Search results

  1. MARUMARU

    Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Duuuuuuh huyu ni yule yule wa Qsat na account za kichina za paytv ! tahadhari hawa watu wana maneno matamu sana but mwisho wake ni kilio kwa mteja!
  2. MARUMARU

    Pata generator kwa bei poa

    Mkuu mimi sio mtaalamu sana wa generator , nasikia kuna generator ambazo zinatumia mafuta kidogo kwa kipindi kirefu, naomba nichukue la aina ngani kwa ajili ya computer,photocopier, printer,drier na mambo mengine ya saloon
  3. MARUMARU

    Epson L210 Mpyaa

    ni used au mpya unazo nyingi au hiyo moja? mwisho weka namba ya simu
  4. MARUMARU

    Jenereta inauzwa

    Mkuu huna mengine kawaida kwa matumizi ya saloon na stationary
  5. MARUMARU

    AZSKY G6 rise of the fallen and Qsat come back

    Wakuu inamaana bado hamjamsamehe Munjy1?
  6. MARUMARU

    Tanzia: Diwani wa kata ya Nasai Siha, Allen Mossi (CHADEMA) afariki dunia

    R.I.P brother namkumbuka sana kwenye harakati za 2010
  7. MARUMARU

    Jipatie Qsat Q23G HD satellite FTA receiver

    Mimi Nina Qsat 11 je unaweza kuniwekea CCcam account? vipi kuhusu G6 kama unaweza tutafanya biashara
  8. MARUMARU

    Natafuta kiwanja hapo Moshi

    kuna eneo lipo Majengo ni zaidi ya 20million kama upo tayari nikupe contact muwasiliane
  9. MARUMARU

    Generator for sale

    hivi unashindwa nini kuweka bei? unataka utafutwe kwenye WhatsApps so what? haya kaweke hilo tangazo lako huko WhatsApps
  10. MARUMARU

    Pokea ujumbe katika simu yako pale mlango,kabati,au droo yako viapofunguliwa wewe ukiwa haupo.

    Mkuu hongera sana ? natamani kuwasiliana na wewe kwa njia ya simu
  11. MARUMARU

    Jipatie King'amuzi Cha dstv na internet bure bila malipo yeyote ya mwaka

    Bora hivyo naona umegundua dhambi uliyofanya. Muombe Mungu akusamehe. Pia kasome itakusaidia kuachana biashara haramu. Nakukaribisha kama unataka ukasome nini iliuweze kujiajiri au kuajiriwa.
  12. MARUMARU

    usikose world cup 2014 na ligi zote miezi ya mbele

    Katika jukwaa hili nilisema mapema kwamba G6 ni majanga haifaii kuuzwa bei ngali . Nakumbuka nilitukanwa sana wengine wakasema nimetumwa na makaburu, nashukuru hata wale walionitukuna leo wameona madhara ya dharau zao. Huyu mnayemlalamikia ni sungu kamwe hata rudisha hata mia kwa wateja wake.
  13. MARUMARU

    Elimu ya bure kuhusu Azam TV

    Jamani Rodriguez zimekata kwangu. Naomba msaada wenu wadau
  14. MARUMARU

    Nifanyeje Ili Nimsahau

    jamani ni Kichina au Kiswahili. ? nimechoka na hawa vijana
  15. MARUMARU

    display ya laptop HP Pavilion dv6700

    Mimi nahitaji motherboard , ilianza kunisumbua display sasa naona imekufa kabsa. kama nikikosa motherboard tuwasiliane nikuuzie yote
  16. MARUMARU

    Tuxed Suits

    .Mkuu naomba nielekeze kwenye mtumba ! huko kwa og tunawaachia kina Ridhione
  17. MARUMARU

    Wanaotaji umeme wa solar hii inawahusu

    Ungefanya vizuri zaidi kama ungetoa maelezo kuhusu uwezo wa vifaa , betry N ngapi. panel Watts ngapi tungeelewa zaidi
  18. MARUMARU

    Elimu ya bure kuhusu Azam TV

    Asante sana ndugu nmepata Rodrigue 1& 2 ila hyo RDV NIMEIKOSA MSAADA TAFADHALI
  19. MARUMARU

    Tecno p5 mpyaa kwa laki 1.3

    Mkuu unauza?
  20. MARUMARU

    Tecno p5 mpyaa kwa laki 1.3

    Dom ilete
Back
Top Bottom