Search results

  1. S

    Hongera Mama Samia kwa kuvunja genge la Wapigaji, Maharagwe ya January na chemba ya Yakobo

    Safi sana Mama Samia walidhani hutowagundua Hongera Mama kazi iendelee
  2. S

    Mabadiliko TRA: Kamishna wa Forodha Mtanganyika Said Athuman Kiondo aondolewa awekwa Juma Bakari Hassan kutoka Zanzibar

    Lakini mbona mkuu wa mamlaka ya mapato Zanzibar ni Mtanganyika anaitwa Mwenda
  3. S

    Toka Mkurugenzi Mkuu TPA bwana Kakoko kufukuzwa kazi, Bandari imedorora sana

    Kakoko mwizi vibaraka wake naona njaa inauma mnakimbilia huku
  4. S

    Toka Mkurugenzi Mkuu TPA bwana Kakoko kufukuzwa kazi, Bandari imedorora sana

    Hana Kakoko jizi lile limeficha pesa zake Rwanda
  5. S

    Mbunge wa Mbarali aadhibiwe kwa kulidanganya Bunge na Taifa kwa ujumla

    Huyu mbunge anatetea wafugaji kuvunja sheria kwa kuweka mifugo hifadhini ujinga wa wazi
  6. S

    TANZIA William Malecela (Le Mutuz) afariki Dunia

    Siku ya mauti kuja mtu huna kimbilio,nayo budi yatakuja kama si kesho ni leo,kila mtu kumfuja bila ya upendeleo
  7. S

    Said Hussein Masoro Mkurugenzi mpya Usalama wa Taifa (TISS) ni Nani haswa?

    SAID HUSSEIN MASORO NI MUHA SIO MSUKUMA
  8. S

    Inawezekana kuna mtu anamchagulia Rais Samia watendaji wa Serikali

    Mtihani huu kama ataendekeza ushauri wa Msoga mambo yatakwenda harijojo
  9. S

    Tetesi: Diwani Athumani au Wambura Camilius mmoja anaweza kuwa IGP, Selemani Mombo kwenda TISS?

    Acha kuchafua majina ya watu na utabiri wako wa kijinga
  10. S

    Mbunge wa Kawe Askofu Gwajima ataka Masheikh wa Uamsho waachiwe na Sheria za uhujumu uchumi zirekebishwe

    Gwajima muongo hilo la masheikh anapitia tu yeye anahaha kumpigania mfadhiri wake Joseph Rwegasira ,Diwani wa makongo aliyeko mahabusu kwa utakatishaji , Rwegasira amefanya ufisadi mkubwa ktk kampuni ya vinywaji BEVCO na alijaribu kutoroka TAKUKURU wakamkamatia Shinyanga
  11. S

    Dodoma: Mmiliki wa Shule na Mkurugenzi Islamic Foundation akutwa ameuawa kinyama ofisini kwake

    Rip Rashid Dalai namkumbuka mika ya 80 mwishoni na mwanzoni mwa 90 akiwa afisa wa polisi upande CID mjini Morogoro
  12. S

    Dodoma: Ajali ya gari la CAG, yaua watu 7 baada ya kugongana na gari la NSSF

    Siku ya mauti kuja,mtu huna kimbilio nayo budi yatakuja,kama si kesho ni leo kila mtu kumfuja,bila ya upendeleo
  13. S

    Godfrey Tumaini (Dudu baya), aitwa kituo cha Polisi Oysterbay

    KAMA ni mwenye haki naamini atashinda kwani siku zote mema hushinda maovu
Back
Top Bottom