Search results

  1. Vene

    Top 10 best Tanzanian love songs of all times

    Natumaini ya Beka safi sana
  2. Vene

    Top 10 best Tanzanian love songs of all times

    Nuru ya kweli by Lady Jay Dee. Huu wimbo ntaupataje? Baadhi ya maneno ni ''ndoa yetu idumu, maishani zote siku, mola yu kati yetu, katu hatoweza mtu..."
  3. Vene

    Chakula gani unachokipenda na usichokipenda?

    Napenda pilau, wali maharage, ndizi nyama za kichagga, ugali na mboga za majani zilizochanganywa na nyama, wali samaki, wali nyama/kuku, makande ya nazi siku moja moja, ugali na dagaa zenye bamia na nyanya chungu, kwa breakfast mkate na mayai ya kukaanga (spanish), sausage, vitumbua, maandazi...
  4. Vene

    Kwanini Lara1, Naandika Nayoandika? The remarkable conspiracy and collateral damage of mmu!

    Kuna mengi nakubaliana na wewe Lara 1. Kwa kweli sioni sababu ya kunyanyapaa, kukejeli, kuwadharau wanawake ambao eti hawajaolewa kufikia 30, 40 na kuendelea. Wengi wao, hawakupenda hiyo hali ila imetokea tu kwa bahati mbaya. Na sio kwamba hawakuolewa kwa sababu wana matatatizo yoyote na...
  5. Vene

    Kinyaa cha tongue kiss

    Na wakati mwingine unaweza kujilaumu kwa nini ulipita kwenye nyuzi nyingine!
  6. Vene

    Sina hamu ya kupenda...

    Sure! Akukumbuke asikukumbuke to hell! Na wewe pia delete mpaka kwenye recycle bin!
  7. Vene

    Jinsi ya kuepuka maisha ya upweke

    Wanaume wengi wa kibongo ukimueleza hisia zako anakula kona. Eti nasikia wanapendaga wafukuzie wenyewe!!!
  8. Vene

    40. Kwanini 40

    Interesting!
  9. Vene

    Maofisini vijana wakitanzania wavivu na wezi

    Wanataka Big Results Now (BRN)!
  10. Vene

    Maofisini vijana wakitanzania wavivu na wezi

    Na wasap na instagram zinawachanganya sana aiseee!
  11. Vene

    Mwal. Wa history Darasani.

    Twende mbele turudi nyuma, Mkwawa aliuwawa au alijiua au vyote sawa?
  12. Vene

    Ile unafungua tu boneti ya gari.. Unakutana na hii!

    Nimeipenda sana hii! Mwalu umetisha!
  13. Vene

    Mwanamke kucheka wakati wakufanya mapenzi

    Najuta kukatiza hapa! Nimecheka ila nimekwazika pia!
  14. Vene

    never under estimate...the power of women.......

    Mmmmmh! this kind of language sounds familiar!!!!
  15. Vene

    JF party kesho, mambo iko kule. Usingoje kuhathiisiwa

    Ni kuhadithiwa sio kuhadisiwa.. Kiswahili kigumu eeh? Powa, tumekusoma lakini! Naisubirije kwa hamu mie???
  16. Vene

    Tanx. alot jf member.

    Wapi kitufe cha 'like'???
  17. Vene

    Tanx. alot jf member.

    Wapi kitufe cha like???
  18. Vene

    JF PARTY 25th JAN Exlusive Interview with lara 1...

    Nimeshaelewa, ahsante. Kuna member mmoja nimesahau nani alitoa maelekezo murua kabisa mpk map katuwekea! Ile imetulia saana!
  19. Vene

    JF PARTY 25th JAN Exlusive Interview with lara 1...

    We hata hujui kuelekeza yaani sikuelewa kabisa!
Back
Top Bottom