Search results

  1. Pimpo

    Je, ni Halmashauri zote huhitaji fedha kutoka Serikali Kuu? Kuzipatia fedha nyingi mabilioni kila mwaka ni kuzidekeza na kuzifumba akili

    Mtazamo mzuri sana. Nami naona sahihi sana kuziacha wilaya zijiendeshe, serikali kuu iwe regulatory organ vitu visije vika escalate. Viongozi wachaguliwe, na mfumo wa kuwawajibisha uwe rahisi.
  2. Pimpo

    Kuna jambo ambalo sisi wananchi tumeikosea Serikali yetu? Tuambiwe tujue

    Tumshukuru sana waziri Bashe kwa kujisimamia katika kazi yake.
  3. Pimpo

    Kuna jambo ambalo sisi wananchi tumeikosea Serikali yetu? Tuambiwe tujue

    Mbona alianza mipasho wakati Ndugai anatamka wazi wazi. Angemuacha aendelee kusema
  4. Pimpo

    Mafuta ya Nguruwe yamekuwa mkombozi mkubwa kwa sasa

    Hwa mnanifurahisha. Mnabishania dini kana kwamba zenu. Kumbe za kuja tu, Ivi nyie mlishawai fikiria mngekuwa mmezaliwa mkakuta familia zenu ni dini tofauti na ulionayo sasa, ungekuwa kada kama ulivyo sasa sema kwa dini nyingine. Tusijitese namna hiii.
  5. Pimpo

    Kikwete: Niliumia sana kundi la TMK kuvunjika, nilimuita Juma Nature Ikulu akakataa kusuluhishwa

    Kitabu chake bado sanaaaaa. Ukikitoa sasaivi itabidi utoe na sehemu ya pili ya kitabu baada ya yeye kufariki (kama atafariki) maana kuna masomo mengi sana bado anayaendeleza
  6. Pimpo

    CCM imekosa vijana wenye sifa mpaka kumpa kazi Mzee Kinana mwenye miaka 71?

    Maandalizi yapo. Huwaoni wakina nape wako pale wametulia??? Na mwenye kazi yake anaweka watu wake anao waamini kuendesha hiyo taasisi ambayo imekuwa familia .
  7. Pimpo

    Bernard Membe rasmi asamehewa na kurudi CCM

    Anangojewa na wakina ndugai na mangula. Siku zake zinahesabika
  8. Pimpo

    Kuhusu kununua gesi na mafuta kwa Rouble: Putin awafanya mabeberu Kama watoto wadogo

    Hizi ni stori za ulaya, sio putin. Ulaya ndio wanampaisha putin.
  9. Pimpo

    Kuhusu kununua gesi na mafuta kwa Rouble: Putin awafanya mabeberu Kama watoto wadogo

    Easterners ni magenius kitambo. Na long game ndio jambo lao. Usifikiri russia imeshindwa kumaliza vita na ukraine. Ni mchezo tu. Awali Russia ilikuwa inauza dolla na kununua gold. Sasa naona anaendeleza kufanya hivyo, hivi sasa akitumia vikwazo kuwa fanya wanunue ruble na kuipandisha dhamani...
  10. Pimpo

    Kuhusu kununua gesi na mafuta kwa Rouble: Putin awafanya mabeberu Kama watoto wadogo

    Endelea kutupa madini, wasio elewa wataelewa tu
  11. Pimpo

    Kwani 'Commercial Wings' za JWTZ hazitoshi hadi sasa 'Makambini' Kwao kuruhusiwe Kujengwa 'Fremu' za Biashara?

    Palikuwa sehemu ya makao makuu ya jeshi, sasa hivi pameshahamishwa, kwahiyo kwa sasa pale panachukulika kama gofu
  12. Pimpo

    Mafuta ya Nguruwe yamekuwa mkombozi mkubwa kwa sasa

    Kwani hii mada ni ya dini au habari juu ya mafuta ya nguruwe dhidi ya mafuta yanayouzwa madukani?
  13. Pimpo

    Mafuta ya Nguruwe yamekuwa mkombozi mkubwa kwa sasa

    Asante kujua. Umefungua macho yangu na kuweza kufikiria mbali zaidi. Je, mafuta ya nazi ambayo hupatikana kwa hukamuliwa/kupikwa na matumizi huwa kupaka ila haibadili kuwa ni mafuta kwani pia hata tui lake hupikia. Yanaweza tumika kama mafuta ya kupikiaa??? Asante.
  14. Pimpo

    Kwanini Kenya wamefuta Mitihani ya Taifa kwenye Mtaala mpya?

    Wow, nice. Imekaa safi. Ntaisoma tena niichambue. We are so thankful for you to share the contents with us. I had thought of content a bit, any one can look at it here, ( Nini kifanyike kuboresha mtaala wa elimu ) Tena, tunashukuru. Imetuongezea jambo katika fikra zetu.
  15. Pimpo

    SoC01 Baadhi ya vitu nitakavyowafundisha wanangu kabla ya kifo changu

    Ameamua na yeye kuokota wajinga wengine. 🤣🤣🤣
  16. Pimpo

    SoC01 Baadhi ya vitu nitakavyowafundisha wanangu kabla ya kifo changu

    Apa umekuwa mhenga, hongera na asante sana.
  17. Pimpo

    Nini kifanyike kuboresha mtaala wa elimu

    Naweza sema si kweli. Kwasababu mtaala wa ugerumani ni tofauti kabisa na wa uingereza. Ujerumani uko kinyuma cha uingereza. Mfano; uingereza unapewa fomula ukokotoe. Ujerumani unaanza kukokotoa, mnachanganua mpaka mwisho mnapata fomula. Scandinavia uko nako mtaala wao tofauti, na utofauti...
Back
Top Bottom