Habari Wana jamii
Naombeni kueleweshwa hili swali nililoulizwa ila sijaelewa maana yake Iko hivi.. niliagizaga mzigo Sasa nilivyoenda kulipia nikakutana na rafiki angu wa zamani kumbe anafanya pale akasoma karatasi yangu akaniuliza unatumia jina lako?
Nikamwambia ndio basi ikaishia hapo sasa...
Habari za leo JF members,
Happy new year.
Mimi ni dada fundi nashona nguo za aina zote nikimaanisha za kike na kiume. Nashona kwa ustadi wa hali ya juu.
Naombeni support yenu ndugu zangu kama ni kitenge au kitambaa.
Niko Dar Kinondoni, wa mkoa tuma vipimo.
Kuna wale ambao mko busy na kazi...
Habari za leo JF members,
Happy new year.
Mimi ni dada fundi nashona nguo za aina zote nikimaanisha za kike na kiume. Nashona kwa ustadi wa hali ya juu.
Naombeni support yenu ndugu zangu kama ni kitenge au kitambaa.
Niko Dar Kinondoni, wa mkoa tuma vipimo.
Kuna wale ambao mko busy na kazi...
Nahis mama k anataka awe anahudumiwa na lulu km si walivyokubaliana kipind kile cha kesi ss akisikia au kuona lulu yuko vzuri mapati halafu hamkumbuki kwa chochote ndio anapoumia na kuanza manung'uniko
Ni kiherehere huyu demu yaan kila kitu anajifanya anajua nikisikilizaga Leo tena ananichefuaga anatakaga aongee yy tu ndo anajua zaid na kutupia kiswangilish kwenye maongez yake!anapenda kudakia mambo Leo tena
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.