Search results

  1. A

    Ugonjwa wa Homa ya Ini (Hepatitis B): Dalili, ushauri wa kinga na tiba yake

    Nimepimwa nimeambiwa nina hepatitis C, ni ugonjwa gani huu na unatibiwa je? Naomba msaada wenu.
  2. A

    Ukweli acha tunene wahaya ni kabila linalochapa kazi kwa uaminifu kabisa hapa tz

    Kabila gani nyingine inawafuatia wahaya kwa kuchapa kazi? ila majungu usipime!
  3. A

    Nini msimamo wako kama mtanzania. Serikali,mbili au tatu

    Serikali tatu is the " Right Thing at Wrong Time", An ideal situation in imposibilities. that is tantamount to Nothing.
  4. A

    Nini msimamo wako kama mtanzania. Serikali,mbili au tatu

    Suluhisho hapa ni kuwa na serikali moja tu. zanzibar iwe mikoa kama ilivyo ya Tanzania bara. serikali tatu hazitatekelezeka ni kama kuvunja muungano tu. sasa hivi fedha (bajeti) haitoshi, itakuwaje serikali ya muungano isiyokuwa na mapato yake itegemee serikali hizi zisizojitosheleza? nani...
  5. A

    Mikoa inayokula ndizi iko juu

    Ustawi wa ndizi uko related na certain weather ambayo missionaries waliipenda hivyo wakajenga mashule na wakapata fursa za kusoma mapema na huduma zingine. scientifically proteins ndo inajenga brain. so to say wala samaki, dagaa, na nyama/ maharage wangekuwa juu zaidi. hivyo si kweli kuwa wako...
  6. A

    Nchimbi: Mungu nipe moyo wa kusamehe

    Mhe. nchimbi dhahabu nzuri ni ile iliyounguzwa sana.
  7. A

    TRA's Kitilya to retire from public service, Blandina Nyoni or Dr. Dau to take over...

    suala la dini , ukabila, ukanda, na vingine kama hivyo havitakiwi kufikiriwa kwenye posts kama hizi. na tukiviendekeza tutegemee kurudi nyuma tu. ila kama wanaotajwa wapo doubtful waachwe kwa kuwa kuna wataalamu wengi sana sasa hivi. Dr. Patrick Mugoya is one of them, talk of Dr Assad Mussa...
  8. A

    Nikifanya mapenzi ninafika mshindo ndani ya dakika moja tu!

    Mkuu acha tu hiyo biashara imekushinda ukiwa fresh utaendelea kwa sababu haina maana unachofanya.
  9. A

    VIGEZO: maajabu 7 ya dunia

    Mkuu yanatafutwa maajabu natural sio Kama hayo!!!! Ya design hiyo mbona mengi, hat a umasikini tulionao ukilinganisha na maliasili pia ni maajabu. Pigs kura tu Mzee ]Wadau. It doesn't make sense to me kwamba tunakazania kuuingiza mlima Kilimanjaro kwenye kinyang'anyiro cha kuingia list...
  10. A

    Kuchangia harusi au maendeleo?

    Wanandoa wenyewe walishaoana siku nyiiiingi sana tunachangia divorce.
  11. A

    Kwa NEC hii mpya, CCM inakwenda kufa - Dr. Slaa

    The opposite is also true in Tanzania. Si umeona Mmeona Mwanza
  12. A

    Kwa NEC hii mpya, CCM inakwenda kufa - Dr. Slaa

    CDM acheni harakati mfanye siasa kila siku ni mafisadi tuuuuuuuuuu, mkipewa nchi mkathibiti mafisadi then? Elezeni mipango ya kuendeleleza nchi na kuhudumia wananchi. Kushika dola sio mchezo huwezi kwenda pale na agenda moja tu ya kudhibiti ufisadi.
  13. A

    Kwa NEC hii mpya, CCM inakwenda kufa - Dr. Slaa

    The opposite is also true in Tanzania. Si umeona Mae yews Mwanza.
  14. A

    CHADEMA furahieni kupoteza umeya wa jiji la Mwanza, ni bahati sana kwenu

    Mtoa hoja jitahidi uwe objective, hayo mataizo yamekuwepo tangu CDM wakishiklia umeya hivyo wangejitoa Kama wanachosema ni kweli vinginevyo wangepigana kubadilisha hali hiyo na ndicho tulichotegemea sisi wapigakura wa mwanza. Kuyasema hayo baada ya kushindwa NO!!!. Issue napa ni kwamba CDM...
  15. A

    Wake wengi

    Wizi mtupu
  16. A

    Baba Mzazi wa Mhe. Tundu Antipas Lissu Mughwai afariki dunia jioni ya leo

    Pole sana familia ya Augustino Mungwai Lissu. Bwana alitoa, Bwana ametwaa Jinan lake lihimidiwe
  17. A

    Mwanaume KAMILI

    Lizzy, hayo yoote uliyoandika hata mwanamke anaweza kuwa nayo so, Mwanamme Kamili ni Yule anayeweza Kile mwanamke asichoweza kufanya na mwanamke akaridhika. Hayo mengine ni by the way
  18. A

    Ebu Jifanye mzani alafu soma hapa!!!!!

    Inarusha roho
  19. A

    Viongozi bora Afrika

    Kagame ni best of the best Africa. Kwangu Mimi the end justifies the means. Rwanda imetulia maisha ya wananchi ni safi, hakuna Wizi wala ujambazi watu Wana amani, elimu, afya, miundombinu, makazi vyote ni vya kiwango. Bajeti ya Rwanda ni Kubwa kuliko Tanzania ingawa Rwanda inalingana na Wilaya...
Back
Top Bottom