Search results

  1. D

    Kwaheri Ndalichako, karibu Jimboni

    Prof. Ndalichako apumzike kama alivyopumzika aliyewahi kuwa mbunge wa Jimbo la Kasulu huko nyuma, Prof. Mbwiliza.
  2. D

    Uteuzi na Utenguzi: Paul Makonda ateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Ndalichako aondolewa uwaziri

    Kwani ulitaka uteuzi na wewe? ACHA kwanza kuandika makala ndefu za kipuuzi za kusifia ovyoovyo ambazo zinawakera hata unaowasifia. Zinakuvua nguo tu kuonesha kichwani ulivyo mtupu. Serikalini Kuna watu wenye akili hauwezi hatau-DC. Nakushauri urudi shule tena vyuo hivi UDSM, SUA au Mzumbe tu.
  3. D

    Maswali kwa Waziri Mkenda kupata ufafanuzi sababu za kuunda combinations mahususi za dini Sekondari

    Maswali yaelekezwe kwa MKWE, Profesa mtamwonea bure hahusiki na hili japo lipo chini ya wizara yake. Anapenda nae kutumia V8 ya kujaziwa mafuta na serikali.
  4. D

    Nimefurahishwa na utendaji wa ofisi ya Msajili wa NGO chini ya wizara ya Dorothy Gwajima. Tatizo lipo kwenye ngazi ya mtaa na kata

    Idara nyingi zilizo chini ya Waziri Dorothy Gwajima zipo smart. Huyu mama mkwara wake siyo wa mameno tu.
  5. D

    Gharama ya kusajili mtahiniwa binafsi kidato cha nne ni kubwa mno

    NECTA na Morogoro Sec ni mtandao wa wezi kwa watahiniwa binafsi. Kujisajili kidato 4 kwa Sh. 160,000 ni kubwa. Nani anapanga kikomo cha kulipia kwenye vituo vya kufanyia mitihani watahiniwa binafsi?. Nimefika shule ya sekondari Morogoro kumsajili kijana wangu afanyie mtihani wake wa kuhitimu...
  6. D

    DOKEZO RC na RPC Dodoma, Polisi Jamii Kata ya Nala anatunyanyasa sana, tafadhali muondoeni

    Diwani na Mtendaji wa Kata wameshindwa kumaliza issue ndogo hii. Mpaka kumpatia umaarufu wa huyo mhuni wenu kuandikwa jukwa hili.
  7. D

    Lipi lililo sahihi kufanywa na rafikie Lowassa.. Aendelee na ukimya au aongee?

    Naunga mkono akae kimya. Tena akiweza ajitengee na mitandao ya kijamii. Awe busy kucheza na wajukuu tu.
  8. D

    Balozi Polepole kutoa namba yake binafsi ili atafutwe juu ya fursa ya matatibu Cuba ni sawa?

    Tunasambaziwa taarifa ya fursa ya matibabu nchini Cuba na kuomba taarifa hii isambazwe kwenye magroup yote. Naomba kujua kama ni sahihi balozi kutupa namba yake ili hospitail na wagonjwa kuwasiliana nae binafsi moja kwa moja? Nilidhani alitakiwa kupeleka taarifa hiyo Wizara husika ya afya...
  9. D

    Ratiba inaendelea: Waraka wa TEC unasomwa leo kwa mara ya tatu

    Leo Majaliwa atasikiliza live waraka wa TEC kwani yumo kanisani muda huu Angalia Tumaini TV wako live. Yuko na RC wa Tanga na Waziri wa Afya.
  10. D

    Maelezo ya Waziri Bashe kuhusu serikali kununua mazao wakati wa mavuno na kuyauza baadaye, tumemjua anayetuuzia maharagwe 3,800 kwa kilo

    Boyz II wanataka kumharibia tu mama. Umemsikia mwingine badala ya kujibu hoja anawaita wasema kweli ndani ya CCM eti wanaongea uganga wa kienyeji.
  11. D

    Rais Samia na Mjane wanastahili pongezi ushirika na Hayati Magufuli

    Nimejikuta nampenda mama, tatizo ni mijitu mienzetu ya bara ndiyo inawaharibu waislamu wa Zanzibar. Wakati mwingine nakubaliana na Mch. Kimaro.
  12. D

    Tundu Lissu awasalimia wananchi Stendi kuu ya mabasi Msamvu Morogoro leo, akiwa njiani kuelekea kuonyesha makovu ya risasi ndugu zake Ikungi

    Safari ya Katiba bado sana, Chadema wanajua haya haya . Mwenyekiti wao anawaita wanachama jinsia ya kike mademu.
  13. D

    Sophia Mjema, baada ya kuzuia upigaji Vishikwambi. Angazia na hawa HESLB waturejeshee pesa walizotukata kimakosa. Prof. Mkenda limemshinda

    Nchi hii ukiwa na cheo cha kisiasa rahisi sana kupata umaarufu wa kisiasa hasa kwenye nchi yenye mfumo mbovu kiutendaji serikalini kama Tanzania.
  14. D

    Watatu walioteuliwa Ukuu wa Wilaya, akiwemo Japheth Maganga wadaiwa kukataa uteuzi

    Kama habari yako ni kweli. Mbona rahisi tu, si waandikiwe barua za kujiuzuru vyeo vyao vya CWT wapelekewe wasaini hizo barua. Halafu tuone watakavyokataa u-DC. Waombe tu wasifanyiwe hivyo baada mama kuteua wengine kuziba nafasi zao. " Mama juzi katoka kukopa,, nchi hii itapigwa Mnada".
  15. D

    Mtaka , wazazi wasiopeleka watoto wao shule kusombwa na gari za police kwenda kufanya usafi mashuleni

    Mbona fulana, kanga, kofia n.k wananunua wakati ule?
Back
Top Bottom