Search results

  1. W

    Matokeo mapya kidato cha nne 2012 kutangazwa kesho jumatatu

    Ngoja tusubiri hiyo kesho tuyaone, Ahsante kwa taarifa..!
  2. W

    Mke wa mshikaji wangu aniduwaza!

    Usije ukafanya hicho kitu katika maisha yako maana utakijutia siku zote ulizobakiza hapa duniani, epukana na huyo shemejio kwa gharama yeyote mkuu...! Ni hayo tu..
  3. W

    Juma Nature naye mbioni Kujiunga na CHADEMA

    Karibu sana Juma Nature
  4. W

    CCM kunyakua vijiji vyote nane Iramba Mashariki

    Kila la heri wana Iramba...
  5. W

    Mimba ya mke wangu inanitesa

    Pole sana mkuu, yataisha hayo hata usijali.
  6. W

    Mabasi ya Dar - Tabora

    NBS- Ofisi zao ziko magomeni mapipa..!
  7. W

    BUNGENI: Peter Serukamba(CCM) atukana tusi kali, "F*** you"

    Tanzania tumekwisha......!!
  8. W

    Mrisho nyuma!

    Kaka hilo swala ni nyeti sana mkuu, wengi watakushauri ila ukweli utabaki palepale kwamba mtoto kapigwa!! Sisi tutakushaur lakin we ndo utakaeishi na huyo mwanamke, kikubwa usikilize moyo wako!!!
  9. W

    Majibu kwa Nape, Ridhiwan Kikwete na wengine kuhusu elimu yangu na niliposoma

    safi sana Mnyika, umeonesha ukomavu na ushujaa wa fikra
  10. W

    Ikifika 40 years kama hujafanikiwa ni ngumu kutoka...

    Obama wa bongo Mimi nimekupata vizuri sana, ila kuna kitu kimejengeka kwa baadhi ya watu kuwa "Behind every success there is a crime" Unalionaje hili?????
  11. W

    'Mwanajeshi' aliyepiga Picha na Lema Mbaroni

    Duh, jamaa yuko kwenye pingu lakin full VICTORY-'V'
  12. W

    UDOM HALI NI TETE! Waziri mkuu na Rais wa Nchi njoo UDOM.

    Hizo zilikuwa mbwembwe tu wadau, Serikali yetu haijali kabisa mambo ya Elimu, na sio UDOM pekee vyuo kibao hawana hela mpaka leo hii.Ni Kero tupu!!!!
  13. W

    Raila Odinga atua Dar es salaam kumtembelea Magufuli kwa kificho kikali

    Ninacho amin mim ni kwamba huyu jamaa hajaja kutembea bongo apa, kaja na jambo ambalo kwake ni critical sana na ana imani kwamba Mzee wa Ujenzi atamsaidia....! kile alichofata kwa Magufuli ndo ujuzi ninao uongelea!!
  14. W

    Raila Odinga atua Dar es salaam kumtembelea Magufuli kwa kificho kikali

    Nafikiri anajaribu kuchukua "skills" za Magufuli ili akazitumie katika kampeni zake za Urais....Magufuli jembe bana:smiling:
  15. W

    Meseji kali ndani ya INBOX...ICHEKI HII

    duh nitapata lakin baadae.....
Back
Top Bottom