Search results

  1. dubu

    Nani kamfunga mdomo Paul Makonda? Sijasikia akiwasema Mawaziri Mizigo

    Salaam Wakuu, Nimeshangaa kuona Paul Makonda kubadili gia angani. Alipoanza kujitangaza, alikuwa akiwasimamisha Mawaziri watoe ufafanuzi na Wengine alikuwa akiwapigia simu akiwa majukwaani huku akisema Mawaziri mizigo siku zao zinahesabika. Alifika mbali na kuwataka Mawaziri wawe wanatuma...
  2. dubu

    Lowassa alivyoimbiwa na wajumbe wa CCM 2015

    Hapa angalia Lowassa alivyomdhalilisha Jakaya Kikwete. Unadhani ni sahihi? Walitesana kwa kweli
  3. dubu

    Lowassa asingepata hata Uwaziri Mkuu Kama si Jakaya Kikwete kumbeba

    Hakumbeba kwa chochote. Lowassa alianza kujichafua tangu enzi za Mwalimu Nyerere. Hadi Nyerere akahoji "Mtoto mdogo anatoa wapi hela nyingi namna hii?".
  4. dubu

    Lowassa asingepata hata Uwaziri Mkuu Kama si Jakaya Kikwete kumbeba

    Nimeona Watu wanamlaumu Jakaya eti alimtosa Lowassa bila kujua Jakaya ndo alimpa Uwaziri Mkuu. Basi mbona hawamshukuru Jakaya Kikwete kwa kumpa Lowasa uwaziri mkuu ambao leo hii ndio uwaziri mkuu huo umemzika kwa heshima ya waziri mkuu mstaafu japo alijiuzulu kwa Kashfa? Wanamtambua Lowasa...
  5. dubu

    Morogoro: Basi la New Force lapata ajali Iyovi

    Ajali Ya Basi la New Force lililokuwa linatoka Mbeya Kuja Dar ( Hakuna Kulala ) Maeneo ya Kidai B baada ya Kugongana na Lori na Gari Ndogo Abiria wako Salama Kuna Majeruhi Wadogo Tu Iii imetokea leo 23/01/2024 asubuhi Mtoremko wa Iyovi Pia soma: New Force/Golden Deer kwanini ajali mnapata...
  6. dubu

    Musa Venerable Mziba hajapatikana. Polisi waombwa msaada

    Ndugu MUSA VENERABLE MZIBA mfanyabishara mwenye umri wa miaka 37 anaemiliki Kampuni ya Mzibaz Empire Investments Ltd amechukuliwa na watu wasiojulikana Tar: 07 Desemba mida ya Saa 2 Usiku, akiwa maeneo ya ofisini kwake Mikocheni. Familia Inaomba sana Msaada kwa Jeshi la Polisi Tanzania...
  7. dubu

    IGP, si sahihi kufunga barabara masaa 3 ili Makonda ahutubie barabarani

    Salaam, Ni kweli bila Polisi hakuna utii wa Sheria. Ila Kitendo cha Polisi kujipendekeza kwa Wanasiasa ili wasifiwe au wapewe vyeo vya kisiasa ni kuwaonea wananchi. Ni kweli Polisi wanapambania matumbo yao, ila hili la kuzuia wafanyabiasha na Wasafiri kuchelewa kufika kisa kiongozi wa...
  8. dubu

    LATRA yasajili kwa muda daladala kuiongezea nguvu mwendokasi

    Hivi karibuni iliwekwa habari kwenye Jukwaa la JamiiForums, ikielezea adha ya Usafiri wa Mwendo kasi. Taarifa ilieleza kwamba; Hali ya usafiri wa katika Kituo cha Daladala cha Mbezi Mwisho ilivyokuwa asubuhi ya Septemba 25, 2023, kwamba hakukuwa na gari za Mwendokasi na foleni ya abiria ilifika...
  9. dubu

