Search results

  1. M

    Msaada wa dharura kituo cha Masanga: Tarime watoto zaidi ya 600 wakimbia kukeketwa

    Ukifika nje ya geti la Kituo cha Masanga tangu mwezi huu wa 12 ulipoanza utakutana na huu ujumbe ''HAKATWI MTU HAPA'' hiki ni kituo cha kuzuia ukeketaji (TFGM) ambacho kinatoa mafunzo ya ukeketaji mbadala na tohara salama... kwa sasa kuna watoto zaidi ya 600 ambao wamekimbilia hapa ili...
  2. M

    Mazishi ya baba yake Joyce Kiria, kaburi lazua mpasuko, makaburi mawili yachimbwa, ni kama sinema

    Hii habari nimeiona katika website ya Joyce Kiria , Ni tukio la mwaka sijawahi hata kulifikiria, kwa maelezo zaidi na kujua mengi tembelea .....Talk Show ukaone yaliojiri huko msibani. Dah huyu dada sasa hivi kweli matatizo yamemuandama......
  3. M

    Hizi ndizo changamoto za wanawake katika miaka 50 ya uhuru

    Nini cha kujivunia wanawake watanzania katika nyanja mbalimbali kwa maaana ya kisiasa , kiuchumi, kielimu, kiafya, kiutamaduni na fursa kwa jamii ndani ya kuadhimisha miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania?
  4. M

    Kilewo: Rais usisaini muswada wa sheria ni hatari ukisaini kuliko unavyodhani

    Hivi watanzania tutakuwa vilaza kiasi gani mpaka Asaini? Guyz hatutakiwi Tuamini kupitia Chama chake, tunapaswa kuamini kupitia sisi wenyewe.
  5. M

    Kilewo: Rais usisaini muswada wa sheria ni hatari ukisaini kuliko unavyodhani

    Toa upupu wako hapa Hamna sheria yeyote ile Duniani itakayoachwa kuvunjwa kama imekiuka Haki na utu wetu.... Taifa letu ni kwa muda sasa tumekuwa tunaburuzwa hata haki ya maandamano ambayo katiba inaruhusu viongozi wameona ni sumu kwa utawala wao wameamua kuzuia, Sasa wewe unaona kuna sheria ya...
  6. M

    Kilewo: Rais usisaini muswada wa sheria ni hatari ukisaini kuliko unavyodhani

    Kamanda usiogope nipo vizuri watatuelewa tu....
  7. M

    Kilewo: Rais usisaini muswada wa sheria ni hatari ukisaini kuliko unavyodhani

    Bora uwachane wenyewe mkuu maana hawa wenda wazimu kweli kweli, Ila leo umenikosha kamanda kwa maneno machache sana yenye kutia ujasiri.
  8. M

    BAVICHA mwenyeji mkutano wa kimataifa wa vijana Africa

    Tuweni wa kweli si kila kitu kushabikia wa kuu ishu ya igunga uliyo iweka hapa ni uongo mkuu. Bavicha hawajafanya jambo lolote igunga, waliyokuwa wanaumia ni viongozi wa chama na siyo mabaraza. Mimi nilikuwepo igunga atokei kijana yeyote yule wa Bavicha akanushe Taarifa hizi.
  9. M

    Kilewo: Rais usisaini muswada wa sheria ni hatari ukisaini kuliko unavyodhani

    Ni Mtanzania mwenye akili timamu na anaye amini kupitia Dhana ya ukweli na uwazi uoga kwake ni dhambi kubwa sana kuliko kifo.
  10. M

    Kilewo: Rais usisaini muswada wa sheria ni hatari ukisaini kuliko unavyodhani

    Safii sana makamanda nyie mbele sisi nyuma mpaka kitakapo eleweka.
  11. M

    Kilewo: Rais usisaini muswada wa sheria ni hatari ukisaini kuliko unavyodhani

    KAMANDA WA CHADEMA DAR ES SALAAM AFUNGUKA KUHUSU MSWAADA WA MABADILIKO YA SHERIA YA KATIBA KWENYE WALL YAKE YA FB. HUKU ZITTO AKIFUNGUKA TWITTER. Harakati zozote zile zenye lengo moja la kujenga hufanikiwa, hakuna jambo lolote lile duniania lenye nia mbaya lilowahi kushinda ukweli. dhuluma...
  12. M

    Mume wangu anabaki na housegirl mpaka saa tano /sita NDIO ANAKUJA KITANDANI

    Usipende kuongeav kwa tigo yako unayokalia hiyo, we nawe si umwandalie chai mkeo? Huo ni umalaya wako tu, hata uandaliwe kila kitu unaenda kuchungulia nyuchi za nje shenzi typ.. Huo ndo mfumo dume!! Hujiulizi ni kwanini mwanamke afundishwe yeye namna ya kutunza ndoa? Jukumi ni la mwanamke au ni...
  13. M

    Hawa ndo wabunge wanawake tunaowataka?

    Raia Fulani, well said my dear, thank u
  14. M

    Hawa ndo wabunge wanawake tunaowataka?

    Bintimkongwe, siyo fitna mama, ni changamoto hiyo, kama mwanamke unatakiwa kuifanyia kazi badala ya kuona unaonewa wivu, wanaume ni lazma watunyanyase kwa sababu tunawapanulia nyuchi zetu badala ya kwenda nao sambamba ktk kupata vigezo vinavyotakiwa, tunaweka kitumbua mbele ukijiamini kwamba...
  15. M

    Hawa ndo wabunge wanawake tunaowataka?

    Bajabiri, unaunga mkono hoja ya kuondoa viti maalum? mi nadhani viendelee kuwepo lakini watu wapewe kwa kuzingatia uwezo wa mtu na siyo ngonolaizesheni
  16. M

    Hawa ndo wabunge wanawake tunaowataka?

    Inanambo, du we lazima utakuwa mchaga, anyway back 2biznes, huyu mama analinda sana biashara zake, hakwenda kututetea wananchi, anachoangalia ni kanisa lake na shule zake, vituo vyake vya kulelea yatima ambavyo vinaingiza ela kibao toka kwa donaz wapo walioanzia viti maalum na sasa wanashikilia...
  17. M

    Hawa ndo wabunge wanawake tunaowataka?

    Sina pa Kwenda, huu ni msiba au bomu kwa taifa hili, au we huoni?? ebu leta solusheni ndugu yangu, ikibidi kuandamana mimi nitakuwa wa kwanza, na kama vinaachwa basi watakaopata wawe na vigezo.... sina maana kama ni vibaya hapana, lakini hofu yangu ni kwamba hata walioleta hiyo sera lengo lao...
  18. M

    Hawa ndo wabunge wanawake tunaowataka?

    * Dougls, yakitokea maandamano ya kudai kufuta viti maalum walah ntakuwa no 1- nyambaff
Back
Top Bottom