Search results

  1. J

    Mkutano wa CHADEMA viwanja vya NMC Arusha

    Mimi ni mwana chadema lakini Leo nimekerwa sana na maneno ya Nassari, ndiyo maana Mbowe akasema Yale ni maneno ya Nassari na si chadema.
  2. J

    Mkutano wa CHADEMA viwanja vya NMC Arusha

    Nyinyi fanyeni mchezo na hii Amani tu. Mtu akikosea lazima muwe wakweli, jiandaeni kumtetea mahakamani.
  3. J

    Mkutano wa CHADEMA viwanja vya NMC Arusha

    "ndugu wana Arusha kuanzia Leo natangaza Kuwa Tanzania kuna Jamhuri huru ya watu wa MERU. Mimi ndiyo Rais wa watu wa MERU na Lema ndiyo waziri mkuu. Tunamwambia kikwete Kuwa tuna andaa utaratibu wa kumpiga marufuku Kuja Arusha, tutaziba njia zote asije huku." Joshua Nassari , MB Arumeru Mashariki
  4. J

    Uvccm Arusha waanza kufukuzana

    Home Habari Habari za Siasa UVCCM Mkoa wa Arusha waanza kufukuzana BOOKMARK THIS PAGE UVCCM Mkoa wa Arusha waanza kufukuzana Send to a friend Wednesday, 25 April 2012 20:19 0digg Peter Saramba, Arusha HALI ndani ya Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa (UVCCM), Mkoa wa Arusha...
  5. J

    UVCCM Arusha wafunga mjadala wa Ole Millya - Tuhuma dhidi yake ni ya Upotoshaji

    Uvccm mkoa wa Arusha wafunga Ofisi ya vijana mkoani hapo kushinikiza katibu wa uvccm mkoani hapo aondolewe pamoja na vibaraka wote wa fisadi Edward Lowasa. vijana hao wamechukizwa na kitendo cha abdallah Mpokwa ambaye ni katibu wa vijana mkoani hapo kutumika na fisadi Edward Lowasa. Edward...
  6. J

  7. J

  8. J

    UVCCM Arusha wafunga mjadala wa Ole Millya - Tuhuma dhidi yake ni ya Upotoshaji

    Kundi Kubwa la vijana wa CCM Mkoa wa Arusha leo Alfajiri limefunga ofisi ya vijana mkoa wa Arusha kudhinikiza katibu wa vijana mkoani hapo afukuzwe mara moja. Katibu huyo aitwaye Abdallah Mpokwa anatuhumiwa kutumia hela za fisadi wa Richmond ambazo zilitolewa juzi na Fred Lowasa kupitia Ally...
  9. J

    CCM Arusha waanza kuparurana kuhusu Arumeru Mashariki

    Jamani hii siasa wanayo icheza CCM ya Leo ni ya ajabu sana. Maana itakumbukwa kwenye Kikao cha kamati ya siasa ya Mkoa wa Arusha cha kujadili wagombea ubunge wa Arumeru Mashariki, wajumbe wa Kikao walimwomba RC wa Arusha awapelekee nyaraka mbalimbali kuhusu ufafanuzi wa masuala ya rushwa na...
  10. J

    Rushwa na uraia wa Siyoi, CCM watafutana uchawi badala ya kujibu HOJA

    hii siasa wanayo icheza CCM ya Leo ni ya ajabu sana. Maana itakumbukwa kwenye Kikao cha kamati ya siasa ya Mkoa wa Arusha cha kujadili wagombea ubunge wa Arumeru Mashariki, wajumbe wa Kikao walimwomba RC wa Arusha awapelekee nyaraka mbalimbali kuhusu ufafanuzi wa masuala ya rushwa na uraia wa...
  11. J

  12. J

    Meseji za comrade Lowasa zanaswa

    Meseji za komredi Lowassa zanaswa Chadema kumng'oa mgombea ubunge CCM, mikakati yasukwa Wengine kortini, meneja kampeni asema ‘nilijua tu' Na Waandishi Wetu, Arusha, Dar WAKATI Chama cha Mapinduzi (CCM) kikiwa kimempitisha mgombea wake wa ubunge Arumeru Mashariki, Siyoi...
  13. J

    Edward Lowassa aumbuka Arumeru Mashariki

    Takukuru Leo wameamua kumgeuka Edward Lowasa na vibaraka wake katika marudiano ya uchaguzi wa Arumeru. Katika sakata Hilo katibu wa UVCCM wilaya ya Monduli ndugu Ezekiel Mollel ametupwa rumande Mara baada ya kukamatwa na simu yake ilipo pekuliwa na kukutwa na mesej alizokuwa Akiwasiliana na...
  14. J

    Kura za maoni CCM Arumeru kurudiwa

    Maamuzi ya kamati kuu ya Leo yawavuruga Millya, Ester Maleko, Ally Bananga na Sioi. Hayo yalidhihirika Leo kwenye Kikao chao walichokifanya kwenye moja ya kata za jimbo la arumeru Mashariki. Kikao chao wameseama watapambana kufa na kupona hadi Sioi ashinde tena. Wanasikitika sana kwa ccm...
  15. J

    Mwigulu ashutumiwa kwa kuleta mkanganyiko Arumeru - Apendekeza Jina la 1 hadi 4 yakatwe

  16. J

    Mwigulu ashutumiwa kwa kuleta mkanganyiko Arumeru - Apendekeza Jina la 1 hadi 4 yakatwe

    Masikini James Kinyasi Millya aumbuka Arusha. Ni Yule mwenyekiti wa vijana wa ccm Mkoa wa Arusha ambaye alifeli mtihani wa kidato cha pili pale moringe sekondari mwaka 1997. Mzungu aliyekuwa anamlea alimuokoa na kumpeleka Uganda. Vijana wa Arusha Jana walimzomea na kumwaMbia atafute ajira na...
  17. J

    Kigogo CCM na kashfa ya UTAPELI, ahaha kujisafisha

    Rais wetu ni mtu makini na kimsingi hawezi kuongozwa kwa kufanya maamuzi kwa kufuata hoja ambazo hazina msingi,zaidi ya kujaa fitna na uchonganishi.
  18. J

    Kigogo CCM na kashfa ya UTAPELI, ahaha kujisafisha

    Ni kweli lakini tusome kwa makini hilo tangazo kabla ya kuchangia na kama lugha iliyotumika ni haieleweki ni bora ukauliza kabla ya kukurupuka.
  19. J

    Hongera sana RC Magesa Mulongo - Arusha yenye neema kupitia wewe inawezekana.

    Kweli wajinga ndo waliwao, Lema na chama chake hawahudhurii vikao vya madiwani manispaa ya arusha zaidi ya kuchukua posho tu. Kazi ya kutetea rasilimali za manispaa ya arusha inafanywa kwa uzalendo mkubwa na Mkuu wa Mkoa Magesa Mulongo Mpiganaji wa kweli wa vita ya wanyonge. Alikwenda...
  20. J

    Matunda ya Lema yaanza kuonekana World Bank wahoji matumizi makubwa Arusha

    Kweli wajinga ndo waliwao, Lema na chama chake hawahudhurii vikao vya madiwani manispaa ya arusha za ya kuchukua posho tu. Kazi ya kutetea rasilimali za manispaa ya arusha inafanywa kwa uzalendo mkubwa na Mkuu wa Mkoa Magesa Mulongo Mpiganaji wa kweli wa vita ya wanyonge. Alikwenda manispaa...
Back
Top Bottom