Search results

  1. Kinyamagala

    Wenyeviti 10 wa serikali za vijiji (CCM) wilayani Muheza watangaza kuhamia CHADEMA

    Hivi kamati kuu ya CCM ni halali kufanya Maamuzi ya ama bunge liendelee au lisiendelee?Nisaidieni.
  2. Kinyamagala

    Mchange awashambulia viongozi wa CHADEMA

    Mchange!unajua kwamba toilet paper baada ya matumizi hutupwa nayo huenda na ikawa sehemu ya uchafu iliokiwa ikiuondoa?Angalia Mustakabali wa Zito kisiasa.Kama huamini mwambie aje aitishe mkutano wowote nyanda za juu kusini kama watatokea hata watu 100.MASKINI KASHATUMIKA SASA ANAACHWA AJIFIE...
  3. Kinyamagala

    Kati ya PROF. KABUDI na PROF. SHIVJI nani Zaidi?

    Shivji kapotea kwa sasa
  4. Kinyamagala

    Mbeya: Wafanyabiashara Watoa Ushuhuda kuwa Mwigulu Ndiye Rais Ajaye, Kiongozi Genius

    Mbona hautumi iyo video script?au imepotea
  5. Kinyamagala

    Kikao "Maalumu" cha kuihujumu CHADEMA

    Kwa ninikigoma tu ndo wanaoliana uzito?huu nao tuuitaje?ni ukabila au ni aina tofauti na ule uitwao uchaga?
  6. Kinyamagala

    Kesi ya Zitto vs CHADEMA:Kuna mazingira yanaandaliwa ku-influence uamuzi wa mahakama

    kigoma kuna wabunge wangapi wa chadema na madiwani
  7. Kinyamagala

    Wajumbe mkutano mkuu (CHADEMA) wacharuka - kitanzi chamngoja Mbowe

    ala!kumbe nimekanyaga mavi ya hammy d
  8. Kinyamagala

    Dr Slaa atikisa Iramba Magharibi- Singida

    NA MSIOJUA NAPE NI MTOTO WA MOSES NNAUYE,MTOTOWA NYERERE NIMBUNGE,MTOTO WA KAWAWA NI MBUNGE,MTOTO WA MAKAMBA NI WAZIRI,MTOTO WA MWINYI NI WAZIRI,MKE WA KIKWETENA MWANAE NI WAJUMBE WA NEC CCM,HATUJAGUSA AKINA KARUME ZANZIBAR na uchafu wa namna hiyo ni mwingi nchi nzima,CHUNGUZA WAKUU WA WILAYA...
  9. Kinyamagala

    Mawaziri kufukuzwa, upande wa pili.

    Na tatizo majangiri wengi ni vigogo wenyewe au watu wenye mahusiano ya karibu na wbunge wetu wenyewe,ni vigumu kuamini kama kilichopiganiwa ni haki,maslahi na utu wa mtanzania au ndo mbinu mbadala ya kuua op.iyo
  10. Kinyamagala

    Mbinu za CCM vyuo vikuu na jinsi CHADEMA walivyowapiga counter attack

    Asanteni kwa kuturudishia tahliso yetu ya ukweli tuliyoiongoza tukiwa na akina mtatiro
  11. Kinyamagala

    Kuuelewa Mgogoro wa CHADEMA - 5: Wanasiasa Wetu Watatu - Mbowe, Slaa na Zitto...

    LABDA KWAWASIOMJUA ZITO WANAWEZA KUSHAWISHIKA NA UZI HUU,ZITO NI MWANASIASA ANAYEJIAMINI KUPITILIZA,NI MTU ANAYETAFUTA UMAARUFU BINAFSI KWA GHARAMA YOYOTE ILE IKIWA NI PAMOJA NA KUWATUMIA WANASIASA WADOGO NDANI YA CHAMA KAMA CHAMBO POTELEA MBALI WAKIFIA MBELE ILIMRADI YY ASURVIVE,alifanya hivyo...
  12. Kinyamagala

    Dr Slaa alakiwa Kigoma kwa Shangwe

    Haya,maccm yako wapi?changieni uzi.
  13. Kinyamagala

    CHADEMA washtukia mchezo mchafu unaofanywa na CCM!

    KAMA ZITO HATOFUKUZWA NITANYA MAAMUZI MAGUMU,heri awe mbunge wa mahakama kulikokuwa mbungebwa chadema
  14. Kinyamagala

    Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Singida ajiuzulu. Adai Kamati Kuu ni wanafiki...

    Afu kama amejiuzulu anatoa matamkokama nani?n:b,namfahamu kitundu,hana weledi wa kuandika kwa mpangilio niliousoma,watuhumiwa wamemwandikia wamempostia pia.ni kweli yy binafsi ni rafiki mkubwa wa zito kwa muda mrefu
  15. Kinyamagala

    Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Singida ajiuzulu. Adai Kamati Kuu ni wanafiki...

    Kitundu,ivi wewe mbona huzungumzii tuhumazinazokukabili za kushirikiana nazito kuhujumu jimbo la singida mjini?bahati yakotulikuwa tunakusubiri baraza kuu la chama tunyooke na wewe umeota mapema eeh!pili unakumbuka siku ile ya uchaguzi wa bavicha tulipokukamata pale bondeni hotel magomeni...
Back
Top Bottom