    Uonevu hukumu ya Mahakama dhidi ya Vicky Kamata kuhusu mirathi ya mumewe, Dkt. Likwelile

    Kuna jambo moja sijui iwapo watu wengi wanalijua. Binafsi tulifahamiana na Dr. Servacius Likwelile (RIP) mwanzoni kabisa mwa 1990's (ninadhani 1991) wakati akifundisha Industrial Economics UDSM, akiwa na Masters na akisoma PhD. Kuna wakati, mwishoni mwa 1990's, Dr. Likwelile alifulia, mke...
  10. dubu

    Wamiliki wa magari kutembeza magari yao wakiwa wametoa plate number ya mbele

    Yaani hata hueleweki unaongea nini. Hujui kuweka Kituo, koma wala Aya.
  11. dubu

    Ma-Imamu wakumbuke suala la Bandari linahusu SHERIA na SIO SHARIA. Historia ya Waislam ni Ikulu

    Kama kuna kitu Waislamu tunapaswa kukifanya katika kuandika HISTORIA yetu na ikasomwa kila baada ya sala ni hii ya Ikulu ya Magogoni hapa Dar es salaam maana ni historia yetu na ni halali kwetu kufanya hivyo ila sio kwenye suala la Mkataba wa Bandari; huko tunahitaji kuwa na ufahamu wa kutosha...
  12. dubu

    Mume wa Spika Tulia kuwa Mkurugenzi EWURA, ni Mateso kwa taifa, Mafuta hayapatikani

    Je, Rostam Aziz kashamuweka Kiganjani? Tangu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), Dk James Mwainyekule ambaye pia ni mume wa Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson akamate kiti hiki, Mafuta yamekuwa ya Tabu sana kupatikana. Napendekeza aondolewe ili kuokoa...
  13. dubu

    Gazeti la Mwananchi linaongopa kuhusu uwanja wa ndege wa Chato

    Hapo umefanya Booking ya Geita. Uwanja wa Geita upo siku zote. Ndege inaenda mara moja kwa Wiki. Tunaomba ufanye Booking ya Chato. Kuna Uwanja wa Geita na Uwanja wa Chato. Wewe unajadili Uwanja wa Geita ila Mwananchi wamwzungumzia Uwanja Chato. Tunaomba hata picha ya Tiketi ya Chato.
  14. dubu

    Walioimba Kwaya kwenye Msiba wa Magufuli mbona siwasikii huu wakiimba kuhusu DP World Msiba wa Taifa?

    Wale waimba Kwaya Usiku na Mchana TBC, nilikuwa nawaona Wanaimba Kwaya huku wanalilia eti Magufuli kafa. Lakini hili swala la DP World wapo kimya. Hivi huwa wanaishi wapi na wanaibukia wapi? Kwa saaa hakuna Msiba Mkubwa kama DP World. Watunge wimbo ili kweli tujue wanalilia Taifa au njaa zao...
  15. dubu

    Kilimanjaro: Precision air PW417 imepaa na kurudi Uwanjani baada ya kutokea tatizo la Injini

    Leo mida ya saa nane na dakika hamsini, ndege ya Precision air yalazimika kurudi before take off Baada ya kugunduaaa hitilafu kwenye ndege! Shukurani kwa Rubani alogundua tatizo mapema. Sasa inasubiriwa marekebisho yaishe ili ipae tena. Ndege ilikuwa inatokea Mwanza kwenda Dar es Salaam...
  16. dubu

    Waziri Masauni ameonya watu au vikundi vya watu ambavyo vinatumia uhuru wa kutoa maoni kutoa kauli za uchochezi

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamadi Masauni, ameonya watu au vikundi vya watu ambavyo vinatumia uhuru wa kutoa maoni kutoa kauli za uchochezi na zenye mrengo wa kutaka kuligawa taifa, ambapo amesema serikali haitavumilia vitendo hivyo. == Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Mhandisi...
Back
Top Bottom