Search results

  1. danco

    Lowassa aongea na vyombo vya habari; akataa kugusia suala la Richmond/DOWANS

    Wana JF, Jamani hii kauli ya Lowassa kwamba yeye na Kikwete hawakukutana barabarani, halafu hakuongea chochote kuhusiana na dhana ya Kujivua gamba ina ujumbe gani kwa kijana Nape? NAPE; LOWASSA NA KIKWETE HAWAJAKUTANA BARABANI. Nawasilisha wadau
  2. danco

    Jamani kwa miundombinu mibovu bila mipango mbadala tutafika?

    Wana JF, Hivi kweli tunapofikiria suala la maendeleo ya nchi yetu itawezekana kwa aina ya viongozi tulionao? nimekuwa nikifuatilia baadhi ya nchi zilizopiga hatua kimaendelea duniani zimekuwa na vipaumbele vya kutekeleza na hasa upande wa miundo mbinu. Ni pale tu miundo mbinu inapokuwa vizuri...
Back
Top Bottom