Search results

  1. Manda

    Walinzi wa Marais wa Tanzania igeni walinzi wa Rais wa Kenya na USA

    Pambana na hali yako mjomba.....ukulima wa tumbaku na korosho unalipa vizuri sana. Haya ya Ulinzi tuwaachie wataalam wa K'nyama.
  2. Manda

    Behind the curtain: September 11

    Nimemuachia ukumbi bwana mkubwa ajiachie, nilitaka niweke record sawasawa, nashawishika kuwa huenda kuna decision makers/policy makers au wale ambao wana influence maamuzi ya nchi/serikali wakapita hapa kunyakua mawili matatu, ni vyema kuelezea kiini cha tatizo (course) (proactive) halisi...
  3. Manda

    Behind the curtain: September 11

    The Bold, Hongera kwa makala nzuri na yenye uchambuzi wa kina. Nina uelewa kiasi wa masuala ya ugaidi na mashariki ya kati, na naomba nichangie kidogo uelewa wangu wa kiini cha ugaidi as far as Osama and Al Quade they are concerned. Chanzo Ni vyema tukaanza kuelezea chanzo cha Mujahedeem...
  4. Manda

    Mtumishi wa umma atakayekwenda kusomea 'first degree' sasa kuchukua likizo isiyo na malipo

    Huyu mwandishi wa hii barua kakurupuka na nadhan hakumwelewa boss wake, tusubir maelekezo ya wizara na nyaraka halali. Atakanusha soon, subirin muone.
  5. Manda

    Dr. Rajabu Rutengwe, Mkuu wa mkoa wa Morogoro aliyetemwa, amwangukia Rais

    Anadhan JPM kamnyoosha kwa sbb ya mapungufu yake ya Moro? Pole zake....masikio hayazidi kichwa, watu wana reference za madudu yake tangu akiwa DC.... Amu-consult mpwa wake Mkwere ambaye amekua anampa kiburi, awe bwana shamba wa Mananasi yake kule Msoga.
  6. Manda

    What's really taking place at AREA 51?

    Jaribu amazon au kwenye bookshop karibu yako. Changu nilikipata London
  7. Manda

    What's really taking place at AREA 51?

    There is this book AREA 51, by Annie Jacobsen, it gives the insights of Area 51, mimi ninacho nimekimaliza juzi tu, its a nice book kama ni mpezi wa masuala hayo, avail yourself with that. ila kwa kifupi, Area 51 did exist ni mwendelezo wa R&D CENTERS ambazo they are at the heart of US development.
  8. Manda

    Dkt. Dau afitinishwa na JPM

    Naona mnamung'unya maneno tu.... Amna haja ya kumtetea/kuwatetea.... The guy aliendekeza mno udini....and its wide open...afu akawa ana bebwa bebwa na top manyota wa enzi, na kudharau watu, akiwemo JPM...kwanza anabahati, ilibidi afurumushwe kama Madeni Kipande tu, wee na Phd yako unaendekeza...
  9. Manda

    USHUHUDA: Hivi ndivyo mafuta yanavyoibiwa Bandarini Dar...

    Ndio maana watt wa kiarabu usku walikua wanatusumbua sana mitaa ya Coco na magari yao ya mabilioni kasorobo? Mamamaayee zao, anko Magu zaa nao hawa mbere kwa mbere.....
  10. Manda

    Magufuli na CCM Mpasukwa, Lowassa na Matumaini, na Nyota ya CHADEMA

    Short, precise and clear na imebeba ujumbe mzito na mzur sana. K kudos kwako kk
  11. Manda

    Magufuli na CCM Mpasukwa, Lowassa na Matumaini, na Nyota ya CHADEMA

    Mkuu..... Hawa ukawa wanaweweseka kusikia jina la JM ubaoni...wanasaka pa kutokea.....yule maamuzi magum hana na hana guts za kwenda popote coz anajua atakua anapoteza mda wake tu. Wafuas wake ni wafuas njaa...wanamin ktk fedha yake lkn sio itikad na uadilifu wake ambao ndio msing....
  12. Manda

    Magufuli na CCM Mpasukwa, Lowassa na Matumaini, na Nyota ya CHADEMA

    wanafiki bana.....et wana pump ahamie upinzan lakin sio cdm....asa ka ni potential kwa nn mnamlazimisha aende tu act? Ili apunguze kura za CCM....? That will never happen, simply kwa sbb chaguo la JM weng hawakulitegemea ad ukawa wenyewe wame retreat wajipange. Wafuas wa lowassa wengi ni mangi...
  13. Manda

    Lowassa kutangaza rasmi msimamo wake Julai 13, 2015, ACT wajiandaa, CCM kupasuka

    jeuri ya luwasa n ndan ya ccm and not otherwise...ahamie huko aone maajabu mengine zaid ya kulaza kura....hata ujumbe wa nyumba kumi atausikia kwenye Redio Maria. . Atulie aendelee kutufulia makoti pale Alpha. Shikamoo sistem.....
  14. Manda

    Gwajima apandishwa Mahakamani Kisutu; aachiwa kwa dhamana na kesi kupigwa kalenda!

    Daah...jamaa nikikumbuka ile video alivo kuwa anaongea kwa mbwembwe na kujidai sikudhan kama angekuwa mdg hivi na kujifungia...chezea serikali wewe😃😃😃 kama njaa vileee...hata uwe baunsa lazima uombe pooo.....wacha wamnyoooshe tu, amna namna nyingine sasa... hamna haja ya...
  15. Manda

    Mtu aliyewasumbua majasusi wa Mossad kwa miaka zaidi ya 20 kufanikiwa kumuua

    Hongera kwa post nzuri.....daah...kama vile na ww ni mdau vile wa ndani wa haya mashirika ya kijasusiiii! Hiz excerpts ni kutoka kitabu au movie gani umezipata?
  16. Manda

    Tahadhari: ISIL wanapanga kuishambulia Tanzania

    isil poses a serious threat kwa ukanda wetu. Kupitia al shabab wana recruit vijana wadogo sana na kuwapeleka somalia na syria. Everyone should note and take measures to combat that. Unles otherwise tutapigwa mabomu hapa hadi tuimbe haleluya
  17. Manda

    Baada ya Mangula na Kagenzi kutuhumiwa kumlisha Sumu Dr Slaa, CCM fahamu kuwa

    Kumuua slaa wala huhitaj hata certificate ya ccp moshi.....sifa na kiki za kijinga wanasaka hawa.
  18. Manda

    Hotuba ya Zitto Kabwe kuaga rasmi Bungeni - Machi 20, 2015

    Wenye saccos wamekutimua kwenye saccos yao...acha kulia..kaz buti songa mbele...ila punguza tamaa.
  19. Manda

    Pengo awalipua Maaskofu, asisitiza uamuzi wa aina ya kura ni wa mtu binafsi

    Tehteh....hata wahubiri kwa waganga wa kienyeji...hiyo katiba yao itapita tu....mistake kubwa waliyofanya ukawa ni ku walk out tu kule dodoma bungeni.. Baaaasi...hizi zingine porojo tu....subirin miujiza.
  20. Manda

    Umoja wa Machinga wampatia Lowassa fedha za fomu ya urais

    kila mtu anautaka urais...hata kingwangala anautaka...sishangai kwa huyu mzee pia.....subirin miujiza soon.
Back
Top Bottom