaivi na wajapani?? Utumwa ulikuwa ni biashara na km biashara nyingine yoyote ile kulikuwa na vigezo na pia taratibu za kuifanya.
Kumbuka kwamba wote tulikuwa tunatambulika km binadamu na iliwabidi slave masters pia kutumia gharama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.