Wadau naombeni mwongozo. inachukua mchakato gani kwa mwajiliwa mpya kuanza kupata mshahara. mfano mtu aliyeajiliwa tangu february 2015 na utumishi mpaka leo april 26 2015 hajapata mshahara wala hiyo check namba inakuwaje? asanteni
wadau naomba msaada. hivi inakuwaje mtu aliteajiliwa tangu february utumishi mpaka leo hajapata mshahara. inachukua muda gani kwa muajiliwa mpya kupata check namba? naombeni msaada wenu
mi nina miezi sita sasa toka nimejitoa kwenye mfuko flani. na sasa nimepata kazi serikalini naweza kuhamia mfuko mwingine? na ni mfuko gani mzuri kiuchangiaji na mafao naomba ushauri wenu wadau
Barua niliandika kwa mkono, ila cv nilitype. pomoja na barua pia kikubwa ni maandalizi na kusoma maana interview zote written na oral wanauliza maswali ya proffessional
hongera sana. kweli nimeamini utumishi ni taasisi huru. mimi pia namshukuru MUNGU nimeitwa kazini baada ya kusota mtaani tangu 2008. ndugu na jamaa walikuwa wakinibeza kuwa nimesomea fani mbaya isiyo na ajira
ila siku kata tamaa niliendelea kuaply na kumuomba Mungu. hatimae nami nimepata kazi...
asante sana kaka Ezra kwa kuweka mambo bayana, mi mwenyewe natokea B.mulo najua fika chuki za magufuli zilipotufikisha wana Biharamulo.
Wilaya inadorora kila siku, miradi ya barabara inajengwa bila kuisha mara utaskia wakandalasi wamesimamishwa. Huyu mtu hafai kuwa raisi hata kidogo maana ni...
na wagonjwa wanaokufa bila hatia kwa migomo bubu waombe ulinzi wapi? Ni ijumaa iliyopita nilienda amana hospitali kitengo cha kinamama wajawazito. Wamama walikaa toka saa moja asubuhi hadi saa tano bila kuonana na dactari na baadae nesi akatangaza. Wamama kama mnavyojua serikali imetangaza...
kaka Genecius Kaiza, Tanzania yetu haina usawa. Wabunge wanajidai kutetea maslahi ya wananchi kwa kupoteza muda kurumbana Bungeni. Tena wakiwa wanasema pumba muda unaongezwa mtu akiongea point analazimishwa kukaa chini na akikaidi afande amtoe nje. Tanzania ni zaidi ya unavyoijua kaka...
du hongera sana mtoa mada kwa uchambuzi yakinifu, binafsi walinikera sana hata mtoto mdogo wa miaka mitano hadi kumi anaweza kuona mbichi na mbivu bungeni. Wabunge wanasahau kuwa bunge la sasa si sawa na la mwaka 47, wananchi kote vijijin na mijini wanasikiliza na kuangalia bunge. Ukiongea...
ki ukweli Mirindimo habari yako wengi hatukuielewa hasa wale wenye aleji na taarifa za Tbc 1, ungetuambia kuwa ikulu inametengua ukweli kuwa uongo. Asante Radhia umemsaidia mtoa mada kidogo kueleweka.
ki ukweli Mirindimo habari yako wengi hatukuielewa hasa wale wenye aleji na taarifa za Tbc 1, ungetuambia kuwa ikulu inametengua ukweli kuwa uongo. Asante Radhia umemsaidia mtoa mada kidogo kueleweka.
wavivu wa kufikir ndio wanaoshabikia mgomo wa madactari, binafsi siwaungi mkono hasa hao wa muhimbili baadhi yao ni wauwaji wakubwa wapo kipesa zaidi, sitosahu siku moja nilipoenda kujifungua muhimbili mwaka 2010 mwezi february. Nikiwa nagugumia maumivu docta mmoja jina ninalo akaanza kunitukana...
du mi kila siku nakushangaa hivi kaka yangu Nape hujui kuwa ni bora kukaa kimya kuliko kuongea pumba? Binafsi sina chama na sipendi kuwa na chama chochote, ila mara nyingi kauli zako zimekuwa na utata kama kweli wewe ni mtanzania mzalendo au ni ccm bila utanzania. Wakati wananchi tunaumia kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.