Search results

  1. M

    Hayati Rais Magufuli alipata wapi fedha za kujenga barabara upya barabara karibia zote Dar es Salaam

    Dogo Dogo soma hapo chini utaona kwa nini jiji linajengeka kwa kutumia mradi wa DMDP..ukipenda fanya tafiti zaidi. Asante na acha uvivu wa kutafiti kabla hujauliza.
  2. M

    Hayati Rais Magufuli alipata wapi fedha za kujenga barabara upya barabara karibia zote Dar es Salaam

    Kuhusu Mradi wa Kuendeleza Jiji la Dar es Salaam (Dar es Salaam Metropolitan Development Project) 1. Utangulizi Katika Mwaka wa fedha 2012/13 Serikali ilibuni Mradi wa uendelezaji wa Jiji la Dar es salaam (Dar es Salaam Metropolitan Development Project – DMDP) ikiwa ni kutekeleza ilani ya Chama...
  3. M

    Nimetunukiwa tunda na mtoto wa kizungu guest za Manzese

    Hii ya jioni au breakfast kabisaa..maziwq tangawizi au majani ya vumbaa...😀😀😀😀 CHAI HILOO
  4. M

    Rais Samia aongeza muda mpango wa TASAF, zaidi ya kaya 173,076 zaondokana na umaskini

    Kuondoa umasikini...kaya zimeekuwa TAJIRI🤔🤔
  5. M

    Chadema wasipewe fedha za ruzuku zilizotokana na ubunge wa Mdee na wenzake

    Chinembe wakati mwingine tuijadili na CCM yetu basi au kwa sababu tunakatazwa ku-challenge fikra za mwenyekiti wetu? Si unaona gharama za maisha zilivyopanda ndani ya utawala wa sisi wenyewe wala sio ACT? Anyway kama wanavyokuelezea wanazi wa CHADEMA hapo juu. Ruzuku zinatokana na uwingi wa...
  6. M

    Wabunge 19 Kubalini Maamuzi, Ombeni radhi Mrejee Chamani

    Unajua sisi wanachama wa Chama cha Mapinduzi haturuhusiwi kutofautiana na mtizamo na maamuzi ama maazimio ya Chama hata kama yanaumiza kama unavoona katika mtandao huu WA JF. Ila kupunguza hasira za kutokupata wasaa wa kutema nyongo ndio tunapata fursa ya kuongelea CHADEMA kila kukicha na sio...
  7. M

    Mwigulu Nchemba na mkandarasi, China Civil Engineering construction corporation biashara yenu ina harufu mbaya

    Huto Masamaki aliachiwa na mahakama kuwa hana hatia na hajafilisiwa..uwe unafanya tafiti kabla hujaandika hoja.
  8. M

    Changamoto jinsi ya kufika katika Hospitali ya Muhimbili~Mloganzila

    Correction Zanda Kaka Muhimbili Mlogazila zamani MAMC ilishahama toka 2020 kutoka Kisarawe kwenda Wilaya ya Ubungo. Hivyo rekebisha hiyo Kisarawe kwenda Ubungo. Asante.
  9. M

    Mfanyabiashara Ayubu Kiboko na mkewe washinda rufaa yao ya kusafirisha dawa za kulevya

    Maguu...kikubwa ifuatwe sheria ya ukamataji tuu..mbina wamepeleleza hadi kujua kuna madawa ndani..wanashindwa nini kufuata kanuni za ukamataji. Search warrant na ushahidi wake wote..mamana ndio sheria. Polisi wapunguze mazoea tuu katika kazi tuwapate na hatia.
  10. M

    Mwaka wa sita mwanangu haongei. Roho inaniuma sana. Why me?

    Mama Clara hujachelewa...wadau wengi.sana wamekuelezea juu ya Usonji au autism. Hata jirani yangu mwanae anatatizo hilo na huanza kwa mtoto akiwa miaka miwili. Wako ana hali nzuri sana sana..mpeleke kwa madaktari wa watoto wa magonjwa ya vichwa au Neurology Muhimbili National Hospital ka upo...
  11. M

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Naomba TANESCO inurudishie unit zangu tatu ambazo wamekata.hapa. Ukupiga hesabu ya makato unapata elfu ishirini na nne..elfu moja nzima mmeikata pasipo na sababu na haijulikani imekwenda wapi. Naomba unipatie. ibu ama namna ya kuwasiliana.na watoa token za luku muamala huo hapo nilipata kupitoa...
  12. M

    Jaji kufanya uchambuzi wa kurasa 1,500 ukaweza kutoa hukumu kwa siku mbili ni jambo lisilowezekana

    Kaka ile silaha haijadhibitishwaa pasipo shaka kama ilikutwa kwa watuhumiwa maana Polisi walibugi hawajachukua finger print ku identify ilegal possission of the fire army. Wangechukua ushahidi wa kushikwa kwa silaha kutoka kwa mtuhumiwa ingebainika kweli alikamatwa nayo. Mawakili walishauliza...
  13. M

    Jaji kufanya uchambuzi wa kurasa 1,500 ukaweza kutoa hukumu kwa siku mbili ni jambo lisilowezekana

    Kiongozi NewOrder nimeipenda analysis yako kiasi chake. Nikukumbushe tu kwa upande wa silaha na madawa mashitaka hawajaweza kuthibitisha kukutwa navyo watuhumiwa wakiwa eneo la tukio. Namaanisha hawajafanya forensic investigation ya kubaini kama ilikutwa kwa mtuhumiwa km vile kuchukua finger...
  14. M

    DCI Boaz vipi, Mbona amekimbia kesi ya Mbowe?

    Ni kweli watafungwa kama ni mipango ya Serikali iwe hivyo ila hawana hatia kulingana na mwenendo wa kesi. Ila jaji akiamua atawafunga tu nje ya hatia. Ila ujue ili mahakama ikufunge lazima iwe na hatia ya wazii nje ya wingi la mashaka kabisa ambapo kwa kesi hii mmmh hata haionekani kabisa.
  15. M

    Wanawake wenye hizi tabia wanastahili heshima sana na kuthaminiwa

    Mpewe shahada ya uzamivu ya heshima kutoka vyuo vikuu vya kimataifaa..
  16. M

    Arusha: Lengai Ole Sabaya afikishwa Mahakamani kwa Uhujumu Uchumi, Utakatishaji Fedha

    Babu Kijana..makosa ya huyo bhana Sabaya ameyafanya nje ya Wilaya yake kikazi..ndio maana ameshitakiwa nje ya Mkoa wa Kilimanjaro. Ila ukuu wake wa Wilaya hakutakiwa uvuke Hai. Makosa ya mashitaka ni uhalifi alioufanya ama kuwafanyia wakazi wa Arusha tuu. Labda Hai watakuwa na mashitaka yao baadae
  17. M

    Kipi kimesababisha bei za mafuta kupaa hivi?

    BURUNDI PRICE: Petroleum 2,350.00Burundi Franc per liter; Diesel 2250. RWANDA 1,088.00 Rwanda Franc per liter
  18. M

    Kipi kimesababisha bei za mafuta kupaa hivi?

    Dogo ukipata ajira na kuwa na majukumu/famila ndio utajua mambo ya mfumuko wa bei sio siasa na sababu sio marehemu.
  19. M

    Haikuwa rahisi moyo uliniuma mno hatimaye nikaishia njiani, nikamuacha aende lakini leo...

    Hivi yule mhudumu wa guest uliyekuwa wamfanya bila condom vipi ulimwachaje sasa.. au uliendelea kuloweka tu akilowaa.. 😄
Back
Top Bottom