Search results

  1. naninibaraka

    Mikakati yakumtoa Dr. Mashinji kwenye nafasi ya Ukatibu Mkuu CHADEMA yaiva

    Mwakibinga mchumia tumbo, mapato ya band yenu mafisiem hayatoshi?
  2. naninibaraka

    Rais Magufuli atengua uteuzi wa January Makamba kuwa Waziri wa Mazingira; yeye asema ameyapokea mabadiliko kwa moyo mweupe

    JPM hajui mchezo unaochezeka, he is too far to know,huwez kutengeneza maadui wengi kwa muda mfupi hivyo
  3. naninibaraka

    Waziri Lugola, Kituo kikuu cha Polisi Arusha kinanuka rushwa

    Mh Waziri ninajua wewe ni msimamizi na mtenda haki lakini utendaji wa jeshi la polisi hauridhishi , mfano central Arusha Police watu wanabambikiwa kesi. Nilibahatika kuchunguza jinsi watu wanavyopigwa mpaka miili yao kuoza na kutoa harufu na wengine kulazimishwa kujamiana kinyume na maumbile...
  4. naninibaraka

    Mfanyabiashara ashusha tuhuma nzito kwa RTO Arusha

    Siyo traffic tu, central police Arusha inanuka Rushwa
  5. naninibaraka

    Mke wangu hapendi tendo la ndoa, ndoa yangu ipo matatani. Nisaidieni.

    Mkuu fanya investigations am sure ana mtu nnje based on my own experience
  6. naninibaraka

    Ombi kwa Ras Magufuli: BRELA imeshindikana, iweke chini yako

    I took 49 days kusajili kampuni, huu mfumo wa Brela wa hovyo kbs, tujifunze hapo kwa wenzetu kenya
  7. naninibaraka

    Lugola awatangazia vita wanaomkejeli Rais Magufuli mitandaoni

    Rais wetu ni Mungu wa duniani, hapaswi kukosolewa
  8. naninibaraka

    Tundu Antipas Lissu on BBC HARDtalk - 21 January 2019

    Kwanza nimpongeze Lissu kati ya watz wachache walio shiriki kwenye interview inayoangaliwa na watu zaidi ya 400m duniani kote,ameweza kuanika changamoto Tanzania inayopitia chini ya awamu hii ya tano, najua wasiolewa wanambeza lkn kwenye hili kwa lugha nyepesi Lissu is a hero!! Ninaamini JPM na...
  9. naninibaraka

    Tundu Antipas Lissu on BBC HARDtalk - 21 January 2019

    Nyie Lumumba ebu mshaurin JPM aende kwenye mikutano ya kimataifa akutane na hayo maswali kama atachomoka
  10. naninibaraka

    Tundu Antipas Lissu on BBC HARDtalk - 21 January 2019

    Tundu Lissu hajaacha kitu,kaelezea kwa ufasaha udhaifu wa jpm na serikali yke,, nawaza je ingekua ni JPm kaitwa kwenye hiyo interview ingekua aibu ya mwaka
  11. naninibaraka

    Spika Ndugai: Lissu hana kibali cha kuishi nje ya nchi, amtaka arudi mara moja Tanzania

    Huyu speaker kama ataendelea kufuata maelekezo ya jiwe bunge linapoteza imani kwa wananchi, huu mchezo wao hata mtoto mdogo anaulewa
  12. naninibaraka

    Serikali: Tundu Lissu alishindwa kujibu maswali ya BBC, aliishia kubabaika tu

    Yaani mtu anawabeep akiwa london,mnababaika je siku akija?
  13. naninibaraka

    Tundu Lissu ahojiwa BBC. Azungumzia kugombea Urais akipewa nafasi 2020

    Mungu hadhiakiwi, mliyetaka kumwua ndiye mgombea, 2020 mungu atupe uzima
  14. naninibaraka

    Ufafanuzi: Ndege za ATCL mpaka sasa jumla zimefika 11

    Acha wanunue nyingi kila mtanzania amiliki ya kwake, maana Noah ilishindikana enzi za makinikia
  15. naninibaraka

    Air Tanzania ni bomu linaloandaliwa kuimaliza awamu ya 5

    Hizi ndege ni timing bomb linalipuka muda wowote
Back
Top Bottom